Viongozi wa dini mpeni nishani ya heshima Rais Samia kwa kutambua haki za kidini na kutozikwamisha kwa lolote

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
NGO za kidini mpeni nishani ya heshima.Mama Samia kwa kutambua haki za kidini na kutozikwamisha kwa lolote
Wala kuzisumbua sumbua

Viongozi wa dini mashahidi .Awamu hii usumbufu haupo

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Mama Samia apewe asante sio kimyakimya au sirini .Viongozi wa dini tokeni wazi kushukuru

Viongozi wa dini nadhani mnaelewa ninachoongea na alichofanya kwenye huu utawala wake.Eneo moja korofi lilikuwa pale wizara ya mambo ya ndani ile wizara ilikuwa kama ina vita na dini kuwa wako pale kupigana vita na dini na NGO za kidini.

Alipofanya mabadiliko akawaondoa akina Simbachawene nk akawaweka walioko chini ya Waziri Hamad Masauni hawa wa sasa wamefanya kazi kubwa kurekebisha maukorofi na ukwamishaji waliyokuwa nayo akina Simbachawene and Company wa kuziona taasisi za dini kama adui yao namba moja

Nipongeze kwa kazi nzuri kafanya Waziri wa mambo ya ndani wa sasa
 
Lijinga kabisa na huna akili. Sidhani kama la saba ulimaliza.
Kipindi cha Georges Simbachawene akiwa Waziri wa mambo ya ndani wizara ya mambo ya ndani ilitakiwa ibadilishwe jina iitwe wizara ya vita dhidi ya Dini na NGO zake

Waziri mpya Hamad Yusufu Masauni kaja karekebisha.Kafanya makubwa ndani ya muda mfupi asante mama Samia kumuweka pale

Mimi mgumu mno kusifia mtu nikisifia ujue kweli kafanya vizuri
 
NGO za kidini mpeni nishani ya heshima.Mama Samia kwa kutambua haki za kidini na kutozikwamisha kwa lolote
Wala kuzisumbua sumbua

Viongozi wa dini mashahidi .Awamu hii usumbufu haupo

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Mama Samia apewe asante sio kimyakimya au sirini .Viongozi wa dini tokeni wazi kushukuru

Viongozi wa dini nadhani mnaelewa ninachoongea na alichofanya kwenye huu utawala wake.Eneo moja korofi lilikuwa pale wizara ya mambo ya ndani ile wizara ilikuwa kama ina vita na dini kuwa wako pale kupigana vita na dini na NGO za kidini.Alipofanya mabadiliko akawaondoa akina Simbachawene nk akawaweka walioko sasa hawa wa sasa wamefanya kazi kubwa kurekebisha maukorofi na ukwamishaji waliyokuwa nayo akina Simbachawene and Company wa kuziona taasisi za dini kama adui yao namba moja

Nipongeze kwa kazi nzuri kafanya Waziri wa mambo ya ndani wa sasa
Acha ujinga wa kiwango ya Lami.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Kukumbatia sana dini na kuipa kipaumbele ni mojawapo ya mambo yanayopteza muda kujikita kwenye ishu muhimu za maendeleo.
Simbachawene akiwa Waziri wa mambo ya ndani alifanya hicho kama kipau mbele chake kutwa kuhangaika na dini na taasisi zake na vimikakati koko kibao vya kupambana na dini na NGO zake
 
NGO za kidini mpeni nishani ya heshima.Mama Samia kwa kutambua haki za kidini na kutozikwamisha kwa lolote
Wala kuzisumbua sumbua

Viongozi wa dini mashahidi .Awamu hii usumbufu haupo

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Mama Samia apewe asante sio kimyakimya au sirini .Viongozi wa dini tokeni wazi kushukuru

Viongozi wa dini nadhani mnaelewa ninachoongea na alichofanya kwenye huu utawala wake.Eneo moja korofi lilikuwa pale wizara ya mambo ya ndani ile wizara ilikuwa kama ina vita na dini kuwa wako pale kupigana vita na dini na NGO za kidini.Alipofanya mabadiliko akawaondoa akina Simbachawene nk akawaweka walioko sasa hawa wa sasa wamefanya kazi kubwa kurekebisha maukorofi na ukwamishaji waliyokuwa nayo akina Simbachawene and Company wa kuziona taasisi za dini kama adui yao namba moja

Nipongeze kwa kazi nzuri kafanya Waziri wa mambo ya ndani wa sasa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mbona unazunguka zunguka sana?

Wampe nishani kwa kazi gani?

Hujui hizo FBO ziko na zinapaswa jiendesha kwa uhuru kama mashirika mengine tu ?

Yani ni sawa leo useme tumpe postman tuzo kwa kufikisha parcel kwa wakati wakati ndio kazi yake kuhakikisha mambo yanakua in harmony.
 
Simbachawene aligeuza wizara yake kuwa ya kuhangaika tu na faith based organisation as if hiyo Haina vipaumbele vingine

Alibana uhuru

Alikuwa na ujinga sana huyo akiongelea sehemu zingine ambazo watu waanaabudu aliziiita vibanda umiza sio makanisa wala misikiti

Makanisa na misikiti yaliyojengwa kwa makuti yako kibao.Yeye alijionyesha ndie Ayatollah aliyewekwa pale kupambana na Faith based organisation

Narudia hakuna kitu kizuri mama Samia alifanya kama kumtoa wizara ya mambo ya ndani Simbachawene ila kuna kitu kinanishangaza kwa nini bado yumo kwenye baraza la mawaziri mama Samia hilo liangalie

Kaumiza sana faith based organisation huyo kila eneo

Muislamu Hamad Yusuf Masauni kaja mbona yuko vizuri kuliko huyo Mkristo mwenzetu Simbachawene?
 
Baada ya askofu Kakobe, Sheikh Ponda sasa kiongozi mwingine apata adha ya kuhangaishwa na serikali

Dovya Bunju
Kinondoni
Dar es Salaam

Mwenyekiti wa mtaa wa Dovya Bunju wilaya ya Kinondoni asimulia jinsi nyumba ya kiongozi wa kiimani ilivyozingirwa na maafisa wa serikali usiku huku wakimtaka kiongozi huyo ajisalimishe aende kuhojiwa

Simbachawene aligeuza wizara yake kuwa ya kuhangaika tu na faith based organisation as if hiyo Haina vipaumbele vingine

Alibana uhuru

Alikuwa na ujinga sana huyo akiongelea sehemu zingine ambazo watu waanaabudu aliziiita vibanda umiza sio makanisa wala misikiti

Makanisa na misikiti yaliyojengwa kwa makuti yako kibao.Yeye alijionyesha ndie Ayatollah aliyewekwa pale kupambana na Faith based organisation

Narudia hakuna kitu kizuri mama Samia alifanya kama kumtoa wizara ya mambo ya ndani Simbachawene ila kuna kitu kinanishangaza kwa nini bado yumo kwenye baraza la mawaziri mama Samia hilo liangalie

Kaumiza sana faith based organisation huyo kila eneo

Muislamu Hamad Yusuf Masauni kaja mbona yuko vizuri kuliko huyo Mkristo mwenzetu Simbachawene?
Tusizunguke sana huyo Simbachawene hakua na muscles hizo bali he was facilated.

The question should be who facilitated him?

Tunarudi pale pale utawala wa awamu ya 5 ilikua ni hovyo huku mkimsifia boss wenu huyo kumbe anaipeleka nchi shimoni.
 
Sio kweli NGO ziko ofisi nyingi mbona wizara ya Ummy Mwalimu Mbona alifanya vizuri kwenye NGO zilizokuwa chini yake

Ni roho mbaya tu ya Simbachawene
 
Tusizunguke sana huyo Simbachawene hakua na muscles hizo bali he was facilated.

The question should be who facilitated him?

Tunarudi pale pale utawala wa awamu ya 5 ilikua ni hovyo huku mkimsifia boss wenu huyo kumbe anaipeleka nchi shimoni.
Magufuli ndie alimtuma makanisa ya makuti na misikiti ya makuti kuita kuwa ni vibanda umiza sio makanisa au misikiti?
 
Hamna kitu mbona kuna mawaziri kibao walifanya vizuri bila kukwaruzana na NGO ziwe faith based or not

Simbachawene agenda kuu alikuwa mjeuri kwenye faith based organisation sijawahi ona Waziri jeuri na kiburi kama Simbachawene
 
Magufuli ndie alimtuma makanisa ya makuti na misikiti ya makuti kuita kuwa ni vibanda umiza sio makanisa au misikiti?
Magufuli kukaa kimya ni jibu tosha kuwa yazungumzwayo yalikua na baraka zake.

Kwani Zumaridi kukamatwa kwake Samia alizungumza?
 
Simbachawene aligeuza wizara yake kuwa ya kuhangaika tu na faith based organisation as if hiyo Haina vipaumbele vingine

Alibana uhuru

Alikuwa na ujinga sana huyo akiongelea sehemu zingine ambazo watu waanaabudu aliziiita vibanda umiza sio makanisa wala misikiti

Makanisa na misikiti yaliyojengwa kwa makuti yako kibao.Yeye alijionyesha ndie Ayatollah aliyewekwa pale kupambana na Faith based organisation

Narudia hakuna kitu kizuri mama Samia alifanya kama kumtoa wizara ya mambo ya ndani Simbachawene ila kuna kitu kinanishangaza kwa nini bado yumo kwenye baraza la mawaziri mama Samia hilo liangalie

Kaumiza sana faith based organisation huyo kila eneo

Muislamu Hamad Yusuf Masauni kaja mbona yuko vizuri kuliko huyo Mkristo mwenzetu Simbachawene?
Wewe mjinga hujitambui! Huyo muislam mwenzako kawezesha taasisi gani ya maana ya kiislam kama shule,hospital nk! Hiyo dini yenu kila kukicha migogoro kwa hiyo Simbachawene hayupo tupe data ya kilichofanyika tofauti na udini wenu! Huoni kipindi Simbachawene yupo viongozi wa dini yenu waliohusishwa na ugaidi waliachiwa au nalo huoni?
 
Back
Top Bottom