Mikataba ya Maliasili na Utalii: Loliondo, Grumeti nk.

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Tunasikia kule Loliondo ndugu wakichomwa moto na Serikali, kisa Serikali inalinda mkataba wa Mwana Mfale wa UAE ambaye ni mwekezaji. Kule Serengeti mkataba wa Grumeti unamfanya mwekezaji anyenyekewe na dola na Wananchi wananyanyaswa. Only in Tanzania!

Je wale nzi wetu wanaweza kututafutia hiyo mikataba tuichambue?
 
Uza nyumba na wapangaji wake. Ndo hii sasa unauza mbuga na wamasai ndani yake wote kwa dollar 1004000
 
Siri Imefichuka,
Ukweli unatabia ya kujitenga na uongo

Wanaua ndugu zetu kwa kigezo cha mazingira , kumbe Kuna mtoto wa mtu fulani anataka atunukiwe
 
Back
Top Bottom