Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
16 Reactions
94 Replies
8K Views
Hii sakata ya Halima na wenzake inatoa fursa kwa Chadema kujisahihisha. Kuna uwezekano mkubwa kuwa Halima aliamua kufanya alichofanya baada ya kuhisi kuwa kuna orodha mbadala ilitayarishwa tofauti...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi...
12 Reactions
32 Replies
3K Views
Bunge litaendelea na vikao vyake leo na kubwa linalotarajiwa kutokea ni mrejesho wa hatua ambazo Serikali inatarajiwa kuchukua kukabiliana na kupanda kwa kasi bei za mafuta kunakotajwa...
8 Reactions
160 Replies
12K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ongezeko la mashitaka limekuwa kubwa na kuweka wazi kuwa hiyo inachangia Mahakama zilizopo kutokishi mahitaji ya kutoa huduma kwa wote wenye mahitaji, ndio...
2 Reactions
5 Replies
913 Views
Moja kwa moja kwenye mada husika. Chadema kwa sasa mnafurahia kuwaondoa hao mnaowaita COVID 19 lakini mkumbuke hao ndio waliokipigania chama. Wakati wanavuja jasho na damu kuwatetea wengi wenu...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Karma anakaribia kuwamaliza watu CHADEMA. Alianza Zitto na wenzake kumtimua Chacha Wangwe nao wakatimuliwa. Akaja Dr Slaa na akina Mdee kuwatimua Zitto na akina Kafulila nao leo wametimuliwa na...
0 Reactions
8 Replies
921 Views
Kwa nchi ya USA mbegu zina hati miliki na kilimo cha hapa ni lazima ununue mbegu kila msimu. Mbegu hizi ambazo wamezitengeneza na kuhakikisha mazao hayawi na mbegu ili waweze kuuza mbegu...
1 Reactions
0 Replies
555 Views
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hawezi kusaliti demokrasia na mageuzi ambayo yeye ameyapigania tangu akiwa na umri wa utoto. “Mimi ni miongoni mwa watu tuliopachikwa jina la...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000 Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu hawa wanasisa machachali kipi kimewapata, yaani Halima na Ester wamesahaulika mapema sana. Na baada ya Halima kutoka BAWACHA, naona hakuna kilichobadilika, BAWACHA wamekuwa strong than...
23 Reactions
93 Replies
7K Views
Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais...
45 Reactions
99 Replies
6K Views
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka. Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka...
35 Reactions
163 Replies
14K Views
Wakuu Nimekuwa Nikimuona Sana Prof. E. Hosea akifanya Tour ya Kampeni Kwenye Vyombo vya Habari Kila Siku. . Tour yake anayoifanya Kwenye Vyombo vya Habari amekuwa akifanya Kampeni Ya Kutaka Urais...
1 Reactions
5 Replies
697 Views
Tanzania inatarajiwa kuanza kununua sukari kutoka Uganda ikiwa ni ishara ya kuashiria kulegea kwa moja ya migogoro ya kibiashara iliyodumu kwa takriban miaka mitatu. Rais Samia Suluhu, katika...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Baada ya kuingia bungeni kihuni kwa kushirikiana na spika aliyefukuzwa uspika pamoja na simba wa yuda na kuapishwa kihuni kwenye gereji badala ya ndani ya ukumbi wa Bunge, na kuhakikishiwa ulinzi...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwenye mada moja kwa moja kile kilichotokea jana kwa kwa wanachama wa CHADEMA,19. Halima Mdee na wenzake kuwafukuza rasmi uanachama wengi hawakukitegemea. Wengi walijua wale wabunge wa...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Hawa waliteuliwa kwa vikao halali, kwa barua ya CHADEMA, na wakaapishwa, waende Mahakamani kesho kwa hati ya dharura!
6 Reactions
131 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Imepita miaka minane tangu Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake walipofukuzwa Chadema kwa madai ya usaliti; sasa ameibuka na kusema ni kosa kubwa...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Halima na wenzake wasipoteze muda kutaka kwenda Mahakamani,kwani wanatuhumiwa kughushi sahihi za Viongozi wa chadema Hata kama hawakughushi wao,aliewasaidia kughushi yupo. Kwa hiyo kama wakitaka...
16 Reactions
49 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…