HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA ACT WAZALENDO NDG. HALIMA NABALANG’ANYA KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23...
Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati...
Kipindi cha kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wetu JPM kila aliyekuwa anatoa hotuba si muislamu si mkiristu alikuwa anahitimisha kwa hayo maneno. Sasa nimekuwa nikijiuliza hayo maneno ni ya kidini au...
Bungeni kuna maswali ya msingi yanayoulizwa na Waheshimiwa Wabunge na majibu ya maswali haya yanajibiwa kwa maandishi yaliyofanyiwa utafiti lakini kwa maswali ya nyongeza mjibu maswali hana majibu...
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu nchi za Africa ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu wafahamu hili ambalo...
Ni ukweli usipingika ni kwamba wananchi asilimia kubwa hawamuelewi Rais wetu ,Cha kushangaza bado watu alio nao karibu wanapingana tulio msikiliza Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17...
Ndugu zangu kasi ya Watanzania kuzaliana inatisha Sana. Juzi nilikua wilayani Ukerewe nimeshangaa vijiji vya hii wilaya Yaani Kila Kijiji kina shule za msingi mbilimbili lakini bado hazitoshi...
Watanzania kwa ujumla wetu Leo tunasherehekea miaka 58 ya Muungano huku tukilamba Asali ya Elimu bure, matibabu Bure (kwa watoto na wazee) pia fursa kufunguliwa za kibiashara duniani - US, UAE...
Hii ni kwa sababu kile kikao cha Baraza Kuu kilichosubiriwa kwa Muda mrefu sasa kimewadia , ikumbukwe kwamba Kikao cha Baraza kuu la Chadema ambacho ndicho kikubwa kuliko vyote , kitafanyika...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kitampa rais Kikwete siku tisa baada ya kumaliza mzunguko wake wa kwanza wa kuwahamasisha wananchi mikoani.
"Rais Kikwete tunakwenda naye kwa stepu...
Ametulia sana tofauti na wengine wengi. Anaonekana kujali sana maslahi ya Wazanzibar na yupo smart kupata anachotaka kwa ajili ya watu wake.
Siku tukipata Rais wa namna hii ambaye atatanguliza...
Kabla ya kusema haya acha niweke bayana haya yafuatayo ni muhimu kuzingatiwa:
Mimi ni mkristo wa kilokole
Ni msomi wa kati
Napenda upinzani zaidi kuliko chama tawala.
Hizo tabia hapo juu...
Tunisia wamekifuta kilichokuwa chama chao tawala ili nchi nzima ianze upya; nadhani serikali ya chama kingine itakapokuja kushika madaraka itabidi suala la usajili wa CCM liangaliwe upya. Hii...
Wakuu nimekuwa na chuki sana na Huyu zito.
.
Namchukia sana kutoka rohoni mwangu.
.
Amekuwa na chuki sana na JPM kila akipata forum ya Kuzungumza anamzungumza Kwa mabaya JPM.
.
Unakuwaje na chuki...
Enzi za Kikwete mlituambia uchumi wa gesi!!
Magufuli mkatuambia wa viwanda.
Hussein Mwinyi kule Zanzibar tunaambiwa wa uchumi BULUU.
Huyu Mama yenu yeye agenda kuu ya kiuchumi ni ipi?!! Royal...
Waziri wa Nishati January Makamba, amesema kwamba bei za mafuta nchini inatokana na gharama mbalimbali ikiwemo zile zilizotumika kununulia mafuta, gharama ya usafirishaji na gharama za biashara...
Kuna kundi la wanasiasa, wafaidika na sera za yule jamaa yetu aliyetangulia mbele za haki, hawaishi maneno maneno kumsakama Mama Samia.
Wanamsakama utafikiri wataenda kumfufua marehemu amalizie...
Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo...
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa...
Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam
TANZANIA na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.