Msingi wa bandiko hili ni mategemeo gani ya Wana siasa kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, 2024 na Uchaguzi Mkuu, 2025. Kwa sababu ya matokeo ya chaguzi zilizopita, kutoleta mafanikio mazuri...
Rais Samia Suluhu ametaja changamoto tatu ambazo amekutana nazo tangu awe Rais wa Tanzania lakini ameonyesha nguvu ya Mwanamke kwa kuongoza Nchi vizuri na katika hali fulani amezidi hata kile...
Akizungumza na Waandishi wa Habari Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Addo Shaibu , ameweka wazi kwamba iwapo itatokea Mdee na Wenzake wakabisha hodi kwenye chama chake , basi bila shaka...
Mradi wa bodaboda 2017 - 2020 pesa za wadau wa maendeleo gambo na genge lake walikusanya bila kamati pikipiki 200 kila moja 2,100,000. Bila kamati na kwenye kampeni alisema pesa ziko bank kwenye...
Mara kwa mara, taasisi za kidini zimekua zikiomba serikali kutowatoza kodi kwenye huduma wanazotoa, wakidai kwamba wao hawafanyi biashara bali wanatoa kusaidia jamii,
Huu ni wizi fatilia shule...
Wadau zamani nikisikia Mtu ni PROFESA nilikuwa nina Amini ana AKILI sana ndio maana akawa PROFESA.
Nilianza kupoteza Imani yangu kwa hao MAPROFESA baada ya kuibuka kwa Baadhi ya MAPROFESA...
Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria...
Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu.
Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa...
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema mazungumzo yake na Rais wa Tanzania, John Magufuli ya Machi 3, 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam hayakulenga kukiangusha Chadema katika majimbo ya...
Wakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.
Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo...
Amani iwe nanyi wadau
Leo ninakuja na Swali hili, Je, Rais Samia Suluhu Hassan ndo Deng Xiaoping wa Tanzania?
Kwa wale msiojua Deng Xiaoping ni Rais wa China aliyechukua usukani wa Uongozi wa...
Bunge ni mahala pa kuwasilisha mawazo ya Taifa. Ni mahala ambapo nchi inatarajia mijadala mizito ya mambo mbalimbali ya taifa.
Ni jambo la kutia hasira na aibu, mbunge anafanya mzaha wa sarakasi...
ACT hakina msimamo kinaenda na upepo kinaangalia vyama vikubwa kama Chadema vinataka nini. Mwanzo walikuwa na kauli mbiu yao ya TUMEHURU KUELEKEA KATIBA MPYA, leo wanasema KATIBA MPYA NI SASA...
Naona mheshimiwa Rais leo amemuapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Brazil.
Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Emmanuel Nchimbi.
Amestaafu au nin kimetokea?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mapambano ya kudai katiba mpya ni mapambano kudai haki, uhuru na demokrasia.
Demokrasia ni kuwa na utawala unaowajibika kwa wananchi. Siyo utawala unaowajibika kwa watawala.
Kwenye demokrasia...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi watumishi sita wa Halmashuri ya Jiji la Arusha, akiwapo Mkurugenzi wa Jiji hilo, Dk John Pima ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha...
Imekuwa ni desturi kwa Bunge letu Tukufu kupongeza,kushangili,kuzomea ,kupiga magoti,kupiga sarakasi nk.
Utukufu wa hili jumba unauhalisia kwa Mungu na wananchi?
Mbunge akichangia iwe...
Samia Suluhu Hassan became Tanzania's sixth president and first-ever female leader in March 2021, following the death of President John Magufuli.
She rose to the position from vice-president, a...
Hakuna ubishi kwamba ACT Wazalendo ni tawi la CCM na kwa pamoja wako Serikalini
Kadhalika ni wazi kuwa NCCR Mageuzi inayoongozwa na Mwenyekiti James Mbatia akisaidiwa na Katibu Mkuu Komu na Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.