Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Rais wetu amepewa nafasi na muongoza mada ya kueleza changamoto kubwa za awali kabisa alizokutana nazo alipoingia Ikulu. Kwa ufupi hizi ni baadhi ya nukuu nilizopata kutoka kwake...
0 Reactions
8 Replies
767 Views
Wakazi wa Kawe Diwani wenu hatimae KAPATIKANA kwa Kipenzi chake ASHURA na hajahudhuria VIKAO kwa Miezi 3 kweli Bado Munamuhitaji au Tuambiwe Sheria inasemaje juu ya Hatima ya UDIWANI wake? ===...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
leo kumezuka tafran katika social media baada ya clip inayozidi kutrend ,ikionyesha askari wa KMKM wakiwapiga risasi wananchi huko katika mikondo ya bahari. Kinachodaiwa ni askari hao kuwataka au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mojawapo ya masharti ya kuruhusiwa kubaki uchumi wa pato la kati (chini na juu) ni kupunguziwa misaada na mikopo ili ujitegemee kwa vyanzo vya ndani. Ukitaka misaada na mikopo zaidi ni kigezo cha...
0 Reactions
2 Replies
634 Views
SOMO/USHAURI KWA WIZARA YA AFYA NA WAFAMASIA NCHINI KUHUSU OPOTOSHWAJI UNAOFANYWA MAKUSUDI NA BAADHI YA WATAALAM WASIOKUA WAMINIFU. Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,MPH,MBA, PhD in Human Anatomy)...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki. ==== "Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
7 Reactions
86 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa. Endelea...
15 Reactions
53 Replies
7K Views
Wapendwa, hongereni kwa kazi. Najaribu kufikiri kwa kina, kisha naishia kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Najiuliza; Fedha au mali za umma ni kwa ajili ya Watanzania wote bila kujali tofauti...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali...
7 Reactions
344 Replies
32K Views
Nakumbuka Spika mstaafu mzee Ndugai alimshauri Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika aende kujifunza mamna kazi za Katibu wa chama zinavyofanywa kwa Dkt. Bashiru. Mungu fundi leo Ndugai na Dkt...
11 Reactions
12 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wameyasikia malalamiko ya wanachadema ambao wamelalamikia chama chao kwenda kwenye maridhiano na CCM ikiwa wamepitia mambo magumu kutokana na chama...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Legacy sio madaraja wala flyovers bali kile ambacho kitabakia kama urithi wa watu kujivunia.. Legacy hailindwi wala kutetewa bali inajipambanua yenyewe kama Legacy...
16 Reactions
131 Replies
8K Views
Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wapinzani na wana CCM mnaochukizwa CHADEMA kukutana na Rais Samia pamoja na CCM mnafikiri mabadiliko wanayodai upinzani yatapatikanaje bila kujaribu njia mbalimbali? Maandamano na mikutano ya...
7 Reactions
8 Replies
826 Views
Nimefuatlia interview kadhaa anazofanya Rais wetu wa KIKATIBA nimegundua wazungu wanatudharau sana! Kwanza mama Samia kaanza kwa kusema amefanya makubwa sana ikiwemo kutoa ajira kwa sekta ya...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
BY ELLEN JOHNSON SIRLEAF MAY 23, 2022 6:06 AM EDT President Samia Suluhu Hassan took office in March 2021, and her leadership has been a tonic. That year has made a big difference to Tanzania. A...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwanamuziki mkongwe wa bongo wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Afande Sele amemuomba spika wa Bunge, Tulia Ackson awaombe hospitali ya Mirembe iliyopo mjini Dodoma wapeleke usafiri bungeni na...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Dodoma. Serikali imeeleza kuwa fedha za mfuko wa majimbo zipo kwa ajili ya kuchochea maendeleo ya wananchi na sio za kununulia samani za ofisi za wabunge. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Mei...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom