NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 8,520
- 17,426
Wakuu,
Najua mpo na milango yote ya fahamu inafanya KAZI!
Mimi ninawaamini nyie Ndio Taasisi pekee kimbilio isiyotiliwa shaka!nyie Ndio tumaini pekee lililobaki hapa nchini!
Ujumbe wangu ni kwenu nyie na wala sio KWA CCM wala Rais aliepo madarakani kwasababu nimepoteza imani nao kabisa !
Nawaomba mchukue hatua za haraka kama hizo ripoti za huko ngoro ngoro Ndio uhalisia wa mambo yalivyo!!
Fanyeni jambo Hiyo damu inayomwagika isije kuwalilia nyie na kizazi chenu!!
Najua tuna Rais wa katiba na hamkumuandaa kushika hatamu!mliemuandaa kaenda KWA baba aliepo hakuwa na maono na NCHI yetu Ndio màana anaendeshwa na watu wengine walio nje ya mfumo!
Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yaliyoleta sintofahamu hasa migogoro ya ardhi na kupanda bei ya mafuta yanasadifu kuwa hakujiandaa kushika hatamu!!
Naombeni mmsaidie kuendesha SERIKALI Ili kuokoa kizazi chetu dhidi ya dhahma zinazo endelea nchini!
Kuna Genge la wahuni linamzunguka na ameshindwa kabisa KUONGIZA SERIKALI YAKE!
Wako wapi kina Lukuvi!!?kina kalemani Hadi wahuni wamepewa wizara na kuleta migogoro!!?
Hizo clips za damu na vidonda za watanzania wenzetu huko ngoro ngoro kama ni za kweli tunaomba ziwe chachu kwenu kufanya mabadiliko ya haraka inapobidi
Rais ameshindwa na wahuni wanamzunguka na kumharibia uongozi wake
MSAIDIENI