Wananchi wa Nchi Mbalimbali Bado wanaendelea kutuma Maombi ya kumtaka Rais Samia awe Rais wao. Tanzania tuna bahati sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,743
Nilikuwa naongea na rafiki yangu hapa south africa. akawa ananiambia kuwa anatamani sana kama Rais Samia angekuwa Rais wao. Huyu jamaa yangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa Pretoria South Africa. Ni jamaaa wa nne namsikia akisema maneno hayo. Maana last week nilikuwa Zambia nako nilimsikia jamaa mmoja ni Muuzaji wa Mafuta (Mfanyabiashara 0 naye alitamani kama wangekuwa na Rais kama Samia ambaye ameleta mapinduzi Makubwa katika Uchumi ndani ya muda mfupi sana.

Haraka ikaunganisha na lile tamko kuwa kuna maombi ya nchi kama tatu hivi yakitaka Rais Samia awe Rais wao. hapo nikashukuru Mungu kuwa sisi Tanzania tumebarikiwa sana. na inawezekana tusione jambo hili kwa wepesi ila kweli nawaambia nabii hakubaliki kwao. Toka awe madarakani tumeona mapinduzi makubwa sana katika biashara. Nchi sasa imefunguliwa watu wanaingia na kutoka. Zamani hali ilikuwa ngumu na kupelekea hata watu kuanza kuiba yale masega ya kwenye magari kuyatumia. Sasa hayo mambo yameisha hawaibi tena sababu hamna sababu zao zile za kipuuzi ze kuiba wakayavute kama madawa ya kulevya.

Mpaka tukifika mwaka 2025 niamini mimi nachokwambia kuna watu watakuwa wanakuja kumwazima akaongoze nchi zao hata kwa wiki kadhaa tu. Kenya nao naona wanapiga jalamba katika harakati hizi za kumtaka Rais Samia awe wao.

Jamaa hawachelewi kusema ni Rais wao kwa jinsi ambavyo siku zote hupenda vitu vizuri viwe vyao.
 
Haijawahi kutokea hata wasanii juzi wamemshukuru kuwasaidia kupata tuzo za music hakika anastahili kuwa hata Rais wa ulimwengu anawajali sana raia wa kipato cha chini
 
Naunga mkono hoja, mama ameimarisha demokrasia sana , pesa imerudi mtaani hakuna hofu ya kutekwa na kuuwawa kama zamani.
 
Siyo wananchi tu! Hata Rais wa Ukraine amesema hivyo, na Putin, pia na Biden naye wanataka Rais wetu awe raisi wao. Vile vile China, Brazil, Mongolia na Japan! Wote wanataka awe Rais wao! Kama una amini uliyoandika, pia amini ya kwangu.
safi sana. halafu kuna mitanzania hai appreciate jambo hili? sisi sijui nani katuroga.... huyu rais ameshaanza kupendwa hadi na mataifa ya ulaya.
 
nilikuwa naongea na rafiki yangu hapa south africa. akawa ananiambia kuwa anatamani sana kama Rais Samia angekuwa Rais wao. Huyu jamaa yangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa Pretoria South Africa. ni jamaaa wa nne namsikia akisema maneno hayo. Maana last week nilikuwa Zambia nako nilimsikia jamaa mmoja ni Muuzaji wa Mafuta (Mfanyabiashara 0 naye alitamani kama wangekuwa na Rais kama Samia ambaye ameleta mapinduzi Makubwa katika Uchumi ndani ya muda mfupi sana.

haraka ikaunganisha na lile tamko kuwa kuna maombi ya nchi kama tatu hivi yakitaka Rais Samia awe Rais wao. hapo nikashukuru mungu kuwa sisi Tanzania tumebarikiwa sana. na inawezekana tusione jambo hili kwa wepesi ila kweli nawaambia nabii hakubaliki kwao. toka awe madarakani tumeona mapinduzi makubwa sana katika biashara. nchi sasa imefunguliwa watu wanaingia na kutoka. zamani hali ilikuwa ngumu na kupelekea hata watu kuanza kuiba yale masega ya kwenye magari kuyatumia. sasa hayo mambo yameisha hawaibi tena sababu hamna sababu zao zile za kipuuzi ze kuiba wakayavute kama madawa ya kulevya.

mpaka tukifika mwaka 2025 niamini mimi nachokwambia kuna watu watakuwa wanakuja kumwazima akaongoze nchi zao hata kwa wiki kadhaa tu. Kenya nao naona wanapiga jalamba katika harakati hizi za kumtaka rais samia awe wao. jamaa hawachelewi kusema ni rais wao kwa jinsi ambavyo siku zote hupenda vitu vizuri viwe vyao.
Aisee mimi natamani wamchukue hata leo
 
Bodi ya ligi ikiwapendeza wawezeshe tupate mfungaji bora wa ligi kuu msimu huu toka jumba jeupe
Haijawahi kutokea hata wasanii juzi wamemshukuru kuwasaidia kupata tuzo za music hakika anastahili kuwa hata Rais wa ulimwengu anawajali sana raia wa kipato cha chini
 
nilikuwa naongea na rafiki yangu hapa south africa. akawa ananiambia kuwa anatamani sana kama Rais Samia angekuwa Rais wao. Huyu jamaa yangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa Pretoria South Africa. ni jamaaa wa nne namsikia akisema maneno hayo. Maana last week nilikuwa Zambia nako nilimsikia jamaa mmoja ni Muuzaji wa Mafuta (Mfanyabiashara 0 naye alitamani kama wangekuwa na Rais kama Samia ambaye ameleta mapinduzi Makubwa katika Uchumi ndani ya muda mfupi sana.

haraka ikaunganisha na lile tamko kuwa kuna maombi ya nchi kama tatu hivi yakitaka Rais Samia awe Rais wao. hapo nikashukuru mungu kuwa sisi Tanzania tumebarikiwa sana. na inawezekana tusione jambo hili kwa wepesi ila kweli nawaambia nabii hakubaliki kwao. toka awe madarakani tumeona mapinduzi makubwa sana katika biashara. nchi sasa imefunguliwa watu wanaingia na kutoka. zamani hali ilikuwa ngumu na kupelekea hata watu kuanza kuiba yale masega ya kwenye magari kuyatumia. sasa hayo mambo yameisha hawaibi tena sababu hamna sababu zao zile za kipuuzi ze kuiba wakayavute kama madawa ya kulevya.

mpaka tukifika mwaka 2025 niamini mimi nachokwambia kuna watu watakuwa wanakuja kumwazima akaongoze nchi zao hata kwa wiki kadhaa tu. Kenya nao naona wanapiga jalamba katika harakati hizi za kumtaka rais samia awe wao. jamaa hawachelewi kusema ni rais wao kwa jinsi ambavyo siku zote hupenda vitu vizuri viwe vyao.
Kunzima mfwetu!
 
Nilikuwa naongea na rafiki yangu hapa south africa. akawa ananiambia kuwa anatamani sana kama Rais Samia angekuwa Rais wao. Huyu jamaa yangu ni mfanya biashara mkubwa sana hapa Pretoria South Africa. Ni jamaaa wa nne namsikia akisema maneno hayo. Maana last week nilikuwa Zambia nako nilimsikia jamaa mmoja ni Muuzaji wa Mafuta (Mfanyabiashara 0 naye alitamani kama wangekuwa na Rais kama Samia ambaye ameleta mapinduzi Makubwa katika Uchumi ndani ya muda mfupi sana.

Haraka ikaunganisha na lile tamko kuwa kuna maombi ya nchi kama tatu hivi yakitaka Rais Samia awe Rais wao. hapo nikashukuru Mungu kuwa sisi Tanzania tumebarikiwa sana. na inawezekana tusione jambo hili kwa wepesi ila kweli nawaambia nabii hakubaliki kwao. Toka awe madarakani tumeona mapinduzi makubwa sana katika biashara. Nchi sasa imefunguliwa watu wanaingia na kutoka. Zamani hali ilikuwa ngumu na kupelekea hata watu kuanza kuiba yale masega ya kwenye magari kuyatumia. Sasa hayo mambo yameisha hawaibi tena sababu hamna sababu zao zile za kipuuzi ze kuiba wakayavute kama madawa ya kulevya.

Mpaka tukifika mwaka 2025 niamini mimi nachokwambia kuna watu watakuwa wanakuja kumwazima akaongoze nchi zao hata kwa wiki kadhaa tu. Kenya nao naona wanapiga jalamba katika harakati hizi za kumtaka Rais Samia awe wao.

Jamaa hawachelewi kusema ni Rais wao kwa jinsi ambavyo siku zote hupenda vitu vizuri viwe vyao.
Marafiki zako wanabugia unga?
 
IMG_20220403_144603_993.jpg
 
Back
Top Bottom