Rais Samia mpenda utu, Wamaasai hawaonewi. Tusipotoshe!

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
RAIS SAMIA MPENDA UTU, WAMASAI HAWAONEWI. TUSIPOTOSHE!!

Na: Suphian Juma

Kuna mjadala tengenezwa unaendelea kuhusu Sakata la ndugu zetu Wamasai kuonekana ya kwamba wanaondelewa kwenye Hifadhi ya Ngorongoro. Kana kwamba vita ya Russia na Ukraine imehamia Ngorongoro. Kuna Kikundi cha watu wanapotosha mengi iaminike kwamba Serikali ya Tanzania ina nia ovu na Wamasai, na kibaya zaidi kila habari mbaya kuhusu hili Sakata hili anabebeshwa Rais Samia. Kama mjuavyo upotoshwaji usipothibitiwa unaweza kutakaswa na kuwa ukweli. Nawaomba tuungane pamoja tujadili hili suala kwa hoja, na sio mihemko.

WaTanzania wenzangu,

Kwanza tuelimishane na kukumbusha kwamba; Hifadhi ya Ngorongoro iliyoanzishwa mwaka 1959 inatupa heshima kubwa sana duniani tangu Mwaka 1979 ilipowekwa katika orodha ya Urithi wa Dunia na Shirika la Umoja wa Mataifa la UNESCO upande wa uasilia.

Upekee huu wa hifadhi hii inayopatikana Tanzania ni kweli umetokana na

hukaliwa na Wanyama pori, binadamu na mifugo, na Maisha yao yamekua hivi kwa zaidi ya miongo sita sasa.

Sio hivyo tu, Ngorongoro ina umuhimu mkubwa kutokana na kuwa eneo lenye viumbe hai walio hatarini kupotea, lakini pia ni miongoni mwa mahali penye eneo kubwa la kreta duniani. Na mabaki ya zamadamu katika eneo la Olduvai Gorge.

KWANINI SERIKALI INAWAHAMISHA WAMASAI?

Kwa kuzingatia umuhimu wa eneo hili niliotaja hapo juu ambao kimsingi nje ya fahari ya dunia bali pia Tanzania huingiza mabilioni ya hela kwa mwaka kupitia shughuli za Utalii, utafiti na kadhalika kupitia Ngorongoro. Hivyo UNESCO kwa nyakati tofauti imetahadharisha kuhusu ongezeko la Wamasai na mifugo na imezishauri Serikali za Tanzania kuchukua hatua makhususi ila hatukuchua.

Hadi sasa awamu hii ya sita Mwanzoni mwa mwaka huu wa 2022 ambapo Serikali kupitia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Bungeni ilitangaza kupokea agizo kutoka kwa Rais Samia kwenda KUWAELIMISHA na KUWASHAWISHI ndugu zetu Wamasai KUHAMA KWA HIYARI kwenda maeneo maalum ambayo yatajengwa kwa UBORA mkubwa, ambapo sababu za kuhamishwa ni kama zifuatazo;

SABABU KUU:

Kwa mujibu wa machapisho mbalimbali kutoka shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia elimu, sayansi na utamaduni UNESCO eneo hili linapaswa kukaliwa na watu wasiozidi 25,000 na malisho ya mifugo na wanyamapori isizidi 254,000.

Lakini takwimu za sasa kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro NCAA, wakazi jamii ya wamasai wamefikia 100,000. Ikiwa ni ongezeko kubwa kulingana na mahitaji ya binadamu, mifugo na wanyamapori.

Na pia Kwa mujibu wa mamlaka ya uhifadhi wa Ngorongoro wakati wa kuanzishwa kwa hifadhi hii kulikuwa na watu 9,000 na mifugo yao 50,000.

Ongezeko hili kubwa la Wamasai na mifugo yao limesababisha kwa miaka sasa; mimea asili kupotea, wanyamapori kuhama na wengine kuuliwa na kibaya zaidi watalii wakienda Ngorongoro badala ya kuwaona wanyama pori na Wamasai na mifugo wachache, wanaishia kutembea umbali mkubwa wakiona Wamasai wengi na mifugo mingi na huku wanyamapori wachache wa kubahatisha. Tuanze kujiuliza je, dhana ya Ngorongoro kuwa urithi wa dunia itabaki kuwa maantiki gani?

Tafakari Wamasai wakiachwa wabishi Ngorongoro kwa ongezeko hili miaka 10 ijayo hali itakuwaaje? Si Ngorongoro itageuka na kuitwa Hifadhi ya Wamasai na mifugo? Kwanini wasihamishwe japo wabaki wachache kulinda hadhi yake ya kuanzishwa kwake na kuwa fahari ya dunia?

Na hapa wale wanaonizidoa huko Twitter na mitandao mingine kwamba kama kuhamishwa na kujengewa nyumba kwanini kabila langu la Wanyaturu hadi leo wana nyumba za "tembe", jibu hilo hapo juu, sisi Wanyaturu wa Singida tuhamishwe kupisha Hifadhi gani? Au tujengewe nyumba na Makazi maalum kwa kupisha nini? TOO IRRELEVANT!!

TUENDELEE:

Lingine tukiachana na ongezeko lao Wamasai na mifugo linavyoathiri uasilia wa Hifadhi na ikolojia kwa ujumla, lakini pia kumekwepo taarifa za ongezeko la kuuliwa Wamasai angalau zaidi ya wawili kila mwaka na wanyama wakali kama Simba na Chui, je nyie mnaojiita wa Haki za Binadamu mnaona Sawa binadamu wenzenu kuzidi kuuliwa na wanyama? Kwanini wasihamishwe waokolewe uhai wao?

SERIKALI INAWAJALI WAMASAI?

Wale wanaobwabwaja mtandaoni kwamba si Rais Samia wala Serikali ya Chama cha Mapinduzi, CCM inayowajali Wamasai watafakari Kwanza muda Serikali iliyotenga KUWAELIMISHA Wamasai bila kuwalazimisha kuhama. Serikali imetumia zaidi ya miezi 4 kuongea na viongozi wa kimila wa kimasai na Wamasai kama jamii kuhusu maantiki ya kuhama, Serikali ya kidikteta ingefanya hili?

Lakini pia Serikali ambayo haiwajali Watu wake (Wamasai) ingewezaje kuwajengea: Shule ya msingi yenye vyumba 7, shule ya Sekondari yenye vyumba 8 na imekarabati Zahanati itakayotibu wananchi katika kijiji cha Msomera na kijiji cha jirani. Bila kusahau maji ya kutosha kwa matumizi ya binadamu na mifugo yao.

Lakini pia Serikali ambayo haiwajali hawa Wamasai ingewezaje (kama alivyotangaza Waziri Mkuu Majaliwa) kutenga Eneo ambalo linamuwezesha mkazi Masai kufanya shuguli nyingine hata kuweka boma la kufuga mifugo na eneo la malisho ambalo wataendesha shughuli zao za ufugaji?

Serikali isiyojali Wamasai ingejali kutangaza kupeleka malori kwa ajili ya kubeba samani na malori ya kubeba mifugo na tunawalipa fidia ya nyumba zao? Maandalizi yote haya ambayo Rais Samia ameshatoa fedha tayari? Bado mnasema Rais Samia hawapendi Wamasai?

Tunaelewa kinachoendelea ni MRADI MKAKATI wa baadhi ya Wanaharakati, Wapinzani na ASASI fulani ya kiraia wenye LENGO KUU la kumchafua Rais Samia na Serikali yake ya CCM ndani na mbele ya uso wa kimataifa na hii ni baada ya mafanikio makubwa ya kila sekta yaliyoletwa na Rais Samia ndani ya mwaka mmoja yaliyopelekea Rais Samia kupewa tuzo kimataifa na kuendelea kutufungulia dunia kama Nchi. HAWAPENDI!!

Kikundi hicho kinaumia sana kuona Nchi yetu, Rais wetu, Serikali yetu haisemwi vibaya kimataifa, furaha yao, na Maisha yao kutegemea madhaifu ya Rais na Serikali; awamu hii wameyakosa ndio maana sasa wanahaha KUWASHAWISHI Wamasai wagome.

Kikundi hiki kimeenda huko Ngorongoro na kimetumia advantage ya jamii ya wamasai kutoelimika, hivyo kuwarubuni kwamba wanaonewa kuhamishwa na Serikali, hivyo wagome, na kusababisha vurugu eti dunia ione. Huu ni uhaini kama uhaini mwingine.

Sasa kinaeneza na kukuza stori kana kwamba kuna vita Ngorongoro kwamba wananchi wengi wamejeruhiwa na makumi wameuawa, ukiwauliza wamelazwa hospitali gani hawajui wala hawana evidence yoyote. Huu ni upuuzi, Awamu hii ya Rais Samia sio awamu ya kuonea wananchi wake, waheshimu hili.

Tungekuwa na Wapinzani na wanaharakati wazalendo wa Nchi yetu, toka awali wakati Serikali inawapa elimu, kwa kuzingatia unyeti wa Hifadhi Ngorongoro duniani, wangeenda kuwaelimisha pia, ila walikaa kimya, walipoona Wamasai wamekubali kuhama, wakaenda kuwashawishi wagome. WADHIBITIWE.

Mwisho nawaasa hawa Wapinzani na wanaharakati uchwara waache tabia hizi za uhaini, wamepewa Uhuru na Rais Samia, wamgawie wema, wasilazimishe kukamatwa na kufungwa kwa mujibu wa Sheria kwa kuhamasisha uvunjifu wa amani ya Nchi, waje kuanza kulalamika.

Narudia awamu hii ya Rais Samia haina hulka hata tone ya kuonea wananchi au Kikundi chochote cha watu, ni awamu ya Haki, nawahakikishieni kama kweli Wamasai wangeonewa ama kuuawa na Polisi, Mama asingekaa kimya na mngeona hatua za haraka kuchukuliwa. Mnyonge mnyongeni haki yake ya utu tumpe Rais Samia.

WAMASAI WAHAMISHWE, WAKAISHI MAKAZI BORA, NA HIFADHI YETU IDUMU TUENDELEE KUJIVUNIA DUNIANI.

Suphian Juma,
POLITICAL ENTHUSIAST,
Singida, Tanzania.
Juni 12, 2022.
Phone: 0717027973
Email: yessuphian@gmail.com

IMG_20220610_203949.jpg
FB_IMG_1654970499224.jpg
 
Wamaasai wasijione wao ni watu unique na wakipekee
Wamejazana Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Morogoro huku wakizusha mapigano na wakulima popote walipo, leo wanalilia sq mt 1400 tuu zenye manufaa makubwa kwa taifa letu
Utalii wa Ngorongoro unaiingiza fedha nyingi za kigeni kuliko dhahabu leo tuiiiache igeuke kuwa zizi la wamasaai wa Kenya ? No way
Porokwa wa PINGOS anastahili kesi ya uhujumu uchumi
 
Ngorongoro imeuzwa kwa mwarabu au haijauzwa?

Your answer plz.
 
View attachment 2258343View attachment 2258345

Eti hao ndo masai

wajinga ndio waliwao
 
Wamaasai wasijione wao ni watu unique na wakipekee
Wamejazana Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani, Morogoro huku wakizusha mapigano na wakulima popote walipo, leo wanalilia sq mt 1400 tuu zenye manufaa makubwa kwa taifa letu
Utalii wa Ngorongoro unaiingiza fedha nyingi za kigeni kuliko dhahabu leo tuiiiache igeuke kuwa zizi la wamasaai wa Kenya ? No way
Porokwa wa PINGOS anastahili kesi ya uhujumu uchumi

ukipata Like niambie nije nishangae
 
Wanaongezeka vp wakati wanaliwa na Simba kila mwaka..
 
Kwa mujibu wa machapisho mbalimbali kutoka shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia elimu, sayansi na utamaduni UNESCO eneo hili linapaswa kukaliwa na watu wasiozidi 25,000 na malisho ya mifugo na
Weka hayo machapisho hapa acha soga zako, wewe ungekua mmasai ungekubali kuondolewa? Ficheni upuuzi wenu acheni kutumika kama toilet paper 📜
 
Back
Top Bottom