Ni wazi kabisa kwamba Serikali (CCM) imedhamiria kufubaza harakati za kudai katiba mpya Tena kwa nguvu zote, na hii ndio maana ya kumbambika mbowe kesi ya Ugaidi.
Lengo lao kubwa ni kuwatisha Ili...
Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Bongoland na jinsi watawala wa awamu iliyopo wanavyofanya mambo yao, basi utagundua kile kilio cha kina Mama kinaweza kuwa ni tukio la kupangwa ili baadae...
KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Rais John Magufuli alimuwongeza muda wa mwaka mmoja Mkuu wa majeshi ya ulinzi nchini, Jenerali Davis Mwamunyange, ambaye alitakiwa kustaafu January 30 Mwaka jana baada ya kutimiza umri kwa mujibu...
Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana...
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia...
Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Pareso ameitaka Serikali kueleza hatma ya fedha na vifaa walivyovichukua katika maduka ya kubadilishia fedha za kigeni.
Pareso amehoji hayo leo Juni7, 2022 wakati...
Ndugu zangu siasa ina mambo mengi sana na ukiwa mwanasiasa unatakiwa uwe na ngozi ngumu ya Kisiasa MBOWE kama kiongozi ameweza kushinda kila maumivu aliyopitia.
Hawa kina Zitto, Lipumba, Kitila...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022
Sabaya amefikishwa...
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema;
"Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni...
Kuna tofauti kubwa Sana ya Uongozi kutoka awamu ya 6 na ya 5..
Kila sekta,Rais Samia ameonyesha ufanisi wa Hali ya Juu..
Dart ilikuwa inapata hasara Sana na walikuwa na magari machache lakini...
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.
Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta...
Ndugu zangu, inakuwaje watu wa Nchi moja, Serikali moja, mkoa mmoja, Halmashauri moja, Tarafa moja, Kata moja na mtaa mmoja wananunua umeme kwa bei tofauti tofauti, yaani, wengine wananunua unit...
Huyu ni mfanyabiashara, he worth alot to our beloved nation,
Sidhani kama anastahili manyanyaso kiasi hiki kwenye nchi ya mama yake,
Kutishana kwa namna hii hakukubaliki.
Ole sabaya ndugu...
Tumaini Kweka aliteuliwa kuwa Naibu DPP na Mama Samia mwaka jana. Muda mfupi baadae tukamsikia yuko Arusha na akatoa tuhuma lukuki zinazomkabili Sabaya hata kabla hajapandishwa mahakamani.
Baada...
Wakuu Haina Kupoa Hii.
Chifu Hangaya anatarajia Kufanya Ziara Mkoa wa Kagerà Kuanzia Tarehe 8-10 Mwezi Wa June.
Ataongea na Wananchi na Kuzindua Msikiti Huko Kagerà
Wakuu,
Nimeshindwa kuelewa wanaomuona Mwenda zake Magufuli eti alikuwa Mbunifu.
Ilikuaje akashindwa Kubuni na kutengeneza Vitu vya Maana kama Royal Tour? Rafiki yake Kagame alitengeneza yeye...
Upinzani sio kuwa mpinge kila jambo.
Upinzani sio kukomaa na kushikana mashati.
Lakini sio kwa kuendekeza njaa na kuonesha wazi kuwa una njaa.
Njaa za kushibisha matumbo njaa!
Wananchi...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania yuko Kagera kuanzia kesho lakini maandalizi ya kumpokea yamekaa kichama ata mabango na bendera zimeoambwa za CCM najiuliza ni lini kama nchi tutaheshimu...
"Tukianza kutafuta asiye na dhambi ili tujadiri naye kuhusu kesho yetu hatutampata,hivyo tuna kila lazima ya kuacha chuki na visasi na kuwaamini viongozi wetu"
"Siwezi kuwa chawa wa Mama (Rais...