Bashungwa ameonesha kwamba unaweza kuwa Waziri mzuri bila kupiga kelele na attention za kila siku

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Huyu jamaa toka ameteuliwa kuwa Waziri Tamisemi, Kuna watu wengi walidhani hatoiweza Tamisemi, hii ilitokana na mawaziri wa nyuma wa Tamisemi walivyokuwa wanafanya kazi.

Seleman Jaffo yeye alikuwa mzee wa matamko kila siku, alikuwa analandalanda mikoani kila siku, fukuza,tumbua weka watumishi ndani. Jaffo alikuwa anatangaza ajira za walimu kwa mbwembwe na bashasha uku ajira zenyewe Ni 2000 . Lakini pamoja na yote bado Magufuli na Samia walimuona Jaffo hatoshi

Ummy Mwalimu, nayeye alikuwa na matamko kila siku, zunguka kila siku, Ila yeye hakuwa na tumbua tumbua, lakini kwa Matamko alikuwa namba moja. Kwenye ajira anatangaza ajira kwa Mbwembwe, selection za kidato Cha kwanza anaita press conference, selection kidato Cha tano press conference, yaani kila siku kwenye media.

Bashungwa, hakurupuki, hatoi matamko ya kijinga, hana attention ya Media, hakufuzi watu hovyo, anawapa muda watendaji kujirekebisha, Binafsi hii ndo kazi ya waziri, ni kusimamia Sera, sio kwenda kukagua vyoo vya Chekechea na media kibao. Ajira anatangaza bila mihemuko.

All the best Bashungwa
 
Kwa muda aliohudumu wizara mbalimbali Bashungwa sasa kawiva sio kosa tukimwita waziri mwandamizi, TAMISEMI ni wizara kubwa na mtambuka inamtaka aongeze umakini kwenye kuchukua maamuzi
 
Yupo vizuri hakurupuk
 
Huyu jamaa toka ameteuliwa kuwa Waziri Tamisemi, Kuna watu wengi walidhani hatoiweza Tamisemi, hii ilitokana na mawaziri wa nyuma wa Tamisemi walivyokuwa wanafanya kazi.

Seleman Jaffo yeye alikuwa mzee wa matamko kila siku, alikuwa analandalanda mikoani kila siku, fukuza,tumbua weka watumishi ndani. Jaffo alikuwa anatangaza ajira za walimu kwa mbwembwe na bashasha uku ajira zenyewe Ni 2000 . Lakini pamoja na yote bado Magufuli na Samia walimuona Jaffo hatoshi

Ummy Mwalimu, nayeye alikuwa na matamko kila siku, zunguka kila siku, Ila yeye hakuwa na tumbua tumbua, lakini kwa Matamko alikuwa namba moja. Kwenye ajira anatangaza ajira kwa Mbwembwe, selection za kidato Cha kwanza anaita press conference, selection kidato Cha tano press conference, yaani kila siku kwenye media.

Bashungwa, hakurupuki, hatoi matamko ya kijinga, hana attention ya Media, hakufuzi watu hovyo, anawapa muda watendaji kujirekebisha, Binafsi hii ndo kazi ya waziri, ni kusimamia Sera, sio kwenda kukagua vyoo vya Chekechea na media kibao. Ajira anatangaza bila mihemuko.

All the best Bashungwa
Inno Bash ameanza kuwatuma?🤣🤣

Naskia kuna pdf inapikwa huko
 
Hivi wewe unatufanya sisi zezeta saaaaaaana, yaani kwamba hatufuatilii kinachoendelea, wangapi kawasimamisha kila uchao, matamko yasiyo isha bila tija. Au wewe unasoma social media tofauti na sisi.
 
Hivi wewe unatufanya sisi zezeta saaaaaaana, yaani kwamba hatufutilii kinachoendelea, wangapi kawasimamisha kila uchao, matamko yasiyo isha bila tija. Au wewe unasoma social media tofauti na sisi.
Hivi matamko ya Jaffo unayakumbuka?
 
Back
Top Bottom