Machache yanayowahusu Walimu Sekta ya Afya na kada mbalimbali katika Utumishi wa Umma

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
Nimeona niandike machache kwa leo yanayowahusu watumishi wa umma ambao ni walimu, watu wa sekta ya afya na kada mbalimbali katika utumishi wa umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitangaza kupunguza Kodi ya mishahara (PAYE) kwa 1% kwa watumishi wa umma, akaenda mbali akafuta tozo ya 6% kwa Watumishi wa umma wenye Mikopo ya Elimu ya Juu na kuondoa adhabu ya 10% kwa kuchelewa kulipa Mkopo huo

Katika kuimarisha utawala bora na kutoa huduma bora kwa wananchi Rais Samia amewapandisha Vyeo na madaraja Watumishi 198,215 hili sio jambo dogo ni jambo linalohitaji ujasiri na haswa ukizingatia kuwa kila anaepandishwa daraja ana stahiki zake katika daraja husika

Katika kipindi cha mwaka mmoja Rais Samia ameridhia kuajiriwa zaidi ya watumishi wapya 40,000 katika kada mbalimbali zikiwemo afya na elimu

Katika eneo la utumishi wa umma, Mhe Rais Samia ameridhia pia kulipa malimbikizo ya mishahara kwa Wafanyakazi 75,000 ambayo ni zaidi ya Bilioni 124.3 fedha ambazo sasa zimeingia katika mzunguko wa maisha ya watumishi hatua inayoongeza mzunguko wa fedha mitaani

Jerry C. Muro
Dc Ikungi
16/05/2022
 
Hongera sana mama Samia, Mwenyezi Mungu akujalie afya uongoze dhamana uliyopewa
 
Ili uwe mwanasiasa mtiifu kwenye hii nchi, kwanza unatakiwa uuvue utu wako, uukanyage kwenye maji taka yalio changanywa na shombo la sangara, kisha uyakoge alafu utembee barabarani...
 
Nimeona niandike machache kwa leo yanayowahusu watumishi wa umma ambao ni walimu, watu wa sekta ya afya na kada mbalimbali katika utumishi wa umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitangaza kupunguza Kodi ya mishahara (PAYE) kwa 1% kwa watumishi wa umma, akaenda mbali akafuta tozo ya 6% kwa Watumishi wa umma wenye Mikopo ya Elimu ya Juu na kuondoa adhabu ya 10% kwa kuchelewa kulipa Mkopo huo

Katika kuimarisha utawala bora na kutoa huduma bora kwa wananchi Rais Samia amewapandisha Vyeo na madaraja Watumishi 198,215 hili sio jambo dogo ni jambo linalohitaji ujasiri na haswa ukizingatia kuwa kila anaepandishwa daraja ana stahiki zake katika daraja husika

Katika kipindi cha mwaka mmoja Rais Samia ameridhia kuajiriwa zaidi ya watumishi wapya 40,000 katika kada mbalimbali zikiwemo afya na elimu

Katika eneo la utumishi wa umma, Mhe Rais Samia ameridhia pia kulipa malimbikizo ya mishahara kwa Wafanyakazi 75,000 ambayo ni zaidi ya Bilioni 124.3 fedha ambazo sasa zimeingia katika mzunguko wa maisha ya watumishi hatua inayoongeza mzunguko wa fedha mitaani

Jerry C. Muro
Dc Ikungi
16/05/2022
Mama kanigusa kwenye vyote hapo juu.
Sijui cha kumlipa,zaidi ya uchapaji kazi uliotukuka!
Japo ccm chenga nyingi sana.
 
Nimeona niandike machache kwa leo yanayowahusu watumishi wa umma ambao ni walimu, watu wa sekta ya afya na kada mbalimbali katika utumishi wa umma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitangaza kupunguza Kodi ya mishahara (PAYE) kwa 1% kwa watumishi wa umma, akaenda mbali akafuta tozo ya 6% kwa Watumishi wa umma wenye Mikopo ya Elimu ya Juu na kuondoa adhabu ya 10% kwa kuchelewa kulipa Mkopo huo

Katika kuimarisha utawala bora na kutoa huduma bora kwa wananchi Rais Samia amewapandisha Vyeo na madaraja Watumishi 198,215 hili sio jambo dogo ni jambo linalohitaji ujasiri na haswa ukizingatia kuwa kila anaepandishwa daraja ana stahiki zake katika daraja husika

Katika kipindi cha mwaka mmoja Rais Samia ameridhia kuajiriwa zaidi ya watumishi wapya 40,000 katika kada mbalimbali zikiwemo afya na elimu

Katika eneo la utumishi wa umma, Mhe Rais Samia ameridhia pia kulipa malimbikizo ya mishahara kwa Wafanyakazi 75,000 ambayo ni zaidi ya Bilioni 124.3 fedha ambazo sasa zimeingia katika mzunguko wa maisha ya watumishi hatua inayoongeza mzunguko wa fedha mitaani

Jerry C. Muro
Dc Ikungi
16/05/2022
Ni sehemu ya Kampeni iliyoanza kuelekea 2025?

Mbona mnahangaika sana?
 
Back
Top Bottom