Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Twende moja kwa moja kwenye mada. Toka nimeanza kufuatilia ripoti za CAG anazowasilisha kwa Rais, Bunge na Waandishi imekuwa ikiibua uozo na uzembe wa Serikali mwaka hadi mwaka. Cha kushangaza...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Viongozi wa Wizara za Nishati naadini nendeni Botswana mkajifunze mbinu wanazotumia wenzetu kunufaika na Rasilimali za madini walizonazo ikiwemo Makaa ya Mawe.. Ili...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama. VIDEO: Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi'...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Perdiem. Tsh 250k , 220k,170k,150k kwa Jiji 200k,180k,150,130k kwa Manispaa 130k,120k,100k, 80k kwa Halmashauri Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine...
5 Reactions
281 Replies
53K Views
Nchi kama Tanzania inayoendesha budget yake kwa kiwango kikubwa kwa misaada na mikopo, elimu na teknolojia viko chini sana pia huduma zingine bado ni duni kweli inaweza kukusanya watumishi wa umma...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani. Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili. Watu ni walewale, nchi...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba. Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Benki ya Dunia imeipa Serikali ya Tanzania trilioni 1.2 kwaajili ya tabia nchi, barabara na viwanja vya ndege. Nadhani sasa ni muda wa kuondoa tozo au kuambiwa siku ya ukomo. Kiuchumi mkopo...
2 Reactions
88 Replies
7K Views
Siasa za wapinzani ni illusion tupu! Zimejaa zaidi mambo ya kufikirika yanayozidi uwezo wa utendaji wao. Utasikia "mwaka huu tunachukua nchi saa nne asubuhi" ilihali wakijua fika aina ya tume na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
"Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru. Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha...
2 Reactions
1 Replies
561 Views
Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa Mungu ni mwema wakati wote
0 Reactions
11 Replies
853 Views
Kumekuwepo na mijadala na majibizano mitandaoni kwamba kipi kianze kupatikana kati ya Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi. Chama cha Chadema wao wanataka katiba mpya wakiamini ndio mwarobani wa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima. Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za...
11 Reactions
93 Replies
4K Views
Zitto Kabwe pamoja na kumtosa mgombea wa chama chake na kuhamia kwa mgombea wa Chadema lakini Tundu Lissu bado aliambulia 13% tu ya kura zote. Magufuli ambaye alifanya kampeni kwenye mikoa...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Dar es Saaam. Wakati wadau mbalimbali hapa nchini wakitaka watumishi wa umma wanaohusika na ubadhirifu wawajibishwe, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada.. Watumishi wa Umma tunasema hivi, Kwa kuwa mama ametuheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu, kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara...
11 Reactions
156 Replies
8K Views
Kila nikitazama jinsi abiria wa mataifa mbalimbali wakisafiri na boat za Azam na pia boat za Zanzibar one na mahali ambapo abiria wanapumzika kusubiria safari kwakweli hapaleti picha nzuri yaani...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari, Natamani vijana wakachora michoro mikubwa ya ubunifu Jangwani toka Salender mpaka TBL unaenda mpaka Magomeni itakuwa kivutio kikubwa sana . Vijana anzeni kuchora kuwapa watawala mawazo ya...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Lengo la Serikali kufanya ugatuaji wa Madaraka lilikuwa bora sana na kila mtu analipongeza. Kwa sasa mambo yanavyokwenda SEKTA ya Afya ni kama kuna Wizara Mbili tofauti za Afya, yaani WIZARA MAMA...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Msemaji wa familia ya hayati Magufuli amesema mpendwa wao kabla ya kufa alibahatika kuongoza sala ya maombi ya kumuombea pamoja na nyimbo. Pia alipata sakramenti ya toba na mafuta matakatifu...
66 Reactions
362 Replies
39K Views
Back
Top Bottom