Mbunge Saashisha Mafue amteua Katibu Mwenzi (Mpya) wa CCM Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,827
21,456
Mada tajwa hapo juu yahusika.

Pamoja na CCM kuwa inatumia demokrasia kwenye changuzi zake, huko Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro hali ni tofauti kidogo.

Aliyekuwa Katibu mwenzi wa CCM wa Jimbo la Hai ameajiriwa na serikali bila kujua Elimu yake na bila kufanya mitihani kupitia jitihada Za mbunge wa Jimbo la Hai.

Hilo halikutosha, mbunge Huyo amejitokeza na kumpigia kampeni mama Vigo ili awe Katibu mwenzi mpya wa Chama cha Mapinduzi bila kujua taratibu Za chama na kwa maslahi yake mwenyewe na ili kurudisha fadhila kwani mwaka 2020 wakati wa uchaguzi mkuu mama Vigo alimwazima Saashisha magari ya kufanya kampeni kwenye jimbo la Hai.
Nia ya Mbunge ni kupanga safu ya uongozi ngazi ya chama wilaya kwani ameanza pia kumfanya mwenyekiti wa ccm wilaya kampeni ili aweze kuchaguliwa tena.
Bila chama kuchukua tahadhari muhimu na Za haraka chama kinaelekea kulipoteza jimbo .
Ni ushauri tu.
 
Wananchi watapima na ikiwapendeza Jimbo litarudi kwa kaka Freeman
 
Bila chama kuchukua tahadhari muhimu na Za haraka chama kinaelekea kulipoteza jimbo .
Ni ushauri tu.

Hilo jimbo halijawahi kuwa la CCM kilichofanyika ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akishirikiana na mjela jela Sabaya na somebody Kingai kulipoka kwa wananchi na kumpachika huyo Manyani (ashakum siyo matusi Fuwe/Mafuwe maana yake ni Nyani/Manyani)
 
Taarifa hizi ni za uwongo kabisa hakuna ukweli wowote ktk haya mnayo ya toa, wacheni kukichafua Chama chetu na Mbunge wake anaye fanya mambo makubwa na tunaona sasa hali ni nzr tofauti na huko nyuma Tunakupenda sana Mbunge wetu wa Hai 💪🏿 Endelea kufanya kazi sisi wanahai tupo nyuma yako.
 
PS wa mbunge kumbe upo humu jf hongera
 
Taarifa hizi ni za uwongo kabisa hakuna ukweli wowote ktk haya mnayo ya toa, wacheni kukichafua Chama chetu na Mbunge wake anaye fanya mambo makubwa na tunaona sasa hali ni nzr tofauti na huko nyuma Tunakupenda sana Mbunge wetu wa Hai 💪🏿 Endelea kufanya kazi sisi wanahai tupo nyuma yako.
Kama taarifa hizi ni Za uongo weka Jf jina la Katibu mwenezi wa ccm wilaya ya Hai. Ukilikosa jina taarifa hii ni ya kweli
 
Taarifa hizi ni za uwongo kabisa hakuna ukweli wowote ktk haya mnayo ya toa, wacheni kukichafua Chama chetu na Mbunge wake anaye fanya mambo makubwa na tunaona sasa hali ni nzr tofauti na huko nyuma Tunakupenda sana Mbunge wetu wa Hai 💪🏿 Endelea kufanya kazi sisi wanahai tupo nyuma yako.
Maneno ni mengi kuliko ukweli yanayosemwa kuhusu Hai. Miradi mingi haijapewa fedha na Halmashauri inapimulia mashine.
 
Taarifa hizi ni za uwongo kabisa hakuna ukweli wowote ktk haya mnayo ya toa, wacheni kukichafua Chama chetu na Mbunge wake anaye fanya mambo makubwa na tunaona sasa hali ni nzr tofauti na huko nyuma Tunakupenda sana Mbunge wetu wa Hai 💪🏿 Endelea kufanya kazi sisi wanahai tupo nyuma yako.
Fedha Za mfuko wa Jimbo la Hai mbunge kajengea nyumba ya kuishi ya ghorofa huko kijijini kwao.
 
Huyo ni mbunge wa viti maalumu,hata yeye anajishangaa kuwemo Bungeni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom