Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku Tatu mkoani Kagera

Kwenda kuzindua nyumba za ibada kwa kiongozi wa serikali ina maana gani na manufaa gani kwa nchi isiyofungamana na imani yoyote kikatiba?
Watu wa Kagera wanataka rais aende kuzindua ujenzi wa barabara, masoko, stendi, hospital, vyuo nk.

Kuna vitu vingine rais anajiingiza bila msingi na kuishia kukosolewa au kuchukiwa
 
Wakuu Haina Kupoa Hii.
.
Chifu Hangaya anatarajia KUfanya Ziara Mkoa wa Kagerà Kuanzia Tarehe 8-10 Mwezi Wa June.
.
Ataongea na Wananchi na Kuzindua Msikiti Huko Kagerà
Hii kazi ya kusafiri anaiweza sn, akitoka huku Ulaya kama kawa kwenda kusafisha macho town
 
Kwenda kuzindua nyumba za ibada kwa kiongozi wa serikali ina maana gani na manufaa gani kwa nchi isiyofungamana na imani yoyote kikatiba?
Watu wa Kagera wanataka rais aende kuzindua ujenzi wa barabara, masoko, stendi, hospital, vyuo nk.

Kuna vitu vingine rais anajiingiza bila msingi na kuishia kukosolewa au kuchukiwa
Kama hakuna cha kuzindua akazindue nini?
 
Wakuu Haina Kupoa Hii.
.
Chifu Hangaya anatarajia KUfanya Ziara Mkoa wa Kagerà Kuanzia Tarehe 8-10 Mwezi Wa June.
.
Ataongea na Wananchi na Kuzindua Msikiti Huko Kagerà
Hii ni fursa nzuri kwa Rais wetu kutembelea makao makuu ya mkoa wa Kagera wenye soko, kituo cha mabasi na miundo mbinu nyingi iliyo ktk hali kama ilivyoachwa na wakoloni.
Ni vema wananchi wakaelezwa waliziokosea nini serikali za CCM mpk mkoa huu ukashika mkia ktk vigezo vya umaskini
 
Wanaomkejeli Rais wana sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
ukiachana na hili la mfumuko wa bei ambao anajitahidi kupambana nao mengine mengi anajitahidi sana...
tuseme ukweli wakati mwingine tuache unafiki
 
Anakuja kuzindua msikti eti....pembeni ya msikiti huo hata mita mbili hazifiki kuna bonge la stendi kuu ya matope....

Nilitegemea aje kufungua mradi wa ujenzi wa stendi kuu ya mabasi...

Sema nini basi tu
 
Ni fursa nzuri kwa wana Kagera ni muda wa kuonyesha changamoto katika mkoa wao ikiwemo kituo cha mabasi mikoa mingi kwa sasa ina vituo vya mabasi bora sana Dar na morogoro na Mwanza ni vinara bila kusahau Bariadi,Katavi,Songea,Singida,na maeneo mengineyo.
 
Back
Top Bottom