Karma anaendelea kuwala watu CHADEMA. Sasa ni Mdee

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Karma anakaribia kuwamaliza watu CHADEMA. Alianza Zitto na wenzake kumtimua Chacha Wangwe nao wakatimuliwa.

Akaja Dr Slaa na akina Mdee kuwatimua Zitto na akina Kafulila nao leo wametimuliwa na Mbowe na Lissu nadhani sasa ni Kati ya Lissu na Mbowe ndio Karma anawafuata
 
Hata wewe Karma inakutafuta si ulikuwa mmoja wao mkuu.
 
Karma anakaribia kuwamaliza watu CHADEMA. Alianza Zitto na wenzake kumtimua Chacha Wangwe nao wakatimuliwa.

Akaja Dr Slaa na akina Mdee kuwatimua Zitto na akina Kafulila nao leo wametimuliwa na Mbowe na Lissu nadhani sasa ni Kati ya Lissu na Mbowe ndio Karma anawafuata
Na wewe ulitimuliwa na nani ili tujue karma yake itafika lini?
 
Karma anakaribia kuwamaliza watu CHADEMA. Alianza Zitto na wenzake kumtimua Chacha Wangwe nao wakatimuliwa.

Akaja Dr Slaa na akina Mdee kuwatimua Zitto na akina Kafulila nao leo wametimuliwa na Mbowe na Lissu nadhani sasa ni Kati ya Lissu na Mbowe ndio Karma anawafuata
Mavi uharo
 
Tatizo watu wengi hawajajua,Chadema sio mtu mmoja,Chadema ni idea,wazo,vuguvugu,itikadi,you can kill people but you can't kill an idea,
Alitoka Dr Kabourou chama kikabaki,akatoka Slaa,chama kipo,Kafulila,zito,mdee na wenzie,wote nje,lakini misingi ya chama ipo pale pale,watakuja wengi tu zaidi ya hao.
Hata Mbowe,Lisu wakitoka,vipo vichwa vingine vikali tu,
Chadema ina "think tank"gate keepers,Kuna back benchers wanaopanga mikakati ya chama,wewe na kichwa panzi chako ukifikiri unapambana na Mbowe!watu wanakucheka tu,wanakuona kama mtoto anayejaribu kutingisha mbuyu,anaishia kutikisa makalio tu!Chadema sio ccm inayoendeshwa na hisia za mwenyekiti tu!
 
Back
Top Bottom