Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,428
- 4,220
Hivi kama nchi tunatumia fikra za nani hasa? Nimesikitika kusikia mamlaka ikitetea uamuzi wa kuwakopesha watoto wa watumishi tu kupata masomo ya vyuo vya kati. Hivi tunafeli wapi kama nchi. Hiyo sera imeamriwa na nani hasa? Binafsi naamini duniani hakuna inayoitwa nchi inaweza kuamua hiyo sera ya ovyo kama hiyo.
Viongozi kama Nyerere wanaheshimika si kwa kufanya mazingaombwe ila ina base kusimamia maamuzi yanayojali utu kwa kila hali kuna maamuzi huwa ukiyatazama unashindwa kujua kuwa muamuzi anayo elimu japo ya QT.
I might be wrong ila nasubiri maoni ya wananchi wenzangu.