Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya JMT inastahili pongezi kwa matumizi mazuri tena yenye tija ya mikopo kwenye ujenzi wa Miundombinu. Kumbe hata Magufuli alikuwa anakopa Benki ya maendeleo Afrika ili kutujengea uchumi...
0 Reactions
1 Replies
472 Views
Habari za usiku huu wanaJamiiForums natumai wote ni wazima wa afya. Bila kupoteza muda ningependa kwenda moja kwa moja kwenye hoja ya msing juu ya ujenzi wa reli ya kisasa iliyojengwa na serikali...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
"Enyi wake, watiini waume zenu, kwa maana mume ni kichwa cha mkewe….Enyi waume, wapendeni wake zenu" (Waefeso 5: 22, 25) YAMEKWISHASEMWA na kuandikwa yote; tena kwa ufasaha, vina, mizania...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mbunge wa Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa akilia baada ya kumaliza kuchangia mjadala wa kupitisha makadikio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/2023...
11 Reactions
66 Replies
7K Views
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka? ===...
24 Reactions
150 Replies
14K Views
Rais SAMIA SULUHU alitoa agizo kuwa wakulima wasitozwe Ushuru wa mazao kwa magunia yasiyozidi tani moja akiwa Tabora. Jambo la ajabu hapa Mkoa wa Rukwa wilaya Sumbawanga kuna kizuizi cha Mazao...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Pamoja na kwamba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania imetoa ratiba yake, kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kinapaswa kufika mbele ya kinachoitwa Kamati ya Katiba...
15 Reactions
78 Replies
5K Views
Wakati wa JPM tuliona mikeka mingi ya kupandisha vyeo Watumishi wa umma ila Siyo kupanga safu ya vyombo vya dola. Ilifika wakati ikaandaliwa makala kuhusu gap lilolopo kwenye jeshi la Polisi hasa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
CCM ikiongozwa na Katibu mkuu wake Komredi Chongolo leo imewasilisha mapendekezo yake kwa Kikosi kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe. Chongolo amesema wao wameitikia wito ma walichopendekeza...
0 Reactions
8 Replies
738 Views
Achana na siasa za CCM na CHADEMA kutwa kuparurana. Kuna wale sisi ambao tunaunga mkono 'Mafanikio ya Serikali' bila kujali itikadi ya vyama vyetu. Wengine wapinzani, CCM na wengine hata chama...
5 Reactions
39 Replies
2K Views
Sawa tunatambua hamna ofisi ya maana inayoendana na hadhi ya chama chenu. Lakini tunajua pia mnapata hela kupitia michango ya wanachama. Haipendezi hadi leo mnatumia Gmail kwenye mawasiliano...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Zitto Kabwe amesema katika uchaguzi mkuu wa 2005 Chadema ilipata wabunge watano tu akiwemo yeye, Dkt. Slaa, Ndesamburo nk Zitto Kabwe amesema pamoja na uchache wao walifanikiwa kufanya kazi kubwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKUU WA MIKOA WATAKIWA KUFANYA UHAKIKI WA TAKWIMU ZA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI Na Mwandishi Wetu, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape NNauye amewataka...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Kule Bungeni wangekuwepo wabunge makini wa upinzani Kama enzi zile Makamanda Mbowe, Heche, Lema, Msigwa, Sugu, Mnyika, Kamanda Lissu na wengineo CCM wasinge pata muda huu wa kufanya utoto Bungeni...
19 Reactions
59 Replies
4K Views
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kashindwa kujibu hizi hoja za kada mtiifu wa CCM kaamua kutumia jeshi la polisi wilaya ya Arusha kumweka ndani Kada huyo Benny maarufu kama Trump ameshikiliwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) , kimetangaza kuunga Mkono Mazungumzo yanayoendelea kati ya Mwenyekiti wao na viongozi wa Chadema , yenye lengo la kuleta usawa wa KIDEMOKRASIA na HAKI , kwa MASLAHI...
15 Reactions
100 Replies
6K Views
Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie...
10 Reactions
75 Replies
8K Views
Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii Balozi Polepole, ambaye...
1 Reactions
2 Replies
830 Views
Back
Top Bottom