Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,573
15,921
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
 
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogowangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.

Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka kuumiza wananchi.
We jamaa kweli mtoto wa mjini! Yaani Mheshimiwa Rais kaongea asubuhi jioni unamfanyia preempt?

Kama ni kuondoka utaondoka. So get ready Sabaya ili lipate kutimia neno lisemalo, Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.
 
Hii pangua inayokuja jokate atalamba ukuu wa mkoa.
Halafu mleta mada tambua bi mkubwa hatabiriki,anaweza kumtoa huko akampeleka Lindi huko,pia hata yule wa green city anaweza hamishwa mkoa pia ila nafasi akabaki nayo hiyo hiyo.
Yule wa kilimani pale kwa mutwa anaweza kuachwa.
 
Back
Top Bottom