Hivi ni Ukosefu wa Ajira au nini? Ana Masters na PhD lakini anaamini Uchawa ndio utamtoa

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,011
Ndugu zangu hii kitu mimi hainiingii akilini.

Ukifatilia mijadala ya vijana wa CCM kuhusu hali halisi ya siasa na chama chao utashangaa.

Nimekuwa nikifatilia mijadala Star Tv kwenye kipindi cha Siasa, demokrasia na uchumi wale wageni wanaowakilisha chama na kujitanabaisha kuwa ni wasomi hawana content kabisa.

Wanaamini kuwa chawa wa kiongozi fulani hata kama anakosea itamtoa kimaisha.

Mwaka 2020 wakati wa uchaguzi tulishuhudia Lundo la wanaccm wenye Masters na PhD wakigimbea udiwani maelfu kwa maelfu.

Ukimuuliza anakwambia hata kama nikashindwa uchaguzi chama kitaniona naweza kuambulia japo UDAS au UDC.

Kila kijana mwenye Degree akaanza kujiona anaweza kuwa mbunge

Hizi ni njaa za ajira au kuna kitu kingine nyuma ya pazia?

Yule kijana aliyekuwa StarTv pamoja na Elia Mikaeli wa Buyungu alinikatisha tamaa kwa aina ya vijana tulionao.

Hawana vision wala mawazo yoyote tangible
 
AU SIO😂😂😂

FB_IMG_16495390138197104.jpg
 
Mkuu
Hongera KWA bandiko
Aina ya elimu mbovu ya kukariri nadharia na kupata vyeti na mfumo wa utawala unaojali Kujuana badala ya uwezo wa mtu husika ndio uliotufikisha tulipo!!!
Ndio kama PhD za kina Mwigulu zinatupeleka pabaya nchi nzima. Jizi elimu za kuunga unga ni hasara sana
 
Ndugu zangu hii kitu mimi hainiingii akilini.

Ukifatilia mijadala ya vijana wa CCM kuhusu hali halisi ya siasa na chama chao utashangaa.

Nimekuwa nikifatilia mijadala Star Tv kwenye kipindi cha Siasa, demokrasia na uchumi wale wageni wanaowakilisha chama na kujitanabaisha kuwa ni wasomi hawana content kabisa.

Wanaamini kuwa chawa wa kiongozi fulani hata kama anakosea itamtoa kimaisha.

Mwaka 2020 wakati wa uchaguzi tulishuhudia Lundo la wanaccm wenye Masters na PhD wakigimbea udiwani maelfu kwa maelfu.

Ukimuuliza anakwambia hata kama nikashindwa uchaguzi chama kitaniona naweza kuambulia japo UDAS au UDC.

Kila kijana mwenye Degree akaanza kujiona anaweza kuwa mbunge

Hizi ni njaa za ajira au kuna kitu kingine nyuma ya pazia?

Yule kijana aliyekuwa StarTv pamoja na Elia Mikaeli wa Buyungu alinikatisha tamaa kwa aina ya vijana tulionao.

Hawana vision wala mawazo yoyote tangible
Zamani ilikuwa, mtu mwenye Ph.D akiongea, hata kabla hajakuambia ana Ph.D, wewe mwenyewe unajiuliza, huyu msomi gani?

Siku hizi, mtu mwenye Ph.D akiongea na kujitangaza ana Ph.D, unajiuliza, huyu kapataje Ph.D?

Elimu yetu imeshukq sana ubora.

Pia, suala la utamaduni lina nguvu sana bado.
 
🤣🤣🤣kweli kabisa.

Mtu anakwambia ana PhD mpka unatikisha kichwa
 
Back
Top Bottom