Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Kuna watu wanaweza kuunga mkono ujinga, sidhani kama wewe ni miongoni mwao. Kanuni zinakataza kutumia lugha za lakini kienyeji bado kuna watu wanafanya na tunawaunga mkono.
 
Back
Top Bottom