Tunaobeza harakati za Mbowe na wenzake

Maria Nyedetse

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
657
1,485
Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya mitihani wanayopitia!! Aidha, tunamwomba Mola Mlezi awape subira na stahimili Kwani MITIHANI ina matokeo mawili tu nayo ni IMA KUFAULU au KUFELI! Mola Mlezi atujaalie tuwe ni wenye kufuzu katika mitihani tunayoipitia.

Kuna watu tunaobeza harakati za amani na majadiliano zinazofanywa na Mkuu wa nchi Mama yetu Samia Suluhu Hassan Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Chama Tawala CCM kwa upande moja na Mwenyekiti Mbowe kwa upande wa pili. Kundi hili wengi wanatuaminisha harakati hizi hazina tija na badala yake tu-resort kwenye matumizi vurugu ili kulazimisha MAMLAKA kuafiki mapendekezo yetu.

Ni lazima tupongeze NIA NJEMA YA MAMA yetu kwani kwa sasa ni Mkuu wa nchi na ana command ya vyombo vyote vya uendeshaji wa nchi hivyo angeweza kuziba masikio na kusonga mbele... Tuna mfano hapa Mbowe alipokuwa gerezani tulijipa matumani mwishowe tukaishia kuomba aachiwe....

Wenye mtazamo mfupi wataniona CHAWA ila wenye MACHO wataelewa ninachoongea,

Hali ya amani na utulivu wa kisiasa regardless of the said impunity ni TUNU tunayopaswa kuilinda kwa gharama zote. Wakati sisi twadhihaki mlango wa majadiliano LAKINI KWA HAKIKA NAONA MTAZAMO wa Mbowe wa kufanya majadiliano ni MTAZAMO SAHIHI NA KUIGWA!!

CCM ni Chama Tawala na wana Dola hivyo NIA yao ya kujadiliana inapaswa kuigwa na kuheshimiwa...

Violence will never get us anywhere and it might as well turn into a doomsday for a Country [May Almighty God protect US]....

Hatujifunzi yaliyowapata wenzetu Somalia, Yemeni, Libya, Syria na Mfano wa Hizo?? They real had legitimacy to overthrow their dictator leaders, but where they ended? In a mere despair and awful situation far worse than being under dictator!!!

Am not supporting impunity and authoritarian actions but any action has to be calculated and clear visioned before arousing public anger and dissentiment....

Let us support positive gesture under BELOVED PRESIDENT for the masses that can't afford green card or air fare to a promised land or land of opportunities!!!

My dears sometimes WISDOM is better than JUSTICE!!

If MANDELA had decided to bring every single one involved in persecution of South Africans It could have been impossible to attain majority rule and peaceful transformation of the Country..

There is millions thrt real need this CALM ATMOSPHERE to earn their daily bread and if things are to turn Upside down [may Almighty God protect us] they will die of hunger violently in considerable numbers than bywhat we called IMPUNITY By the state!!!

Always let us Advocacy peaceful struggle for our rights than VIOLENCE that might end us as a nation somewhere awful than the situation we have....

The likes of LEMA, LISSU that enjoys Calm and cool Canadian and Belgian air would have put us in a detrimental situation if we have had accepted their plea to turn up for endless demonstrations immediately after election....

Lissu himself left a country under EUROPEANS escorted, let me us ask a simple question; How many of us can afford that luxury? How many of our relatives will withstand the storm of violence if that storm was to rise? For how long the majority will survive with Supplies flowing and for how long?

Do we real think the Imperialist forces will help us have government that stand for the people or will loot our enormous resources and support us with fire arms to kill one another??

It is very sad that the few that have been enlightened with education are even dump and twisted than the uneducated masses that are perceived ignorant!!!!

My dear brothers and sisters that propagate violence for the so called "to regain our rights and liberts" please don't push us to the edge to loose even the little we have!!! That is even worse of struggle and cruelty than the injustice and impunity that you're lecturing us!!!!

Take an example how the rise of fuel prices is punishing the majority, how do we think these masses will stand the turmoil that we might end heading to???

Disclaimer: I am not supporting the authoritarian way of public governance or impunity to it's people of whoever government in any land in this WORLD, always I believe in peaceful struggle, planned and envisioned for the benefits of all...

I do have friends that have gone through the political turmoils and Violences in their countries.... if you was to listen to their stories and how the situation turned their calling future into a daily struggle for necessities and sheds against shelling, you will melt of horrors!!!

Naomba kuwasilisha wanajamvi... critical arguments zinajenga na kuonesha ukomavu wa kifikra zaidi kuliko mapovu, matusi na kejeli ambazo mara nyingi huoneshi ukosefu wa uzoefu au muono hafifu
 
NI KICHAA NA MWENDAWAZIMU NDIO ATAKEJELI na KUBEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA NA MH.MBOWE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Screenshot_20220521-114139.jpg
Bobi Wine be, mgeni rasmi Baraza Kuu Chadema
 
Naunga mkono majadliano yenye utekelezaji siyo hadaa
Majadiliano yanazaa maeneo yanakubaliwa na pande zote, maeneo ya kufanyia kazi na mwisho huandaliwa mpango wa utekelezaji na muda, radilimali n.k

Wengine tunataka kikao kimoja tayari kila kitu kimefanikiwa....

Kuna suala la Usalama wa Nchi pia maana njaa zetu na kutaka kwetu DOLA tunaweza kujikuta kila unaoitwa msaada wa kukitoa chama kilipo madarakani basi tupo tayari...

Tuwe wavumilivu MAMA YETU AMEONESHA NJIA
 
Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya mitihani wanayopitia!! Aidha, tunamwomba Mola Mlezi awape subira na stahimili Kwani MITIHANI ina matokeo mawili tu nayo ni IMA KUFAULU au KUFELI! Mola Mlezi atujaalie tuwe ni wenye kufuzu katika mitihani tunayoipitia.

Kuna watu tunaobeza harakati za amani na majadiliano zinazofanywa na Mkuu wa nchi Mama yetu Samia Suluhu Hassan Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Chama Tawala CCM kwa upande moja na Mwenyekiti Mbowe kwa upande wa pili. Kundi hili wengi wanatuaminisha harakati hizi hazina tija na badala yake tu-resort kwenye matumizi vurugu ili kulazimisha MAMLAKA kuafiki mapendekezo yetu.

Ni lazima tupongeze NIA NJEMA YA MAMA yetu kwani kwa sasa ni Mkuu wa nchi na ana command ya vyombo vyote vya uendeshaji wa nchi hivyo angeweza kuziba masikio na kusonga mbele... Tuna mfano hapa Mbowe alipokuwa gerezani tulijipa matumani mwishowe tukaishia kuomba aachiwe....

Wenye mtazamo mfupi wataniona CHAWA ila wenye MACHO wataelewa ninachoongea,

Hali ya amani na utulivu wa kisiasa regardless of the said impunity ni TUNU tunayopaswa kuilinda kwa gharama zote. Wakati sisi twadhihaki mlango wa majadiliano LAKINI KWA HAKIKA NAONA MTAZAMO wa Mbowe wa kufanya majadiliano ni MTAZAMO SAHIHI NA KUIGWA!!

CCM ni Chama Tawala na wana Dola hivyo NIA yao ya kujadiliana inapaswa kuigwa na kuheshimiwa...

Violence will never get us anywhere and it might as well turn into a doomsday for a Country [May Almighty God protect US]....

Hatujifunzi yaliyowapata wenzetu Somalia, Yemeni, Libya, Syria na Mfano wa Hizo?? They real had legitimacy to overthrow their dictator leaders, but where they ended? In a mere despair and awful situation far worse than being under dictator!!!

Am not supporting impunity and authoritarian actions but any action has to be calculated and clear visioned before arousing public anger and dissentiment....

Let us support positive gesture under BELOVED PRESIDENT for the masses that can't afford green card or air fare to a promised land or land of opportunities!!!

My dears sometimes WISDOM is better than JUSTICE!!

If MANDELA had decided to bring every single one involved in persecution of South Africans It could have been impossible to attain majority rule and peaceful transformation of the Country..

There is millions thrt real need this CALM ATMOSPHERE to earn their daily bread and if things are to turn Upside down [may Almighty God protect us] they will die of hunger violently in considerable numbers than bywhat we called IMPUNITY By the state!!!

Always let us Advocacy peaceful struggle for our rights than VIOLENCE that might end us as a nation somewhere awful than the situation we have....

The likes of LEMA, LISSU that enjoys Calm and cool Canadian and Belgian air would have put us in a detrimental situation if we have had accepted their plea to turn up for endless demonstrations immediately after election....

Lissu himself left a country under EUROPEANS escorted, let me us ask a simple question; How many of us can afford that luxury? How many of our relatives will withstand the storm of violence if that storm was to rise? For how long the majority will survive with Supplies flowing and for how long?

Do we real think the Imperialist forces will help us have government that stand for the people or will loot our enormous resources and support us with fire arms to kill one another??

It is very sad that the few that have been enlightened with education are even dump and twisted than the uneducated masses that are perceived ignorant!!!!

My dear brothers and sisters that propagate violence for the so called "to regain our rights and liberts" please don't push us to the edge to loose even the little we have!!! That is even worse of struggle and cruelty than the injustice and impunity that you're lecturing us!!!!

Take an example how the rise of fuel prices is punishing the majority, how do we think these masses will stand the turmoil that we might end heading to???

Disclaimer: I am not supporting the authoritarian way of public governance or impunity to it's people of whoever government in any land in this WORLD, always I believe in peaceful struggle, planned and envisioned for the benefits of all...

I do have friends that have gone through the political turmoils and Violences in their countries.... if you was to listen to their stories and how the situation turned their calling future into a daily struggle for necessities and sheds against shelling, you will melt of horrors!!!

Naomba kuwasilisha wanajamvi... critical arguments zinajenga na kuonesha ukomavu wa kifikra zaidi kuliko mapovu, matusi na kejeli ambazo mara nyingi huoneshi ukosefu wa uzoefu au muono hafifu
Hamna kitu hapo anaaibisha ikulu katiba iko very clear mikutano ya siasa iko wazi shughuli za siasa iko clear, katiba ipo fair atimize matakwa ya kikatiba. Wanachofanya akina mbowe na rais ni usanii mtupu
 
Unaweza kunena hivyo ILA KWA HAKIKA AMANI na NJIA YA MAJADILIANO ndiyo hasa MSINGI wa ustawi wa jamii yeyote
Kwanini kuzunguka.majadiliano wakati Katiba na Sheria zilishaweka wazi kila kitu? Mi nadhani angetumia hayo mamlaka ya kucommandi vyombo vifaye kazi kwa kuzingatia sheria na katiba tu. Na kazi ingekuwa rahisi sana.

Woga wa nini?
 
Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya mitihani wanayopitia!! Aidha, tunamwomba Mola Mlezi awape subira na stahimili Kwani MITIHANI ina matokeo mawili tu nayo ni IMA KUFAULU au KUFELI! Mola Mlezi atujaalie tuwe ni wenye kufuzu katika mitihani tunayoipitia.

Kuna watu tunaobeza harakati za amani na majadiliano zinazofanywa na Mkuu wa nchi Mama yetu Samia Suluhu Hassan Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Chama Tawala CCM kwa upande moja na Mwenyekiti Mbowe kwa upande wa pili. Kundi hili wengi wanatuaminisha harakati hizi hazina tija na badala yake tu-resort kwenye matumizi vurugu ili kulazimisha MAMLAKA kuafiki mapendekezo yetu.

Ni lazima tupongeze NIA NJEMA YA MAMA yetu kwani kwa sasa ni Mkuu wa nchi na ana command ya vyombo vyote vya uendeshaji wa nchi hivyo angeweza kuziba masikio na kusonga mbele... Tuna mfano hapa Mbowe alipokuwa gerezani tulijipa matumani mwishowe tukaishia kuomba aachiwe....

Wenye mtazamo mfupi wataniona CHAWA ila wenye MACHO wataelewa ninachoongea,

Hali ya amani na utulivu wa kisiasa regardless of the said impunity ni TUNU tunayopaswa kuilinda kwa gharama zote. Wakati sisi twadhihaki mlango wa majadiliano LAKINI KWA HAKIKA NAONA MTAZAMO wa Mbowe wa kufanya majadiliano ni MTAZAMO SAHIHI NA KUIGWA!!

CCM ni Chama Tawala na wana Dola hivyo NIA yao ya kujadiliana inapaswa kuigwa na kuheshimiwa...

Violence will never get us anywhere and it might as well turn into a doomsday for a Country [May Almighty God protect US]....

Hatujifunzi yaliyowapata wenzetu Somalia, Yemeni, Libya, Syria na Mfano wa Hizo?? They real had legitimacy to overthrow their dictator leaders, but where they ended? In a mere despair and awful situation far worse than being under dictator!!!

Am not supporting impunity and authoritarian actions but any action has to be calculated and clear visioned before arousing public anger and dissentiment....

Let us support positive gesture under BELOVED PRESIDENT for the masses that can't afford green card or air fare to a promised land or land of opportunities!!!

My dears sometimes WISDOM is better than JUSTICE!!

If MANDELA had decided to bring every single one involved in persecution of South Africans It could have been impossible to attain majority rule and peaceful transformation of the Country..

There is millions thrt real need this CALM ATMOSPHERE to earn their daily bread and if things are to turn Upside down [may Almighty God protect us] they will die of hunger violently in considerable numbers than bywhat we called IMPUNITY By the state!!!

Always let us Advocacy peaceful struggle for our rights than VIOLENCE that might end us as a nation somewhere awful than the situation we have....

The likes of LEMA, LISSU that enjoys Calm and cool Canadian and Belgian air would have put us in a detrimental situation if we have had accepted their plea to turn up for endless demonstrations immediately after election....

Lissu himself left a country under EUROPEANS escorted, let me us ask a simple question; How many of us can afford that luxury? How many of our relatives will withstand the storm of violence if that storm was to rise? For how long the majority will survive with Supplies flowing and for how long?

Do we real think the Imperialist forces will help us have government that stand for the people or will loot our enormous resources and support us with fire arms to kill one another??

It is very sad that the few that have been enlightened with education are even dump and twisted than the uneducated masses that are perceived ignorant!!!!

My dear brothers and sisters that propagate violence for the so called "to regain our rights and liberts" please don't push us to the edge to loose even the little we have!!! That is even worse of struggle and cruelty than the injustice and impunity that you're lecturing us!!!!

Take an example how the rise of fuel prices is punishing the majority, how do we think these masses will stand the turmoil that we might end heading to???

Disclaimer: I am not supporting the authoritarian way of public governance or impunity to it's people of whoever government in any land in this WORLD, always I believe in peaceful struggle, planned and envisioned for the benefits of all...

I do have friends that have gone through the political turmoils and Violences in their countries.... if you was to listen to their stories and how the situation turned their calling future into a daily struggle for necessities and sheds against shelling, you will melt of horrors!!!

Naomba kuwasilisha wanajamvi... critical arguments zinajenga na kuonesha ukomavu wa kifikra zaidi kuliko mapovu, matusi na kejeli ambazo mara nyingi huoneshi ukosefu wa uzoefu au muono hafifu
MASAHIHISHO : Hatukuomba Mbowe aachiwe , BALI TULILAZIMISHA MBOWE AACHIWE KWA SABABU MASHITAKA DHIDI YAKE YALIKUWA YA UONGO NA YA KUTUNGA , USHAHIDI DHIDI YAKE ULIKUWA WA UONGO NA ULIOJAA MIKAKATI DUNI INAYODHALILISHA JESHI LA POLISI , Mashahidi duni waliopangwa akiwemo Kingai , Swilla , Urio na polisi wengine wasiojua chochote kuhusu PGO ulidhalilisha nchi na raia wake , Ni aibu kubwa sana kuwa na Polisi wa namna ile.

Kingine ni Hiki , Wanaotilia shaka majadiliano haya wasipuuzwe , hii ni kwa sababu CCM haiaminiki na inaongozwa na nguvu kutoka nje ya chama chao .
 
Mzizi wa hoja ni kuwa baadhi yetu tunashajiisha VIOLENCE APPROACH....

Nimepokea masahihisho...
 
Back
Top Bottom