Malengo ya Mgombea Urais wa TLS Profesa Edward Hosea

simonrajab

Member
Joined
Jan 15, 2022
Posts
48
Reaction score
17
1. Kuiwezesha Tanganyika Law Society kujitegemea kiuchumi bila kutegemea michango ya wanachama.

- Katika kipindi cha mwaka 2022/2023, Mgombea Urais amepanga kutekeleza mikakati inayolenga kuistawisha TLS na kuitegemeza kiuchumi kwa manufaa ya wanachama wote na pia kuiwezesha TLS kutimiza majukumu yake kwa ufanisi na weledi.

DSC_htftyfu.jpg

IMG-20220509-WA0020.jpg

1. Kuiwezesha Tanganyika Law Society kujitegemea kiuchumi bila kutegemea michango ya wanachama.

- Katika kipindi cha mwaka 2022/2023, Mgombea Urais amepanga kutekeleza mikakati inayolenga kuistawisha TLS na kuitegemeza kiuchumi kwa manufaa ya wanachama wote na pia kuiwezesha TLS kutimiza majukumu yake kwa ufanisi na weledi.View attachment 2218105

View attachment 2218103

Nyie MÀTAGA acheni kuiona TLS ni Mali ya CCM,mbona yupo madarakani kwa nini asingeifanya iwe ya kisasa?
 
Huyu mbona anateseka sana? Kampeni si unafanya TLS huko?Kwanini anahangaika kutafuta huruma ya Watanzania muda huu alikuwa wapi muda wote? au ndiyo kuchanganyikiwa baada ya maji kufika shingoni?
Hebu atupishe tushavurugwa na Mafuta sisi,azame peke yake huko.
 
Mwananchi wa kawaida ana nufaikaje na huu uchaguzi wa TLS.angalau tunawasikiaga hawa akina THRDC au LHRC kukemea uvunjwaji wa haki za binadamu.swali je hawa akina TLS wanaisaidia ni Tanzania mbali na kukusanya hela za wanachama kama vile SACCOS au VIKOBA ya TUMAINI group
 
1. Kuiwezesha Tanganyika Law Society kujitegemea kiuchumi bila kutegemea michango ya wanachama.

- Katika kipindi cha mwaka 2022/2023, Mgombea Urais amepanga kutekeleza mikakati inayolenga kuistawisha TLS na kuitegemeza kiuchumi kwa manufaa ya wanachama wote na pia kuiwezesha TLS kutimiza majukumu yake kwa ufanisi na weledi.

View attachment 2218105

View attachment 2218103
View attachment 2218104
Jamaa yenu anatumia nguvu kubwa sana kuutaka tena huo uTLS ananufaikaje?
 
Back
Top Bottom