Ole Sabaya hizi tuhuma za Wafanyabiashara wa Hotel ni nzito kwako, huu sio uongozi!

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Huyu ni mfanyabiashara, he worth alot to our beloved nation,

Sidhani kama anastahili manyanyaso kiasi hiki kwenye nchi ya mama yake,
Kutishana kwa namna hii hakukubaliki.

Ole sabaya ndugu yangu tazama upya mienendo yako

Lakini hata hivo MaDC na Ma RC nani kawapa kazi ya kudai kodi?

Ikibidi si ingebidi waende na wataalam wa kodi tena muda wa kazi jamani?

Cheo ni dhamana!
 
Attachments

  • 2120215_VID-20190724-WA0000.3gp
    14.1 MB · Views: 13
Huyu ni mfanyabiashara, he worth alot to our beloved nation,

Sidhani kama anastahili manyanyaso kiasi hiki kwenye nchi ya mama yake,
Kutishana kwa namna hii hakukubaliki...
Ole sabaya ndugu yangu tazama upya mienendo yako ,
Lakini hata hivo MaDC na Ma RC nani kawapa kazi ya kudai kodi?
Ikibidi si ingebidi waende na wataalam wa kodi tena muda wa kazi jamani?

Cheo ni dhamana!
Nimeisikiliza hiyo clip, kama ni kweli
Mh Rais anachafuliwa na watendaji wake.
 
Kwa kweli nitashangaa sana kama Jiwe atamuacha Sabaya kwa hili hata kama Sabaya ana mazuri ambayo yeye Jiwe anayaona but for the sake ya kushafisha hali ya hewa angemtumbua tu
 
Huyu ni mfanyabiashara, he worth alot to our beloved nation,

Sidhani kama anastahili manyanyaso kiasi hiki kwenye nchi ya mama yake,
Kutishana kwa namna hii hakukubaliki...
Ole sabaya ndugu yangu tazama upya mienendo yako ,
Lakini hata hivo MaDC na Ma RC nani kawapa kazi ya kudai kodi?
Ikibidi si ingebidi waende na wataalam wa kodi tena muda wa kazi jamani?

Cheo ni dhamana!
Huyo sabaya kuna siku nimekutana nae dukani Arusha anamfanyia shopping wema sepetu.
 
Huyu ni mfanyabiashara, he worth alot to our beloved nation,

Sidhani kama anastahili manyanyaso kiasi hiki kwenye nchi ya mama yake,
Kutishana kwa namna hii hakukubaliki...
Ole sabaya ndugu yangu tazama upya mienendo yako ,
Lakini hata hivo MaDC na Ma RC nani kawapa kazi ya kudai kodi?
Ikibidi si ingebidi waende na wataalam wa kodi tena muda wa kazi jamani?

Cheo ni dhamana!

We told you people!

Small monkeys are now becoming gorillas!
 
Back
Top Bottom