Kwanini Mbowe anahaha kuizuia kesi ya Mdee & 18?

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
 
Tuliza papa.

Tuambie kwanza kwa nini Mahakama ya Tanzania inamuogopa Makonda
 
Bado haujaeleza ni namna gani CHADEMA wanaizuia kesi.Covid 19 kuongewa vikaoni ndiyo kuzuia kesi?Fafanua.
 
Hizi siasa za Tz ni taka taka tu, zinawenyewe wanao zifaidi, wewe mtu mwenye akili zake kuzifuatilia ni kujipa stress za kujitakia
 
Tatizo ukiwaachia wanageuza Uongo kuwa Ukweli kwa kuwaaminisha wasiohoji.
 
..kwasababu upo uwezekano mkubwa mahakama ikafanya makusudi kuchelewesha maamuzi mpaka baada ya uchaguzi wa 2025.

..ili haki itendeke mahakama inapaswa kusikiliza kesi hii kwa mfululizo bila ucheleweshaji kama ilivyofanyika ktk kesi ya kuchonga dhidi ya Mbowe.
 
Kwa nini msiithibitishie Dunia kwamba Spika alishiriki Jinai kama ni kweli uongozi wa Chadema haukuwa na baraka zake kwa kina Mdee,kabla ya kugeuzia Gia Angani?
 
..kuna fomu ya uteuzi wa viti maalum zinapaswa kujazwa na katibu mkuu wa Cdm na mwanachama aliyeteuliwa.

..Sasa Cdm wanadai Kamati Kuu haijawahi kujadili kina mama walioteuliwa, na katibu mkuu hajawahi kujaza fomu za mwanachama yeyote.

..Pia Cdm wanadai wameiandikia Tume kuiomba iwapatie vielelezo ilivyovitumia mpaka kufikia hatua ya kupeleka majina ya kina Halima bungeni. Wanadai Tume haijajibu barua ya Cdm.

..Halima na wenzake wanakwama kwasababu hakujawahi kuwa na kikao cha KAMATI KUU ya Cdm kuwateua kuwa wabunge wa viti maalum.
 
Huko mimi sipo!
mimi niko huku Mahakamani mkuu?

Kwa nini Chadema haitaki kesi isikilizwe ili ukweli uthibitike.

Kuna nini wanakiogopa hapo Mahakamani?
 
Je?
Ni kwa sababu Chadema watalazimika kuthibitisha Uharamu wa Nyaraka zilizopelekwa NEC na Bungeni?

Je?
Ni kwa sababu kuna ukweli kwamba kulikuwa na baraka za uongozi wa ngazi za juu nyuma ya kupelekwa majina hayo na uteuzi wake?

Je?
Ni kuinusuru Chadema isiumbuliwe na kina Mdee kwa sababu ya kuyajua mengi ambayo wasingependa yaanikwe hadharani?

Au!
Mbowe anaogopa Uhuni wa Mdee?

Kama wamekwisha fukuzwa uanachama kupitia kikao cha kamati kuu ya Halmashauri ya Chadema.

Kama kiongozi mwandamizi na msemaji wa Chadema Ndugu Mrema alitamkia Dunia kupitia mahojiano na Mtangazaji wa DW-KISWAHILI na kusema...
"Chadema wamemaliza kazi yao"

Inakuwaje Chadema na uongozi wao woote mmehamishia nguvu kwenye kuzuia kesi yao kusikilizwa mahakamani?

Kwa nini Chadema msiandae ushahidi na kusubiri kesi ianze kuunguruma kama inavyopaswa.
Badala ya kuhangaika kuweka pingamizi ili kesi hiyo isiendelee.

Mpaka MBOWE anaamua kuunda ujumbe mzito ili kumshawishi Mh Raisi wa JMT aingilie mhimili wa Bunge na Mahakama kinyume na sheria?

Je?
Bado Chadema mnaona mnafaa kuitwa chama cha demokrasia?

Wale wafuasi wenye Matusi badala ya hoja....

Jitahidini mje na Majibu badala ya Matusi.

Vinginevyo mtakuwa mnaendeleza Uhuni,maana mwenyekiti amewakataza Matusi.
Mmenisikia...

Ahsanteni....
Pole sana, utakapoamka ndio utagundua kuwa ulikuwa ulikuwa kwenye njozi.
 
Bwashee wakikujibu kwa hoja bila matusi unitag!
 
Kabla hujajibiwa hayo maswali yako, naomba ujibu hili swali,. Kwanini mlitaka kuanza kuisikiliza hii kesi upande mmoja bila kuwajulisha watuhumiwa ambao ni chadema?
 
Back
Top Bottom