Wakuu Kitu ambacho mnapashwa Muelewe ni kwamba Halima na Wenzake wamefukuzwa Uanachama na Sio Ubunge.
.
Hata kama Akina Halima wamefukuzwa Uanachama, Lazima wale waliowafukuza Uanachama...
Katika Jumuia ya Afrika Mashariki Tanzania tutakuwa tunaongea kwa kuwa na Watu WANAFIKI tena bila kujali Umri wala Cheo.
Nikikumbuka wakati wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 hakuna aliyediriki KUKOSOA...
Nimesoma hili Tangazo la TFRA la bei elekezi za mbolea lakini nimeshindwa kuziona. Hizo bei zinapatikana wapi.
TAARIFA KWA UMMA: BEI ELEKEZI ZA MBOLEA (DAP, UREA, CAN NA SA)
01st Apr, 2022...
KANUNI ZA BUNGE ZATENGULIWA KUPISHA MFUNGO
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limetengua Kanuni kwa ajili ya kuruhusu Mfungo wa Mwezi wa Ramadhan ambapo mabadiliko hayo yataendelea hadi...
Hapa JF inaonekana ukisema kitu kinyume na CHADEMA wewe hukitakii mapenzi mema, au wewe ni mwana CCM. Wengine sisi hatuna vyama, tunapoona chama kinakosea kosea mambo madogo madogo lazima tuseme...
Wanafunzi na wanaharakati wengine wa maeneo mbalimbali mjini Paris wameandamana kupinga kampuni ya kifaransa ya Total kujenga bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga, Tanzania.
Wanafunzi hao na...
Ukiuniliza kwa sasa ni wilaya gani inakua kwa kasi kubwa sana ya maendeleo basi ni wilaya ya Kisarawe chini ya mkuu wa wilaya Nikki wa Pili.
Kuna Maendeleo ya kutisha sana Kisarawe, madarasa na...
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo...
Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili(genius) ametembelewa na mkurugenzi mkuu wa Plan International Dr.Mona Girgis.
Mambo mazuri wamejadiliana na ametoa msaada wa ujenzi wa madarasa...
Kuna clip inatrend baada tu Mhe. RAIS kutoka nchini Uganda ikionyesha kikundi kidogo Cha watu wakipinga uwekezaji kwenye Bomba la mafuta eti Ufaransa Kuna joto Kali kutokana na mabadiliko ya tabia...
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amezindua Bodi ya Wakurugenzi ya Tume ya Taifa ya Umwagiliaji leo tarehe 14 Mei, 2022 Jijini Dodoma, na kuitaka kuainisha maeneo mbalimbali ambayo kwa ujumla...
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.
Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri...
Mara kadhaa Prof. Hosea alipokuwa anaulizwa kuhusu msimamo wa TLS issue ya akina Halima Mdee alikataa kutoa msimamo wa chama hicho Cha kitaaluma. Ameona uchaguzi umekaribia na wapinzani wake...
Wakati wa uchaguzi mkuu 2020 aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Kawe kupitia Chadema Halima Mdee aliutangazia umma kuwa amekamata mabegi yenye kura feki akasema hatotambua matokeo yake leo kaungana...
Wakuu Rais ametangaza Sensa mwaka huu itafanyika mwezi wa nane,mara ya mwisho ilifanyika mwaka 2012 .Je kuna mafanikio gani yaliyotokea Kwa kuhesabu Sensa ya mwaka 2012? Lakini pia mwaka 1988...
Katika kuendesha shule au kuandaa mitahani ama fomu mbalimbali karatasi ni nyenzo muhimu sana.
Sasa zinavyopanda kwa kasi hii kwa kisingizio cha vita ya Urusi na Ukraine tutafika kweli. Katoni...
Leo tarehe 1/4/2022 nimeshinda kesi ya Rufaa Nambari 125 ya Mwaka 2021. Chini ya Judge Amir Mruma. Mahakama imetengua hukumu ya kesi namba 188/2017 iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...