Hizi Ndio Ndimi Mbili za Freeman Mbowe

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
1. Freeman Mbowe kabla ya kwenda Ikulu

Tuwe makini na Suluhu Samia, ni zao la CCM.

2. Freeman Mbowe baada ya kutoka Ikulu.

Nina imani kubwa sana na Rais Suluhu Samia na chama chake Cha CCM amefanya mambo makubwa sana na nimeona commitment yake.

Hatuna Haja ya Kuwa na aina Hii Ya Upinzani
 
MahaLI ambapo watanzania tulipokuwa tumefikia palikuwa pabaya sana na sijui kama kwa kipindi hiki kifupi kitaweza kurekebishika.

Kwani Watu walishaona chaguzi hazina maana tena. Na Watu wakfikia kutotamani chaguzi tena. Kinachofuata ni mda tu kwani watakuwa na viongozi wasiyo wachagua na mvutano wake ni mbaya sana.

Mimi nawashukuru CHADEMA kwa kujaribu kutaka kuleta muafaka kwa wananchi ila bila kuona nia njema niseme kweli uchaguzi wa mwaka ujao 2024 na 2025 watapiga kura CCM na watoto wao.

Sidhani Watu watakuwa tayari kukaa kwenye foleni kisha yatokee yale ya 2019 au 2020.Never ever.
 
Unapigana vita ambayo hutashinda, na dalili zote unaziona. Nani akiachiwa CDM leo ataweza kuwa na misimamo kama ya Mbowe.
Wengi wananjaa na fasta watageuka na kuwa kama ZZK & Co.
Kwa aliyoyafanya Mbowe yanatosha, tumpatie mzinga wa asali akae nao pale Hai kabisa, apumzike sasa.
 
Mkuu umesema kweli kabisa, hata uchaguzi wa 2020 wapiga kura hawakufika 10m japo Magufuli alishurutisha kutangazwa kwa zaidi ya kura 10m! Haya mambo aliyoanza Mbowe ya kukaa meza moja na Ccm na kufanya miafaka huku wapinzani wakiwa second class, basi uchaguzi wa 2025 wapiga kura sitegemei wafike hata 5m.

Hiyo 2025 itaonekana idadi halisi ya wapiga kura wa CCM. Sioni mtu anayejitambua kwenda kujipanga kwenye mstari kupiga kura. Huko kwa wananchi hata viongozi waliochaguliwa wakiitisha mikutano ya hadhara wananchi wanatokea kwa uchache mno. Na kadiri muda unavyokwenda ndio viongozi wanazidi kupuuzwa. Ukiona mkutano watu wamejaa, basi imetumika nguvu kubwa ya pesa, na kimamlaka kuhakikisha watu wanajitokeza.
 
Kwa taarifa yako Mbowe alikuwa na msimamo kabla ya kumpokea Lowassa 2015, baada ya hapo Mbowe amekuwa wa kawaida sana. Na huku anakoelekea Mbowe sasa ni njia ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba nk. Niliwahi kuonya kuwa ni kosa kwa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja. Kiongozi akikaa zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja, hata mazuri yake yote huanza kuharibika. Fuatilia ilivyokuwa kwa Nyerere, Moi, Museveni, Mugabe, Gaddaf, Elbashir, Mubarack nk. Namuona Mbowe kwa kasi kwenye njia hiyo.
 
Mpeni Uenyeketi Tundu Lissu, John Heche au Mnyika.

Sukuma Gang wanaumizwa sana wakiona kuna maelewano nchi hii
Wanatamani nchi iongozwe na jitu lenye roho mbaya, kufunga na kuteka watu kila siku
 
Lakini mbona Mbowe alimkazia sana Jiwe?
Kati ya wenyeviti wote yeye pekee ndio hakutepeta!
Kwa taarifa yako Mbowe alikuwa na msimamo kabla ya kumpokea Lowassa 2015, baada ya hapo Mbowe amekuwa wa kawaida sana. Na huku anakoelekea Mbowe sasa ni njia ya kina Mrema, Cheyo, Lipumba nk. Niliwahi kuonya kuwa ni kosa kwa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja. Kiongozi akikaa zaidi ya miaka 10 kwenye nafasi moja, hata mazuri yake yote huanza kuharibika. Fuatilia ilivyokuwa kwa Nyerere, Moi, Museveni, Mugabe, Gaddaf, Elbashir, Mubarack nk. Namuona Mbowe kwa kasi kwenye njia hiyo.
 
MahaLI ambapo watanzania tulipokuwa tumefikia palikuwa pabaya sana na sijui kama kwa kipindi hiki kifupi kitaweza kurekebishika.

Kwani Watu walishaona chaguzi hazina maana tena. Na Watu wakfikia kutotamani chaguzi tena. Kinachofuata ni mda tu kwani watakuwa na viongozi wasiyo wachagua na mvutano wake ni mbaya sana.

Mimi nawashukuru CHADEMA kwa kujaribu kutaka kuleta muafaka kwa wananchi ila bila kuona nia njema niseme kweli uchaguzi wa mwaka ujao 2024 na 2025 watapiga kura CCM na watoto wao.

Sidhani Watu watakuwa tayari kukaa kwenye foleni kisha yatokee yale ya 2019 au 2020.Never ever.
Huko kwenye chaguzi ni suala la muda tu. Kumbuka huyu mama hajawahi kushindanishwa, lakini usisahau hata JK alifanya anayofanya huyu mama ila lilipokuja suala la kushindanishwa waliachana na uadui ukabaki pale pale. Hata CUF na CCM zanzibar.

Vinginevyo aendelee kuwapa mahela kila baada ya uchaguzi ili wafunge mdomo.
 
Mkuu umesema kweli kabisa, hata uchaguzi wa 2020 wapiga kura hawakufika 10m japo Magufuli alishurutisha kutangazwa kwa zaidi ya kura 10m! Haya mambo aliyoanza Mbowe ya kukaa meza moja na Ccm na kufanya miafaka huku wapinzani wakiwa second class, basi uchaguzi wa 2025 wapiga kura sitegemei wafike hata 5m.

Hiyo 2025 itaonekana idadi halisi ya wapiga kura wa CCM. Sioni mtu anayejitambua kwenda kujipanga kwenye mstari kupiga kura. Huko kwa wananchi hata viongozi waliochaguliwa wakiitisha mikutano ya hadhara wananchi wanatokea kwa uchache mno. Na kadiri muda unavyokwenda ndio viongozi wanazidi kupuuzwa. Ukiona mkutano watu wamejaa, basi imetumika nguvu kubwa ya pesa, na kimamlaka kuhakikisha watu wanajitokeza.
Dogo huu uchaguzi wa mwaka 2020 mnautumia kama kichaka cha yanayoendelea na vituko vya akina Mbowe,Zitto na wenzao.

Sasa hivi kuna bajeti inaendelea bungeni,kuna maamuzi mbalimbali ya serikali.Je upinzani hauna hoja mbadala ya kuzungumza?

Hata kama "mlinyanyswa" ndio iwafanye sasa muunge juhudi za serikali asilimia 100?

Je hiki kinachoendelea "usuluhishi kati ya Chadema na CCM" nani msuluhishi huru? kama alivyokuwa Nyerere/Mandela mgogoro wa Burundi au Annan mgogoro wa Odinga na Kibaki huko Kenya?
 
Mpeni Uenyeketi Tundu Lissu, John Heche au Mnyika.

Mnyika pia hafai kwenye uenyekiti. Wangalau Lisu ana Heche wanafaa. Mbowe kwa sasa umri umemtupa mkono, na mbinu zimemuishia.
 
1. Freeman Mbowe kabla ya kwenda Ikulu

Tuwe makini na Suluhu Samia, ni zao la CCM.

2. Freeman Mbowe baada ya kutoka Ikulu.

Nina imani kubwa sana na Rais Suluhu Samia na chama chake Cha CCM amefanya mambo makubwa sana na nimeona commitment yake.

Hatuna Haja ya Kuwa na aina Hii Ya Upinzani
Mbowe hakusema hivyo amesema kuna tofauti kubwa kati ya Samia na Magufuli, lakini
Mpeni Uenyeketi Tundu Lissu, John Heche au Mnyika.
Mpeni Uenyeketi Tundu Lissu, John Heche au Mnyika.
Nyie watu bana.. Kwanza Mbowe hakusema hayo maneno mtoa mada aliyosema
nilikuwa namsikiliza alikuwa akizungumzia klatika context ya kujadiliana kati ya CCM na Upinzani, akasema Magufuli na Samia ni kama Mbingu na ardhi, Magufuli alikuwa akiona wapinzani kama wahaini ila Samia amekaa nao chini kujadili na wameanza tu na wana vikao zaidi vinafuata, bado hawajafikia muafaka wa lolote

Tundu Lissu mwenyewe aliongea akasema pia Magufuli na Samia, Samia ana nafuu kubwa, sababu kawaachia wanachama wao wengi waliokuwa mahabusu kwa kesi za mchongo, na angalau wamekubali kuzungumza, lakini akatoa tahadhari kuwa hajabadilisha sheria yoyote kandamizi zilizowekwa na Magufuli wala kutoia zuio la mikutano ya vyama lakini hilo wanalizungumzia kwenye majadiliano yanaendeleo wataona itakuwaje.

Sasa kuna shida gani hapo? Samia hana tofauti na Magufuli kweli? hamtaki mazungumzo mnataka kuandamana? Mliandamana Mbowe alipokamatwa kwa kesi ya ugaidi? hata mlienda mahakamani kusikiliza?

hawa wanaochochea mfarakano na maandamano wengi ni sukuma gang ili ku prove point yao kuwa Chadema ni wahalifu na Samia hatakiwi kuwapa nafasi bali bunduki na marungu, kisha wanakaa kuchekelea
 
Dogo huu uchaguzi wa mwaka 2020 mnautumia kama kichaka cha yanayoendelea na vituko vya akina Mbowe,Zitto na wenzao.

Sasa hivi kuna bajeti inaendelea bungeni,kuna maamuzi mbalimbali ya serikali.Je upinzani hauna hoja mbadala ya kuzungumza?

Hata kama "mlinyanyswa" ndio iwafanye sasa muunge juhudi za serikali asilimia 100?

Je hiki kinachoendelea "usuluhishi kati ya Chadema na CCM" nani msuluhishi huru? kama alivyokuwa Nyerere/Mandela mgogoro wa Burundi au Annan mgogoro wa Odinga na Kibaki huko Kenya?

Bajeti inapingwa bungeni na sio huku nje. Isitoshe nani anafuatilia habari za hilo bunge kibogoyo? Kwa taarifa yako watu wanaojitambua wamelipuuza hilo bunge, hivyo hakuna anayejali nini kinajadiliwa na hilo bunge la majizi ya kura.
 
Ila Ikulu inayotumia maamuzi ya "bunge kibogoyo" ipo sahihi.

Huu "mgogoro" wenu na "majizi ya kura" nani msuluhishi huru?
 
1. Freeman Mbowe kabla ya kwenda Ikulu

Tuwe makini na Suluhu Samia, ni zao la CCM.

2. Freeman Mbowe baada ya kutoka Ikulu.

Nina imani kubwa sana na Rais Suluhu Samia na chama chake Cha CCM amefanya mambo makubwa sana na nimeona commitment yake.

Hatuna Haja ya Kuwa na aina Hii Ya Upinzani
Kasema hayo Ad Verbatim ?

Kama ndivyo basi hana sababu ya kubaki upinzani ajiunge tu waunge juhudi sababu kama nyote mna destination sawa na unaona mbinu wanazotumia ni sawa na una Imani nao why be on the other side...

Ndio maana nikauliza kasema hayo neno kwa neno au kuna context ilikuwa tofauti?
 
Mbowe hakusema hivyo amesema kuna tofauti kubwa kati ya Samia na Magufuli, lakini

Nyie watu bana.. Kwanza Mbowe hakusema hayo maneno mtoa mada aliyosema
nilikuwa namsikiliza alikuwa akizungumzia klatika context ya kujadiliana kati ya CCM na Upinzani, akasema Magufuli na Samia ni kama Mbingu na ardhi, Magufuli alikuwa akiona wapinzani kama wahaini ila Samia amekaa nao chini kujadili na wameanza tu na wana vikao zaidi vinafuata, bado hawajafikia muafaka wa lolote

Tundu Lissu mwenyewe aliongea akasema pia Magufuli na Samia, Samia ana nafuu kubwa, sababu kawaachia wanachama wao wengi waliokuwa mahabusu kwa kesi za mchongo, na angalau wamekubali kuzungumza, lakini akatoa tahadhari kuwa hajabadilisha sheria yoyote kandamizi zilizowekwa na Magufuli wala kutoia zuio la mikutano ya vyama lakini hilo wanalizungumzia kwenye majadiliano yanaendeleo wataona itakuwaje.

Sasa kuna shida gani hapo? Samia hana tofauti na Magufuli kweli? hamtaki mazungumzo mnataka kuandamana? Mliandamana Mbowe alipokamatwa kwa kesi ya ugaidi? hata mlienda mahakamani kusikiliza?

hawa wanaochochea mfarakano na maandamano wengi ni sukuma gang ili ku prove point yao kuwa Chadema ni wahalifu na Samia hatakiwi kuwapa nafasi bali bunduki na marungu, kisha wanakaa kuchekelea

Sipingi utetezi wako boss, na tunajua uchochezi wanaofanya sukuma gang ili kumfanya Magufuli abaki relevant. Je Mbowe hakutamka maneno ya watu kuandamana tena katika hali ya kuonyesha kutokukubaliana nayo? Ni mara moja au mbili Mbowe aliwahi kuhamasisha watu kuandamana huko nyuma?

Unataka watu waandamane kisa Mbowe kukamatwa, au kila mtu ahudhurie kesi ya Mbowe. Kwani kila mfuasi wa CDM aliyekamatwa Mbowe aliandamana au kuhudhuria kesi zao? Alipokuwa anatumia gari la umma na kupata mshahara wa ubunge na KUB, watu walikuwa wanamfuata na kufaidi alichofaidi? Walioweza kuhudhuria kesi ya Mbowe walihudhuria kutokana na nafasi zao, na mahali kesi ilipokuwa ikiendeshwa. Labda kama ulitaka wafuasi wote wa CDM waende hapo mahakamani.

Wote tunajua Samia ni tofauti na Magufuli, ila anachofanya Mbowe sasa ni kujiweka upande wa kujinyenyekeza zaidi kuliko kukaa eneo la kupata haki. Kuna mazingira makubwa Samia akamtumia sasa ili kutawala kwenye kipindi chake bila pressure kubwa. Lakini akitoka mambo yakaendelea vile vile. Tunachokataa ni Mbowe kutaka kujionyesha kwa serikali kuwa yeye ni mnyenyekevu, lakini wafuasi wa CDM ndio wenye tatizo. Kwa sasa Mbowe ushawishi wake uko chini, ni vyema akaacha wengine waongee kwani bado tuna imani nao. Mbowe ale alichopewa sio kulazimisha kuburuza watu huko atakako.
 
CHADEMA imepooza tangu Tundu Lissu ashambuliwe kwa risasi.
Mbowe hakusema hivyo amesema kuna tofauti kubwa kati ya Samia na Magufuli, lakini

Nyie watu bana.. Kwanza Mbowe hakusema hayo maneno mtoa mada aliyosema
nilikuwa namsikiliza alikuwa akizungumzia klatika context ya kujadiliana kati ya CCM na Upinzani, akasema Magufuli na Samia ni kama Mbingu na ardhi, Magufuli alikuwa akiona wapinzani kama wahaini ila Samia amekaa nao chini kujadili na wameanza tu na wana vikao zaidi vinafuata, bado hawajafikia muafaka wa lolote

Tundu Lissu mwenyewe aliongea akasema pia Magufuli na Samia, Samia ana nafuu kubwa, sababu kawaachia wanachama wao wengi waliokuwa mahabusu kwa kesi za mchongo, na angalau wamekubali kuzungumza, lakini akatoa tahadhari kuwa hajabadilisha sheria yoyote kandamizi zilizowekwa na Magufuli wala kutoia zuio la mikutano ya vyama lakini hilo wanalizungumzia kwenye majadiliano yanaendeleo wataona itakuwaje.

Sasa kuna shida gani hapo? Samia hana tofauti na Magufuli kweli? hamtaki mazungumzo mnataka kuandamana? Mliandamana Mbowe alipokamatwa kwa kesi ya ugaidi? hata mlienda mahakamani kusikiliza?

hawa wanaochochea mfarakano na maandamano wengi ni sukuma gang ili ku prove point yao kuwa Chadema ni wahalifu na Samia hatakiwi kuwapa nafasi bali bunduki na marungu, kisha wanakaa kuchekelea
 
Ila Ikulu inayotumia maamuzi ya "bunge kibogoyo" ipo sahihi.

Huu "mgogoro" wenu na "majizi ya kura" nani msuluhishi huru?

Pitia nyuzi zangu zote kama kuna mahali naunga mkono huo utapeli wa maridhiano huko ikulu. Naona unataka nikupe majibu ama utetezi wa jambo ambalo sina imani nalo. Kawatafute wenye imani na hayo mazungumzo ndio uwaulize haya maswali yako. Sina imani na jizi lolote la kura.
 
Back
Top Bottom