Naona watu fulani wanapiga sana ngonjera kuhsu rais huyu kupendwa na wanyonge na mwingine kutopendwa na wanyonge, siju kama ni kweli
Lakini hebu tuwaangalie hawa wanyonge ni watu gani.. Wanyonge...
Licha ya kuongea kwa kusisitiza uharamu wa Mdee na wenzake kutotambulika kama wabunge rasmi lakini kuna wengine waliona hayupo sahihi ikiwemo Spika Tulia. Mzee Msekwa katuonesha ni namna gani mtu...
Wabunge wale wa viti maalumu hawajatokana na juhudi zao wenyewe. Wametokana na kura alizopata Tundu Lissu. Na kura hizo ni nguvu na jasho la CHADEMA.
Haita ingia akilini kwa wabunge wale kufikiri...
"Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa...
Kasheku Msukuma(MB) - Geita Vijijini leo bungeni akichangia kwenye bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi, amesema yawezekana walikosea kuja na sera ya "elimu bure" ama sometime hutumia kiswahili cha...
Mhola sana waungwana!
Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.
Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya...
BP ilikuwa kampuni kubwa sana ya mafuta iliyosambaa nchi nzima, iliaminika kuuza mafuta yasiyochakachuliwa, kutokana na jambo hilo iliheshimiwa na kuaminiwa nchi nzima.
Bali Kwenye utawala wa...
Naona kwenye Mitandao Kasi ya Membe si ndogo , si Maanishi ni kubwa sana,
Nauliza tu hivi baada ya sarakasi hizo zote na Magufuli akarudi Ikulu kwa Ngwe ya Pili, nini itakuwa hatma ya Membe...
Ikumbukwe ikatokea Chama tofauti na sisi kikaongoza basi yafuatayo ndo tutayajutia
1. Rais wao atakuwa na madaraka kadhaa ambayo yapo juu ya Mungu
Kuua, Kuteka, Kusweka watu ndani, namaanisha...
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imewachia huru wanachama wanne wa CHADEMA waliokuwa wamehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Lindi kutumikia kifungo cha miaka 22 gerezani kwa makosa yaliyohusiana na...
Wahenga walisema miamba inapopigana basi nyasi ndio zinaumia. Kama ulikuwa haujuwi basi leo ngoja nikujuze.
Kwa tathimini iliofanyika baada ya Rais wa Marekani kujitoa kwenye WHO macho ya...
Nimekuwa naandika Sana kuhusu mambo ya siasa,
Nimekua napewa baadhi ya tetesi nazirusha hapa,
Nimekuwa na Mlengo wa Chama Cha Mapinduzi kwa Muda mrefu
Kuna muda nimeshabikia mambo ya Kinyama...
Sweden nao wameamua kujiridhisha pasina shaka kuwa Tanzania kuna Uminywaji wa haki za Binadamu na kupunguza misaada kwa Miaka mitano ijayo, maana yake Mpaka 2026 ambapo uwenda Magufuli akawa...
Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga...
Wanachama saba wa CHADEMA wameachiwa Huru baada ya kusota Rumande Kwa Muda mrefu nao ni
Mutembei Mugyabuso
Kalokora John
Martin Katto
Mujwahuzi Katabani
Ngara
Jimmy Lindo
Kendrik Andrew
Bukoba...
Wanaukumbi.
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka...
Ninafarijika,
CCM imerudi kwenye Mikono salama,
Angalizo
Pamoja na CCM kukiuka baadhi ya Misingi 2015-2020 ila rushwa ya hadharani haikuwepo,
Nisingependa Kusikia
1. Wizi wa keki ya Taifa
2...
Ni siku zaidi ya 20 ambayo Mwenyekiti wa CHADEMA yupo jela bila kuonesha actions za maana
1. Nimeshangaa sana Godbless Lema anamlaumu Bob Wine wa Uganda kutolaumu serikali ya Samia kwa sakata la...
Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu...
USA Mfumuko wa bei ulikuwa 2.2% kabla ya Corana sasa ni 8.3% hili sio tatizo la Tanzania pekee. Bei ya Chakula imepanda kwa takribani 40% kuanzia nyama, maziwa, mafuta hata hapa kwa wachimbaji...