Ikiwa wabunge wanawake waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa mahakamani je wataendelea kuwa wabunge?

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu.

Swali la kujiuliza.

Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa uamuzi?
 
Ndio wataeedelea kukinga milioni 15 kila mwezi bila makato ( PESA ya UMMA)
 
Utaratibu rasmi wa kisheria ni kuwa, mtu ukivuliwa uanachama automatically unapoteza na ubunge hapo hapo. Na kama hukuridhika na uamuzi wa Chama chako kukuvua uanachama, basi unakwenda mahakamani kufungua kesi (sio kukata rufaa) ili kuiomba mahakama itengue maamuzi ya chama chako ya kukuvua uanachama. Na ikiwa mahakama itaona una haki basi itatengua maamuzi ya chama chako yaliyokuvua uanachama na wakati huo huenda hata bunge lilishavunjwa, au mtu mwingine alishapewa nafasi yake na hauwezi kuidai popote.

Kwa kifupi sana mahakamani unakwenda kudai kile ulichopoteza (uanachama) na sio faida za kuwa mwanachama (kama ubunge).
 
Kongolee
 
Nimeona maelezo yako lakini kimantiki ya kisheria wakienda mahamamani hadhi ya ya ubunge inabaki kama ilivyo na wataendelea kutambulika kama wanachama wa chadema mpaka hapo mahakama itakavyoamua vinginevyo maana status quo itakuwa maintained kama ilivyo.
 
Kesi ya msingi ni Mdee & Company against Chadema na maamuzi ya kuwavua ubunge.

Kisha wanafungua dai lingine on top of msingi....kuiomba mahakama kuweka zuio la wao kuvuliwa ubunge mpaka maamuzi ya kesi ya msingi yatolewe.

Just....Like ..... That■
 
Samahani kiongozi mimi Sina taaluma ya sheria.....lakini kwa mujibu wa maelezo ya mkuu hapo juu ni kuwa mantiki ya wao kwenda mahakamani ni kutoridhishwa na maamuzi ya chama Chao kuwavua uanachama ambapo kwa mujibu wa sheria ni kuwa tukio la wao kuvuliwa uanachama automatically wanapoteza sifa za kuwa WABUNGE.....Wataendaje mahakamani kudai haki ya uanachama ili wapate sifa ya ubunge alafu wakati huo huo wawe wabunge mpaka mahakama itoe uamuzi......
 
Kesi ya msingi ni Mdee & Company against Chadema na maamuzi ya kuwavua ubunge.

Kisha wanafungua dai lingine on top of msingi....kuiomba mahakama kuweka zuio la wao kuvuliwa ubunge mpaka maamuzi ya kesi ya msingi yatolewe.

Just....Like ..... That■
Ok....hapo nimekupata vyema kabisa......kwa kufungua kesi dhidi ya CHADEMA pekee kunaweza kuwafanya wapoteze ubunge wao....??
 
Nchi hii inaongozwa kwa sheria, kanuni na taratibu.

Swali la kujiuliza.

Je, ikiwa wale wabunge waliofukuzwa CHADEMA wakakata rufaa Mahakamani wataendelea kuwa Wabunge mpaka hapo Mahakama itakapotoa uamuzi?
Ndio, kwa sababu Bunge halijawavua ubunge, ubunge ni Mali ya bunge, sio lile Baraza la Kahawa la CDM
 
Back
Top Bottom