Mnaosema Hayati Magufuli yuko mioyoni mwenu na mnaibeza CCM iliyopo anzisheni CCM yenu

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,085
4,884
Hakika kuna Kundi kubwa limeibuka Kuikejeli CCM chini ya Mwenyekiti Samia na Kudai Wao ni CCM iliyoongozwa na Hayati Magufuli na Kwamba MAGUFULI yupo MIOYONI mwao.

Kundi hili ndio hilo hilo limetangaza Kumchangia SABAYA Mtuhumiwa aliyeshtakiwa na SERIKALI ya CCM.

Kundi hili ndio linalokejeli Juhudi za Mwenyekiti wa CCM
Kundi hili bado halijakubali Kuwa MAGUFULI Amekufa na Hata rudi kamwe.

Kundi hili ndio hilo linalokejeli MARIDHIANO ya VYAMA

USHAURI kwa KUNDI HILI

WAANZISHE CCM YAO watuache na CCM MPYA Chini ya Mwenyekiti SAMIA.
 
Wanaccm watakaomchqngia Sabaya ni wale ambao wanapingana na mama. Huyu Sabaya alikuwa mtumishi mwaminifu wa dikteta Magufuli. Hivyo naye Sabaya ni dikteta na ni mhalifu .

Natoa tahadhari kwa kila mwanaccm kujiepusha na mchango huu. Tunafuatilia kwa karibu kwenye mitandao ya simu na benki. Tutakayembaini amechangia atashughulikiwa.

Ukiona huendani na kasi ya mama jiondoe ccm.
 
Subirini tutawashangaza na mtashangazwa kwelikweli.

Bahati nzuri Watanzania wanajua Kitu gan Hayati Magufuli kawafunza.

Nyie so mmeanza kuuza wanyama wetu?

Mnasema JNHEPP ilikosewa Sijui mwandisi hakua wa viwango .

Si mnasema watu wahame Ngorongoro kumbe mmeuzia waarabu?

Subirini mtashangazwa .
 
Subirini tutawashangaza na mtashangazwa kwelikweli.


Bahati nzuri Watanzania wanajua Kitu gan Hayati Magufuli kawafunza .


Nyie so mmeanza kuuza wanyama wetu??

Mnasema JNHEPP ilikosewa Sijui mwandisi hakua wa viwango .


Si mnasema watu wahame Ngorongoro kumbe mmeuzia waarabu ??


Subirini mtashangazwa .
Wafuasi wa Magufuli mnavituko sana. Nikiangalia comment zako kwenye uzi wa kimasihara alafu ni mfuasi wa magufuli nabaki nacheka sana.
 
Wafuasi wa Magufuli mnavituko sana. Nikiangalia comment zako kwenye uzi wa kimasihara alafu ni mfuasi wa magufuli nabaki nacheka sa

Wafuasi wa Magufuli mnavituko sana. Nikiangalia comment zako kwenye uzi wa kimasihara alafu ni mfuasi wa magufuli nabaki nacheka sana.
Kwa hii Komenti tuu inaonyesha kichwan umefuga matope ya kufugia minyoo, nawee ulizaliwa , Baba yako angekupigia Punyeto ,bado asingelipoteza kitu.

Sasa stories za masihara, na kukubali utendaji kazi wa Hayati , na Kuupinga maujinga yanayoendelea Sasa, vinaendana?

Ukiona ulipewa Ubongo wa kuvukia barabara, jitahidi angalau kuficha ujinga .
 
Back
Top Bottom