Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa siku mbili hizi za Jana na Leo nimepata nafasi ya kufuatilia bunge mubashara toka Dodoma. Nimetazama na kusikiliza lakini ile radha ya bunge haipo kabisa. Kuna wenye hoja lakini kwa jinsi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeona niandike machache kwa leo yanayowahusu watumishi wa umma ambao ni walimu, watu wa sekta ya afya na kada mbalimbali katika utumishi wa umma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kazi ya mwanasiasa ni kufanya siasa. Maamuzi ya mwisho ya kuwavua uwanachama wa CHADEMA wabunge Halima Mdee na wenzake 18 baada ya rufaa yao kukataliwa, huenda yakawatoa rasmi kwenye siasa za...
14 Reactions
126 Replies
7K Views
Wanawake mashujaa wa CHADEMA waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao. Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao. Kilichotokea kwenye mchakato wa...
6 Reactions
95 Replies
7K Views
Kwa jinsi navyozijua siasa za nchi hii, Mbowe ataalikwa kwenda Magogoni either yeye kama yeye, au ataambatana na viongozi wengine wa CHADEMA. Watafanya yote ila target yao kubwa itakuwa ni kupata...
19 Reactions
49 Replies
5K Views
Hivi mnawaona watanzania kama watoto wadogo kiasi cha kuwadanganya namna hii? Hii filamu ina nini nyuma yake mpaka muitetee hivi? Kuna nini kimejificha huko? Haya unayotuambia PM Majaliwa ni...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kelele za CHADEMA ni wimbo naona ni kelele tu ambazo hazina tija yoyote? Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa CHADEMA alilalamika kuwa sahihi yake ilighushiwa na wabunge 19 walioapishwa mwaka 2020 na...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Hiyo ndiyo habari inayoenea kwa kasi zaidi kwa sasa hapa Duniani! Kwa mujibu wa Shaka Nchi zaidi ya tatu zinamtaka Samia awe Rais wao.
15 Reactions
78 Replies
5K Views
Ukweli lazima usemwe. Chadema ilipofikia inaelekea kufa kabisa katika siasa za vyama vingi Tanzania. Chadema haikujengwa kwa sera bali ilijengwa na umahiri , weledi na uwezo wa mtu mmoja mmoja...
15 Reactions
182 Replies
10K Views
Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu. Swali la kujiuliza. Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nasema haipendezi kuona ndani ya bunge kuna wabunge wengine hawana vyama Ili kuwatendea haki akina Halima Mdee na wenzake ni vema wamapewa kabisa kadi za CCM kama ilivyofa yika kwa Prof Kitila...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI. Leo 21:30pm 02/05/2022 Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?” Anasema, “Nilichokigundua baada...
12 Reactions
37 Replies
4K Views
Huwa nawashangaa sana Chadema wanapomnenea mabaya hayati Magufuli Chadema ni lazima waelewe hayati Magufuli yuko mioyoni mwa wata zania wengi na kwahiyo bado anaishi kwenye siasa za Tanzania...
3 Reactions
8 Replies
778 Views
Napenda kusema kwamba viongozi wa CHADEMA na kundi linaowaunga mkono waache nongwa kwa wabunge 19 walioapishwa na Spika Job Ndugai mwaka 2020 kwani kuwafukuza kwao kwenye chama bila kufuata...
0 Reactions
5 Replies
570 Views
Mwaka 2014, Zitto Kabwe aliitwa na Kamati Kuu ya Chadema akitakiwa kujibu tuhuma za usaliti dhidi ya chama lakini hakuitikia wito huo. Badala yake Zitto kupitia kwa wakili wake Arbert Msendo...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nilikuwa naongea na rafiki yangu hapa south africa. akawa ananiambia kuwa anatamani sana kama Rais Samia angekuwa Rais wao. Huyu jamaa yangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa Pretoria South...
2 Reactions
50 Replies
3K Views
OFISI YA WASEMAJI WA KISEKTA. HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA AFYA DR. NASRA OMAR – ACT WAZALENDO KUHUSU MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2022/23...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama hoja ni katiba mbona hata hii mbovu unavunjwa kila siku? Sisi ni waovu, wabaya, watu tusiokuwa na maadili. Hili swala la hawa wanawake linaweza kuleta mgogoro mkubwa sana kama busara...
5 Reactions
4 Replies
492 Views
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr...
5 Reactions
95 Replies
11K Views
Back
Top Bottom