Sheria inasemaje Diwani kutohudhuria vikao kwa miezi mitata bila sababu za msingi?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wakazi wa Kawe Diwani wenu hatimae KAPATIKANA kwa Kipenzi chake ASHURA na hajahudhuria VIKAO kwa Miezi 3 kweli Bado Munamuhitaji au Tuambiwe Sheria inasemaje juu ya Hatima ya UDIWANI wake?
===
Diwani wa kata ya Kawe, Mutta Rwakatare (43) mkazi wa Mikocheni wilayani Kinondoni aliyedaiwa kupotea tangu mwezi Februari mwaka huu, amepatikana akiwa kwa mwanamke aitwaye Ashura Ally Matitu, miaka 43, Mzaramo mkazi wa Tabata darajani ambaye amedai kuwa ni rafiki yake.


20220524_160253.jpg
 
.....alienda kwa rafiki take tarehe 19 May 2022 na tarehe 23 tukamkuta huko akiwa amelewa chakarii"

Bahati mbaya hakuna hata alieuliza kabla ya tarehe 19 alikua wapi!!

Yale yale ya Nondo kukutwa Iringa kwa rafiki take wa kike akiwa kajipulizia perfume!!

NB-maroboti ya watawala very soon yatavamia kuja kufanya spinning
 
Back
Top Bottom