RAIS Samia tunusuru Wanakagera tupewe hela za tetemeko zilizochukuliwa na serikali ikijidai inarekebisha miundo mbinu

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu.

Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya tetemeko kagera
WATANZANIA HATUJASAHAU NA HATUTASAHAU YALIYOTOKEA KATIKA TETEMEKO LA KAGERA

Na @Godbrown Aminael (KTB MB UKONGA )

1. Rais Uhuru Kenyata alichangia wahanga million 200.

2. Serikali ya Korea Kusini iliwachangia wahanga million 108.

3. Serikali ya Uingereza iliwachangia wahanga billion 6

4. Askofu mkuu wa EAGT Brown mwakipesile alichangia million 10.

5. Kiongozi wa Upinzani Freeman Mbowe million 5.

6. Waziri mkuu wa india NARENDRA MODI na serikali yake walichangia million 545.

7. Mchungaji King James wa kanisa la PAG. kahororo kyamaizi bukoba alichangia million 3.

8. United States of America ilichangia billion 6.

9. Jasem al - najeola barozi wa Kuwait alichangia dora za marekani elfu 33.

10. Rais Yoweri Museveni wa Uganda alichangia million 430 kupitia serikali yake.

11. Said Salimu Bakharesa alichangia million 100.

12. Reginald Mengi alichangia million 110.

13. Baraza la wawakilishi Zanzibar lilichangia milioni 30.

14. Caspian Omid Kalambech alichangia million 190.

15. Kiongozi wa madhehebu ya Bohora alichangia dola za marekani elfu 33.

16. Umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema BAVICHA walichangia million 7.

17. Balozi Hamis Kagasheki milioni 5.

18. UVCCM mwanza milioni 3.

19 .Mch. Gertruda Rwakatale million 10.

Kwa mujibu wa ripoti ya maafa iliyo tolewa na mkuu wa mkoa wa Kagera Ndugu Kijuu wakati ule ni kwamba nyumba zaidi ya 1200 ziliadhirika na tetemeko hilo.

Ukilinganisha na kiasi hicho cha fedha kilicho changwa na wadau mbalimbali niwazi kila mhanga angeweza kujengewa nyumba nzuri.

Kwa mujibu wa Pombe Magufuli aliwajibu wanakagera serikali haina fedha za kuwajengea nyumba na hakuna serikali yoyote duniani iliyowai kuwajengea wahanga wa matetemeko nyumba! Na kwamba serikali siyo iliyoleta tetemeko na wala katika kampeni za Uchaguzi hakuna mahali aliahidi kuwa ataleta tetemeko.

Magufuli alienda mbali zaidi na kusema fedha zilozo changwa zitajenga miundominu ya serikali iliyo haribiwa na tetemeko hilo.

Ni kumbukumbu tu, sitasahau hili
 
Ilikuwa manispaa ya Chadema

Anasema: Maendeleo Hayana Chama Ndugu Zangu, Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele!!​

Baadaye:Ukiwa Na Chakula Huwezi Kumpa Mtoto Wa Jirani Utampa Wako Kwanza, Halafu Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua Kwani Mbunge Wa Hapa Ni Nani Vile!!!

Huyu Daniel Hajui Hata Kujieleza Lakini Ndugu Zangu Nileteeni Daniel, Vinginevyo Mtajuta Mkileta Mtu Mwingi, Nasema Wazi Wazi
 
Wana JF

Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu.

Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya tetemeko kagera
WATANZANIA HATUJASAHAU NA HATUTASAHAU YALIYOTOKEA KATIKA TETEMEKO LA KAGERA

Na @Godbrown Aminael (KTB MB UKONGA )

1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.

2. Serikali ya Korea Kusini iliwachangia wahanga million 108.

3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6

4. Askofu mkuu wa EAGT Brown mwakipesile alichangia million 10.

5. Kiongozi wa Upinzani Freeman Mbowe million 5.

6. Waziri mkuu wa india NARENDRA MODI na serikali yake walichangia million 545.

7. Mchungaji King James wa kanisa la PAG. kahororo kyamaizi bukoba alichangia million 3.

8. United States of America ilichangia billion 6.

9. Jasem al - najeola barozi wa Kuwait alichangia dora za marekani elfu 33.

10. Rais Yoweri Museveni wa Uganda alichangia million 430 kupitia serikali yake.

11. Said Salimu Bakharesa alichangia million 100.

12. Reginald Mengi alichangia million 110.

13. Baraza la wawakilishi Zanzibar lilichangia milioni 30.

14. Caspian Omid Kalambech alichangia million 190.

15. Kiongozi wa madhehebu ya Bohora alichangia dola za marekani elfu 33.

16. Umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema BAVICHA walichangia million 7.

17. Balozi Hamis Kagasheki milioni 5.

18. UVCCM mwanza milioni 3.

19 .Mch. Gertruda Rwakatale million 10.

Kwa mujibu wa ripoti ya maafa iliyo tolewa na mkuu wa mkoa wa Kagera Ndugu Kijuu wakati ule ni kwamba nyumba zaidi ya 1200 ziliadhirika na tetemeko hilo.

Ukilinganisha na kiasi hicho cha fedha kilicho changwa na wadau mbalimbali niwazi kila mhanga angeweza kujengewa nyumba nzuri.

Kwa mujibu wa Pombe Magufuli aliwajibu wanakagera serikali haina fedha za kuwajengea nyumba na hakuna serikali yoyote duniani iliyowai kuwajengea wahanga wa matetemeko nyumba! Na kwamba serikali siyo iliyoleta tetemeko na wala katika kampeni za Uchaguzi hakuna mahali aliahidi kuwa ataleta tetemeko.
Magufuli alienda mbali zaidi na kusema fedha zilozo changwa zitajenga miundominu ya serikali iliyo haribiwa na tetemeko hilo.

Ni kumbukumbu tu, sitasahau hili
Mwambieni Mama nanyi awape kama anavyowapa wengine. Na nyie wa Mwakata, Kahama mliobomolewa nyumba zenu kwa mafuriko msiache kuomba. Mkiacha au mkachelewa shauri yenu.
 
Mambo ya Pesa yaje baadaye kitu cha msingi kuna haja ya aidha Familia ya JPM, Serikali aliyoakiiongoza au Chama chake kuomba radhi kwa Matusi aliyotutukana wenyeji wa Mkoa wa Kagera
 
Wana JF

Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu.

Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya tetemeko kagera
WATANZANIA HATUJASAHAU NA HATUTASAHAU YALIYOTOKEA KATIKA TETEMEKO LA KAGERA

Na @Godbrown Aminael (KTB MB UKONGA )

1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.

2. Serikali ya Korea Kusini iliwachangia wahanga million 108.

3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6

4. Askofu mkuu wa EAGT Brown mwakipesile alichangia million 10.

5. Kiongozi wa Upinzani Freeman Mbowe million 5.

6. Waziri mkuu wa india NARENDRA MODI na serikali yake walichangia million 545.

7. Mchungaji King James wa kanisa la PAG. kahororo kyamaizi bukoba alichangia million 3.

8. United States of America ilichangia billion 6.

9. Jasem al - najeola barozi wa Kuwait alichangia dora za marekani elfu 33.

10. Rais Yoweri Museveni wa Uganda alichangia million 430 kupitia serikali yake.

11. Said Salimu Bakharesa alichangia million 100.

12. Reginald Mengi alichangia million 110.

13. Baraza la wawakilishi Zanzibar lilichangia milioni 30.

14. Caspian Omid Kalambech alichangia million 190.

15. Kiongozi wa madhehebu ya Bohora alichangia dola za marekani elfu 33.

16. Umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema BAVICHA walichangia million 7.

17. Balozi Hamis Kagasheki milioni 5.

18. UVCCM mwanza milioni 3.

19 .Mch. Gertruda Rwakatale million 10.

Kwa mujibu wa ripoti ya maafa iliyo tolewa na mkuu wa mkoa wa Kagera Ndugu Kijuu wakati ule ni kwamba nyumba zaidi ya 1200 ziliadhirika na tetemeko hilo.

Ukilinganisha na kiasi hicho cha fedha kilicho changwa na wadau mbalimbali niwazi kila mhanga angeweza kujengewa nyumba nzuri.

Kwa mujibu wa Pombe Magufuli aliwajibu wanakagera serikali haina fedha za kuwajengea nyumba na hakuna serikali yoyote duniani iliyowai kuwajengea wahanga wa matetemeko nyumba! Na kwamba serikali siyo iliyoleta tetemeko na wala katika kampeni za Uchaguzi hakuna mahali aliahidi kuwa ataleta tetemeko.
Magufuli alienda mbali zaidi na kusema fedha zilozo changwa zitajenga miundominu ya serikali iliyo haribiwa na tetemeko hilo.

Ni kumbukumbu tu, sitasahau hili
Nakumbuka alitoa hotuba ya kusisimua mbele ya wazee, mashehe na viongozi wengine wa dini. Pia alikuwepo mbunge wetu RWAKATARE. Cha muhimu nnachokumbuka ni kwamba balaa zote huanzia Bukoba. Mfano ukimwi, tetemeko na kukazia pia hata mto Ngono unaanzia Bukoba. Hayo ndo yalikuwa majibu

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Wana JF

Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu.

Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya tetemeko kagera
WATANZANIA HATUJASAHAU NA HATUTASAHAU YALIYOTOKEA KATIKA TETEMEKO LA KAGERA

Na @Godbrown Aminael (KTB MB UKONGA )

1. Rais uhuru kenyata alichangia wahanga million 200.

2. Serikali ya Korea Kusini iliwachangia wahanga million 108.

3. Serikali ya uingereza iliwachangia wahanga billion 6

4. Askofu mkuu wa EAGT Brown mwakipesile alichangia million 10.

5. Kiongozi wa Upinzani Freeman Mbowe million 5.

6. Waziri mkuu wa india NARENDRA MODI na serikali yake walichangia million 545.

7. Mchungaji King James wa kanisa la PAG. kahororo kyamaizi bukoba alichangia million 3.

8. United States of America ilichangia billion 6.

9. Jasem al - najeola barozi wa Kuwait alichangia dora za marekani elfu 33.

10. Rais Yoweri Museveni wa Uganda alichangia million 430 kupitia serikali yake.

11. Said Salimu Bakharesa alichangia million 100.

12. Reginald Mengi alichangia million 110.

13. Baraza la wawakilishi Zanzibar lilichangia milioni 30.

14. Caspian Omid Kalambech alichangia million 190.

15. Kiongozi wa madhehebu ya Bohora alichangia dola za marekani elfu 33.

16. Umoja wa vijana wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema BAVICHA walichangia million 7.

17. Balozi Hamis Kagasheki milioni 5.

18. UVCCM mwanza milioni 3.

19 .Mch. Gertruda Rwakatale million 10.

Kwa mujibu wa ripoti ya maafa iliyo tolewa na mkuu wa mkoa wa Kagera Ndugu Kijuu wakati ule ni kwamba nyumba zaidi ya 1200 ziliadhirika na tetemeko hilo.

Ukilinganisha na kiasi hicho cha fedha kilicho changwa na wadau mbalimbali niwazi kila mhanga angeweza kujengewa nyumba nzuri.

Kwa mujibu wa Pombe Magufuli aliwajibu wanakagera serikali haina fedha za kuwajengea nyumba na hakuna serikali yoyote duniani iliyowai kuwajengea wahanga wa matetemeko nyumba! Na kwamba serikali siyo iliyoleta tetemeko na wala katika kampeni za Uchaguzi hakuna mahali aliahidi kuwa ataleta tetemeko.
Magufuli alienda mbali zaidi na kusema fedha zilozo changwa zitajenga miundominu ya serikali iliyo haribiwa na tetemeko hilo.

Ni kumbukumbu tu, sitasahau hili
Wazalendo wa Chato walizipiga
 
Ila Jiwe aisee dah😀
 
Wahaya mnaniangusha sasa. Tangu lini mmeanza kulia lia? Swaga na mbwembwe zimeisha?

Kiduku Lilo peke yake anaweza kulipa hizi hela zote...

On a serious note Jiwe was tough. That's all
 
Naunga mkono hoja 100% zote
 
mkuu ni kama unakumbusha rambirambi ya msiba kwa wasiyotowa,tunasubiri pengine atatoa kama zipo.Lisu nasikia kapewa.
 
Huyu mama tutamzeesha! Tufunike kombe, yalopita si ndwele.....tusonge mbele tujenge nchi...au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom