Msije kuwaita wasaliti tena-Mmeshawafukuza

fdizzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,902
Reaction score
2,405
Moja kwa moja kwenye mada husika. Chadema kwa sasa mnafurahia kuwaondoa hao mnaowaita COVID 19 lakini mkumbuke hao ndio waliokipigania chama. Wakati wanavuja jasho na damu kuwatetea wengi wenu mlikuwa nyuma ya TV mkiangalia wao wakiwa mstari wa mbele kupigwa mabomu ya machozi.

Chama kinazidi kupunguza nguvu ya ushawishi kwa kuwaondoa wapiganaji wa Chama na kuleta watukanaji matusi ambao wao kutukana ndio hoja yao ya msingi.

Mmewafukuza uanachama na lengo lenu wapotee kisiasa, wanapoenda ACT Wazalendo wakipewa platform na wakainuka tena kisiasa kama ilivyo kwa Zito Kabwe msianze kuwadandia tena na maneno yenu ya ovyo sijui wasaliti hawapaswi kuaminiwa. Wapo watu wanawaamini, ndio maana hata kwenye kura zilizopigwa zipo perent zinaonesha hawajakubaliana na maamuzi na zingine zikiwa NEUTRAL.
 
A traitor! Always a traitor. Wakienda ACT ndio basi tena full kusnitch upinzani wakiongozwa snitch mkuu ZZK
 
Moja kwa moja kwenye mada husika. Chadema kwa sasa mnafurahia kuwaondoa hao mnaowaita COVID 19 lakini mkumbuke hao ndio waliokipigania chama. Wakati wanavuja jasho na damu kuwatetea wengi wenu mlikuwa nyuma ya TV mkiangalia wao wakiwa mstari wa mbele kupigwa mabomu ya machozi.

Chama kinazidi kupunguza nguvu ya ushawishi kwa kuwaondoa wapiganaji wa Chama na kuleta watukanaji matusi ambao wao kutukana ndio hoja yao ya msingi.

Mmewafukuza uanachama na lengo lenu wapotee kisiasa, wanapoenda ACT Wazalendo wakipewa platform na wakainuka tena kisiasa kama ilivyo kwa Zito Kabwe msianze kuwadandia tena na maneno yenu ya ovyo sijui wasaliti hawapaswi kuaminiwa. Wapo watu wanawaamini, ndio maana hata kwenye kura zilizopigwa zipo perent zinaonesha hawajakubaliana na maamuzi na zingine zikiwa NEUTRAL.
Yap kaeni nao ACT siyo lazima wabaki CHADEMA
 
Msije kuwaita wasaliti
Kwani mtu akiwa msaliti, halafu akaadhibiwa, anageuka na kutokuwa msaliti?

Mwizi akikamatawa akahukumiwa kwa sababu ya kuwa mwizi, kwa sababu tu amehukumiwa, haitwi mwizi?

Ni hakika kabisa, Halima Mdee ni kati ya watu waliokipambania sana chama, hata kufikia kuaminika, akigeuka na kuwasaliti wenzake, hawi msaliti kwa vile tu alikipambania chama?

Yuda Iskariote, alikuwa mtume, na bila shaka aliaminika, hadi kupewa cheo cha utunzaji hazina, lakini baadaye alimsaliti Bwana wake. Wasaliti siku zote huwa ni watu walioaminika awali, lakini baadaye, kinyume kabisa na mategemeo, wanabadilika na kwenda kinyume cha wenzao.
 
Back
Top Bottom