Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,626
- 7,066
NOTE
Tatizo kubwa sana la Tanzania ni kupata viongozi nafasi za juu kwa ngekewa ukweli ni kwamba majority ya marais wa Tanzania hawakuwa na mpango au maandalizi binafsi ya kuwa Rais wa Tanzania wengi ilitokea kama zali
Wengi walisubiria wakati wa kuchukua form wakatest zali wakajikuta wamepewa tiketi na chama kugombea urais- na kama ndo chama cha mapinduzi kimekupitisha ndo basi wewe tayari ni Rais wa Tanzania
Ni ngumu sana kwa nchi kuendelea kama viongoizi wa nafasi za juu wanapatika kwa ngekewa na hawana maandalizi yeyote binafasi
Maandalizi nayoyaongelea ni maandalizi binafsi mfano magufuli alipata urais kwa ngekewa tunaona alivyokuwa Rais akawa haelewi aanze na lipi yote ile ni kwa sababu hakujipanga yeye binafsi kuwa Rais wa Tanzania ilitokea kama zali
Lakini mimi binafsi siwalaumu viongozi jamii yetu kwa ujumla watu hawana malengo ya mwaka sasa unategemea nini kutoka kwa viongozi ndo wawe na malengo
Wako watakao sema wana-malengo ila wengi wanamalengo lakini hawayapiginii malengo naongelea kuyapigania malengo
Sisi tunasubiria 2030 watu wakajaribu bahati zao ikitokea zali basi wanakuwa Raia ila hakuna maandalizi yeyote binafsi
- Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo
- Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo yao imenyooka ila kwa nchi kama Tanzania ambayo mifumo yake sio mizuri maandalizi binafsi ni muhimu sana mfano nchi kama marekani ni kawaida mahakama kumuwekea pingamizi Rais mifumo yao ni imara sana ni rahisi kumdhibiti Rais kilaza