Tanzania bado iko uchumi wa pato la kati la chini?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Mojawapo ya masharti ya kuruhusiwa kubaki uchumi wa pato la kati (chini na juu) ni kupunguziwa misaada na mikopo ili ujitegemee kwa vyanzo vya ndani.

Ukitaka misaada na mikopo zaidi ni kigezo cha kustahili kuondolewa hadhi ya uchumi wa daraja hilo na kurudishwa kundi la nchi maskini ambayo hii inatambuka kupunguza wawekezaji, maana nchi ikiwa na watu maskini uwezo wao wa kununua (purchasing power) unapungua na hivyo wawekezaji hawapendi hiyo trend ya uchumi.

Je, Tz bado iko uchumi wa pato la kati la chini?

IMG-20220515-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom