Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi siyo Mwanasheria, ila nadhani Spika km binadamu (km siyo hila) ameteleza kwy uamuzi wake ambao nadhani umekandamiza Baraza la Udhamini na Chadema pia. Mhe. Spika amesema Mhe. Mdee alimwambia...
0 Reactions
8 Replies
905 Views
Katika kila kikao cha Bunge kuna muda wa maswali yanayotakiwa kujibiwa na Mawaziri au Manaibu Mawaziri wa Wizara mbalimbali na baadaye kama Mhe. Mbunge hakuridhika anaruhusiwa kuuliza swali au...
1 Reactions
4 Replies
616 Views
Leo Spika, Tulia Ackson ametoa mrejesho wa muongozo uliiombwa 20 May 2022 na mbunge wa Handeni, Reuben Kwagilwa ambapo aliuliza lini Serikali itaanza ujenzi wa barabara ya Handeni-Singida kiwango...
1 Reactions
3 Replies
727 Views
Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
NGO za kidini mpeni nishani ya heshima.Mama Samia kwa kutambua haki za kidini na kutozikwamisha kwa lolote Wala kuzisumbua sumbua Viongozi wa dini mashahidi .Awamu hii usumbufu haupo Mnyonge...
3 Reactions
112 Replies
5K Views
Rais Samia amemteua Brigedia Jenerali Yohana Ochalla Mabongo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania (TPC). Jenerali Mabeyo kwa sasa ana umri wa miaka 65, inawezekana ndiyo anastaafu...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu. Mahakama mnakwama wapi? First...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ukisema hatA kama ulikuwa ni CCM kindakindaki, unakuwa mpinzani. Unatakiwa uwe mnafiki kusifia kila kitu Hivi;- Kuonyesha nyala za serikali ndio kuifungua Nchi - Kuonyesha hazina yako ndo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni fedheha na aibu kubwa kwa naibu waziri ndugu Katambi kutoa majibu yale ya kudhalilisha vijana wa nchi hii Kwa swali aliloulizwa. Kujibu kuwa vijana ambao hawajafanikiwa kupata mikopo...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Saalam! Ni muda mrefu sasa Watanzania wakilalamikia michango mashuleni bila majibu ya serikali. Malalamiko yanatoka na kukizana kwa kauli za viongozi wa kuu wa nchi na utendaji wa viongozi wa...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Katika zoezi la uwekaji wa anuani za makazi, bila shaka kila mmoja wetu ameshuhudia baadhi ya kasoro zilizojitokeza. Wengi wamelaumu wizara ya habari na mawasiliano kwa kuwa waziri wake alionekana...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Tunasoma mitandaoni kuwa kuna watu hivi sasa wanashikiliwa, watu ambao wanatajwa kuwa karibu na mtangulizi wa Mama yetu kwa tuhuma mbalimbali. Whistleblower wetu kule Twitter licha ya kumtaja...
17 Reactions
68 Replies
10K Views
Wizara ya Afya / Waziri wa Afya tunawapa pongezi kwa jitihada mbalimbali mnazofanya lengo likiwa ni kuimarisha afya ya mtanzania. Kuna changamoto kadhaa hasa kwa baadhi ya madaktari katika kutibu...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni kwamba, 1. Hii filamu tunaambiwa imegharamu Tshs 7 bn. Mpaka Leo hatujaambiwa ni kina nani wamechangia gharama hizi. 2. Tunaambiwa Peter at el ndiyo wenye hati miliki yaani copyright. Hivyo...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama alivyotambulishwa na Rais Samia, Bi khadija ambaye ni mwalimu wake wa Hesabu na English, ninatamani kumfahamu zaidi. Na pia kufahamu majukumu na umuhimu wa Tume ya Utumishi wa umma! Je, ni...
6 Reactions
74 Replies
8K Views
Je? Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni? Je? Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya...
14 Reactions
107 Replies
6K Views
Hiki cheo kina fursa gani maana nimeona kwenye tawi fulani jirani na home kulikuwa na msuguano kwelikweli.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Vijana wa nchi hii yatupasa tuungane pasipo kujali vyama vyetu tupiganie haki zetu kwa umoja wetu. Pamoja na utofauti wa itikadi zetu lakini kuna masuala yafaa tupaze sauti kwa pamoja Inakera na...
11 Reactions
82 Replies
6K Views
Ukimsikiliza vizuri katika hotuba zake Mh. Rais ni "Kama" ana nia njema ya kutaka kujenga taifa la kistaarabu ambalo limestaarabika, lenye kuheshimiana, kujali na kuthamini utu wa mtu. Rais...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada.. Baada ya project ya covid 19 Kugonga Mwamba naona wazee wa New World Order wameamua kuja na tolea jipya la virusi walivyoviita MonkeyPox.. Niwaambie tuu ,hivyo navyo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom