Plain and Clear: Wabunge wa CCM watakaomnanga Magufuli wajiandae kuukosa ubunge 2025

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama.

Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu.

Kama mnabisha come 2025.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Wabunge wote na wanaCCM wote watakaomnanga Magifuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama...
Magufuli hakuwa anapendwa kama inavyotaka iaminike, bali alikuwa ni mlevi wa madaraka aliyeweza kumdhuru yoyote aliye kinyume na yeye, na ili uwe salama wakati wa utawala wake, ilikuwa ukae kwa kuhofia, au ujifanye unampenda.

Na hajawahi kuheshimu vipimo vya kuonyesha kukubalika zaidi ya kufanya mauaji, ukatili na unyama wa wazi kwenye chaguzi, ili kutangazwa mshindi kwa shuruti yeye au chama chake.

Kama bado mzimu wake uko huko ccm, basi asiyemsujudia hajachaguliwa, ila kama hofu aliyopandikiza itaondoka, basi ujue yeye ni dhalimu wa Kawaida kabisa.
 
Back
Top Bottom