Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Dar es Salaam

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Hiki ni kikao ambacho kimsingi ndimo huandaliwa Ajenda karibu zote za Chama na kuwasilishwa kwenye Baraza Kuu .

Baada ya kamati kuu leo , kesho ajenda hizi zitawasilishwa kwenye Baraza Kuu , ambacho ndio kikao cha Juu zaidi cha Chama .

Baada ya kikao hicho baadhi ya mambo yatafafanuliwa kwa Waandishi wa Habari ili yapelekwe Duniani .
 
CHADEMA sitawaamini tena ikiwa, watapeleka wabunge viti maalumu au kutowafukuzia mbali wasaliti wote sio tu hao 19.
Watakuwa wamelitendea haki taifa, kwa kuzungumza Masula ya Taifa kuliko kutumia mda mwingi kwenye mkutano huo kujadili watu.
 
Kuna wapumbavu wengi sana nchi hii

Tanzania inapambana na High level of Prices ( Inflation ya hatari sana), Hakuna Chadema wala ccm alietoa suluhisho nchi inatokaje hapa ilipo

Price level ni nafuu watu wa mjini wana kipato lakini huko Kyela mleta uzi ndugu zako hali mbaya, Wanashindwa hata kufua nguo kwa kununua kipande cha komoa au ushindi

Vikao vya ccm Bungeni au Chadema Mlimani City vina manufaa gani kwa Taifa kama hakuna mtu mwenye Suluhu ya haya matatizo

Nawasaidia Chadema mwambieni Mwigulu waongeze Subsidies to Oil importers companies

Vita ya Ukraine kwanza inapamba moto watu ndio wanapeleka vifaru vya kisasa toka Nato, Tegemea bei kupanda zaidi

Huu ndio wakati wa serikali kununua na kujaza mafuta na Gas kwenye maghala yao
 
Mkuu, kwa mujibu wa Katiba yenu ya chama, kati ya Baraza Kuu na Mkutano Mkuu, ni kipi kati ya hivyo viwili ni chombo kikuu cha mwisho cha maamuzi?
 
... Africa south of the Sahara inasubiri kwa hamu yatokanayo.
 
Kuna wapumbavu wengi sana nchi hii

Tanzania inapambana na High level of Prices ( Inflation ya hatari sana), Hakuna Chadema wala ccm alietoa suluhisho nchi inatokaje hapa ilipo...
Mkuu Kyela ipi ambayo wanashindwa kununua kipande cha komoa ? mbona tulishaachana na sabuni za vipande kitambo sana !
 
Kuna wapumbavu wengi sana nchi hii

Tanzania inapambana na High level of Prices ( Inflation ya hatari sana), Hakuna Chadema wala ccm alietoa suluhisho nchi inatokaje hapa ilipo

Price level ni nafuu watu wa mjini wana kipato lakini huko Kyela mleta uzi ndugu zako hali mbaya, Wanashindwa hata kufua nguo kwa kununua kipande cha komoa au ushindi

Vikao vya ccm Bungeni au Chadema Mlimani City vina manufaa gani kwa Taifa kama hakuna mtu mwenye Suluhu ya haya matatizo

Nawasaidia Chadema mwambieni Mwigulu waongeze Subsidies to Oil importers companies

Vita ya Ukraine kwanza inapamba moto watu ndio wanapeleka vifaru vya kisasa toka Nato, Tegemea bei kupanda zaidi

Huu ndio wakati wa serikali kununua na kujaza mafuta na Gas kwenye maghala yao
You are completely OFF THE TOPIC..!!!

Mwenzio anatoa taarifa ya kikao cha chama chao na ajenda, wewe unajadili frustrations zako...!

Hivi hapa ndo ungekuwa unafanya "achievement test" si ungeshafeli kwa uzembe wa kijinga kabisa wa kutoelewa swali linataka nini..?

Haa haa haaa...
 
Kuna wapumbavu wengi sana nchi hii

Tanzania inapambana na High level of Prices ( Inflation ya hatari sana), Hakuna Chadema wala ccm alietoa suluhisho nchi inatokaje hapa ilipo...
Kwani Chadema inaunda serikali mpaka ilete suluhisho? hizi ni akili za wapi?

Kama ni kumshauri kiongozi Mkuu wa Chadema jana alikuwa na mazungumzo na Rais je unajuwa wameongea nini?
 
Hiki ni kikao ambacho kimsingi ndimo huandaliwa Ajenda karibu zote za Chama na kuwasilishwa kwenye Baraza Kuu .

Baada ya kamati kuu leo , kesho ajenda hizi zitawasilishwa kwenye Baraza Kuu , ambacho ndio kikao cha Juu zaidi cha Chama .

Baada ya kikao hicho baadhi ya mambo yatafafanuliwa kwa Waandishi wa Habari ili yapelekwe Duniani .
Safi na tunategemea wasaliti wowote waenguliwe kwenye nafasi zao na chama kuwekwa safi kabisa baada ya dikteta kufa.
 
Mgeni rasmi wa chadema
Screenshot_20220510-201933.jpg
 
CHADEMA sitawaamini tena ikiwa, watapeleka wabunge viti maalumu au kutowafukuzia mbali wasaliti wote sio tu hao 19.
Watakuwa wamelitendea haki taifa, kwa kuzungumza Masula ya Taifa kuliko kutumia mda mwingi kwenye mkutano huo kujadili watu.
ila unawaami wakoloni weusi ccm? ukapimwe akili sio bure
 
Kwahy chadema ndy serikali,kama rais wenu anatangaza wazi hadharani kuwa vitu vitapanda bei zaid unataka chadema wafanyaje?
Ndio nafasi yao mujarabu kujipambanua kwa wananchi kuwa wao wana suluhisho ya matatizo yao; hivyo wanaweza kuongoza serikali ya nchi!! Do not waste time discussing people; that is the avenue of small minds!! Mambo ya hao wanawake yaliisha amuliwa hapo Awali na chombo muhimu cha Chama.
 
[QUOE="Rhz4567, post: 42564148, member: 480781"]Kwahy chadema ndy serikali,kama rais wenu anatangaza wazi hadharani kuwa vitu vitapanda bei zaid unataka chadema wafanyaje?[/QUOTE]

A
 
Back
Top Bottom