Mzee Wassira: Kuna yule Kijana wa CHADEMA wanamwita MDUDE ana lugha za matusi sana

Wassira ni mercenary wa kisiasa Kikwete amemtumia sana kufanya kazi zake chafu za kisiasa hivyo hivi sasa kwa vile Kikwete ndio sterling wa hii Serikali utamsikia sana Wassira kwenye majukwaa akitembeza uchawa kwa Hangaya!!
Wassira hawezi kumtaja MUSIBA kwasababu ni mtu wa kwao!!

..Exactly.

..Nashangaa ameshindwa kumuona Musiba aliyeko jirani naye mkoani Mara, lakini amekwenda kumtaja Mdude aliyeko Songwe.
 
Akihojiwa na TBC mzee Wassira alisema kuna baadhi ya vijana wa CHADEMA wanapenda sana kutukana washindani wao pale wanapoishiwa hoja hasa yule wanayemuita MDUDE CHADMA.

Kwenye mahojiano hayo mzee Wassira alikuwa pamoja na Zitto Kabwe.

Mzee Wasira jipumzikie tu waachie wengine mambo mengine, uko kwenye system hata wengine hatujajitambua, at least heshima yako inaweza kuwa spared, please do that for your own sake. Anaonekana Mdude tu, upande huo wako wengi tu kwa kuanza tu Ndg. Musiba vipi, au yeye ni sahihi? (Nikisikia habari yoyote ya Mzee wetu Wasira, ukumbuka Hotuba ya Mh. Makongoro….. yupo tu toka enzi Mzee Nyerere)
 
..Exactly.

..Nashangaa ameshindwa kumuona Musiba aliyeko jirani naye mkoani Mara, lakini amekwenda kumtaja Mdude aliyeko Songwe.

Kama kuna chama kinamtesa Wassira na kila mwanaccm, basi chama hicho ni CDM. CCM kina uchafu na wachafu wengi sana, lakini huwezi kumsikia Wassira akiitaja huko, bali ataishia kuitaja CDM tu kwani ndio inayomuumiza. Hawa ndio washauri wakuu wa CCM waliokuwa wanashauri nguvu za dola zitumike kuiua CDM.
 
Wassira ni mercenary wa kisiasa Kikwete amemtumia sana kufanya kazi zake chafu za kisiasa hivyo hivi sasa kwa vile Kikwete ndio sterling wa hii Serikali utamsikia sana Wassira kwenye majukwaa akitembeza uchawa kwa Hangaya!!
Wassira hawezi kumtaja MUSIBA kwasababu ni mtu wa kwao!!
Chawa mzee, wenzake kina Mzee Makamba analamba asali yeye aendekeza njaa,
 
baadhi ya vijana wa CHADEMA wanapenda sana kutukana washindani wao pale wanapoishiwa hoja

CCM mna kamusi yenu ya maneno ya kiSwahili iliyotungwa ktk ofisi ya mtaa wa Lumumba.


Maana kamusi ya kiSwahili iliyo rasmi ni kutoka taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili TUKI TAASISI YA TAALUMA ZA KISWAHILI (TATAKI) / TATAKI ndiyo inayotambuliwa na waTanzania, na ndiyo tunayotumia CHADEMA .

CCM imezoea udiktekta uchwara na kuanza kutaka kuwaaminisha waTanzania kuwa sasa kuna 'lugha mpya' na kamusi yake iliyotungwa na watu wa propaganda wa CCM. Shirika la Utangazaji Tanzania TBC nalo ni tawi la CCM kwani wameamua kuzungumza lugha hiyo ya wachache wa CCM na kudai kuwa ni lugha ya KiSwahili.




Lugha ya madikteta uchwara, Lugha ya wachache :
https://belarusdigest.com › story › la...
Language of Democracy and Language of Dictatorship – Digest ...

22 Oct 2012 — Language (Belarusian or Russian) is the main criterion for distinction opposition and the government, democracy and dictatorship, independence ...


minority language recognition in dictatorships


What explains minority language recognition in dictatorships? In this paper, we argue that minority language groups in authoritarian regimes are more likely to have their languages recognized when their interests are represented by a party in the legislature. Moreover, the level of recognition is greater.

We test this argument using original group-level and time-variant measures of minority party in legislature and minority language policies for all Asian dictatorships from 1980 to 2000. The results are robust even when we shift the analysis to the country level globally and account for possible spurious correlations. READ More : source : https://www.cambridge.org/core/journals/political-science-research-and-methods/article/abs/minority-languages-in-dictatorships-a-new-measure-of-group-recognition/..
 
Amemsahau na Pambalu na mwekiti wao amesema baadhi ya vijana kwenye chama chake wana mihemko ya hovyo hovyo hao ni mdude na pambalu.
 
Back
Top Bottom