cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,317
- 7,509
Kwa katiba hii ambayo inampa Rais madaraka ya kufanya lolote,kuna siku nchi itauzwa na utapiga makofi
Nchi zingine duniani Spika na Jaji mkuu ni watu wenye nguvu kweli kweli sambamba na Rais lakini Tanzania kuna mhimili mmoja upo juu ya mihimili mingine kwa nini usiombe msamaha?
Kwa katiba hii Spika hana tofauti na Mkuu wa Mkoa au waziri, Rais ndiyo kila kitu kwenye hii nchi kwa nini usiuzwe na kwa nini tusikope bila kikomo na bila kuhoji
Ndugai ilikuwa imebaki kunyang'anywa kadi ya chama automatically angekuwa siyo Spika
Nchi nyingine Spika ana uwezo wa kujipambanua sawa na Rais lakini Tanzania hiyo ni ndoto ya alinache
Tunasema hii siyo katiba tuliyonayo