Mwenezi Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na Waandishi wa Habari leo 23 Mei 2022

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
325
414
🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022 atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) Jijini Dodoma kuanzia Saa 5 na Nusu Asubuhi hii. Nyote Mnakaribishwa.

#ChamaImara
#KaziInaendelea

IMG-20220523-WA0002.jpg


IMG-20220523-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom