CCM inapendwa sana na Wananchi maelfu wamiminika Mikutano ya Chongollo na Shaka. Pambalu wa Chadema apata Kiduchu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Mikutano ya Katiba mpya inayoongozwa na Chadema kupitia Bavicha ni kama imedoda kwani mahudhurio ni watu Kiduchu kabisa.

Mikutano inayofurika ni ile ya Komredi Chongollo kule Kanda ya Ziwa na Shaka kule Kanda ya Kusini
Mungu ni mwema wakati wote
 
Nawahurumia Sana Ndugu yangu John Pambalu na Twaha Mwaipaya. Wanajitahidi kupambana na kukuza ufahamu wa wananchi juu ya umuhimu wa Katiba Mpya. Bahati mbaya, viongozi wao wa kuu wa chama hata hawawapi sapoti. Wanalamba Asali Ikulu.
 
Mikutano ya Katiba mpya inayoongozwa na Chadema kupitia Bavicha ni kama imedoda kwani mahudhurio ni watu Kiduchu kabisa.

Mikutano inayofurika ni ile ya Komredi Chongollo kule Kanda ya Ziwa na Shaka kule Kanda ya Kusini
Mungu ni mwema wakati wote
Kumbe Chadema kuna miamba aisee.

Pambalu anapambanishwa na Katibu Mkuu wa CCM??

Umempa heshima kubwa sana Pambalu.

Pambalu piga kazi Kaka. Watanzania wako nyuma yako.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa kivutio kwa watoto wa mitaani bali yule aliye mlevi ama punguani. Kwa mantiki hiyo basi, umati wa watu wanaojitokeza unaweza kuchochewa na kivutio chao cha kutaka kushuhudia vituko vya walamba asali.
 
Mikutano ya Katiba mpya inayoongozwa na Chadema kupitia Bavicha ni kama imedoda kwani mahudhurio ni watu Kiduchu kabisa.

Mikutano inayofurika ni ile ya Komredi Chongollo kule Kanda ya Ziwa na Shaka kule Kanda ya Kusini
Mungu ni mwema wakati wote
Ndugu yangu kwa mujibu wa tamko la Raisi mikutano hiyo ya Shaka na Chongolo ni haramu. Na wanachofanya hawa bavicha ni semina za ndani tu na siyo mikutano ya hadhara. Siku serikali ikiruhusu hiyo mikutano kwa vyama vyote ndipo ccm watagundua kuwa watanzania hawana mpango na chama hicho tena. Mifumo ya CCM na serkali yake imewakwaza watanzania kwa kiasi ambachao ni unrecoverable.
 
Mikutano ya Katiba mpya inayoongozwa na Chadema kupitia Bavicha ni kama imedoda kwani mahudhurio ni watu Kiduchu kabisa.

Mikutano inayofurika ni ile ya Komredi Chongollo kule Kanda ya Ziwa na Shaka kule Kanda ya Kusini
Mungu ni mwema wakati wote
NILIDHANI UNA AKILI ZA KUJUA MKUTANO WA HADHARA NA KIKAO CHA NDANI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom