Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna kundi la watumishi waliotumikia nchi katika nyanja mbalimbali na Serikalini na kustaafu siku nyingi kabla hata sheria za mifuko ya jamii haijaanzishwa. Kundi hili la wazee ambao wamebaki...
1 Reactions
10 Replies
935 Views
Nimeona Spika Tulia akizinyanyasa hoja za wananchi zilizoletwa na Waitara kuhusu mauaji ya watu Tarime na ya Ole Sendeka kuhusu Loliondo. Kwa kutumia ujuzi wake wa sheria ameamua kutumia kiti...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
WAKENYA KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE, PALE LOLIONDO Huu mchezo waliochezewa Wakenya kamwe hawawezi wakaupenda, hiyo Forest reserve yao ni hilo eneo la kijani hapo upande wa kulia (Ramani Namba 1)...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu Spika Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola...
14 Reactions
21 Replies
2K Views
▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032 ▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa Na WyEST, MOROGORO Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni ufafanuzi tu kidogo Siku ya Bajeti ni maalumu na katika baadhi ya nchi watu hawaendi kazini Waziri wa Fedha husoma Bajeti kuu ya serikali kwa niaba ya mkuu wa nchi Hivyo mbwembwe fulani...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo. Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii? Awamu...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Tunakumbushana tu Hii ni kwa mujibu wa Biblia Basi hizi siyo nyakati za kushabikia Siasa bali itafuteni Kweli na Hiyo Kweli itawaweka Huru nanyi mtakuwa Huru kweli kweli Mungu ni mwema...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Bajeti iliyowasilishwa ni TZS Trilioni 41.48 ikiwa ni ongezeko la 9.2% ukilinganisha na mwaka jana. Sehemu kubwa ya bajeti hii inategemea fedha za ndani (kwa zaidi ya 67%, hili ni jambo la...
0 Reactions
1 Replies
431 Views
Uwepo wa wanasiasa uchwara Tanzania uligunduliwa kwa mara ya Rais William Benjamini Mkapa (RIP). Uchwara wa wanasiasa wetu haujali kuwa una elimu kiasi gani, kabila, dini wala jinsi ya mwanasiasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa Bunge la Tanzania BLW Zanzibar Bunge la Uingereza, Bunge la Kenya na Bunge la SA Kiukweli Ole sendeka alitakiwa aachiwe alieleze bunge kile anachokiamini kwa...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni Rais mwenye maamuzi magumu sana lakini ya uhakika.Ni Rais anaeweza kuchukua hatua za haraka sana kunapotokea tatizo nchini kwake lakini kwa usahihi zaidi.Ni rais asiyeyumbishwa na mataifa ya...
7 Reactions
76 Replies
17K Views
CHADEMA inafanya siasa zake mtandaoni kwa kiasi kikubwa, kutokana na mazingira ya siasa nchini yalivyo tangu enzi za mwendazake Sasa kuna vijana wa Chadema wamekuwa popular sana huko mtandaoni...
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Juni 22/06/2022inatarajia kutoa hukumu dhidi Mwanasheria Mkuu wa serikali ya Tanzania katika kesi ya mwaka 2017 iliyofunguliwa na vijiji vya Loliondo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Taarifa ya Aljazeera TV imeambatanishwa kuhusu Wakenya wa Nairobi kutetea Loliondo kuwa Wamasai wabaki, Wakenya wa Nairobi wamewekeza kitu gani huko Loliondo? Loliondo ni Tanzania wao Wakenya...
12 Reactions
114 Replies
7K Views
Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalam wa mambo tunajua kuna vigezo vingi vinavyozingatiwa ili kutolewa tuzo ya Amani ya Nobel. Yanayowekwa hapa ni baadhi tu ya mambo yanayomfanya Rais Samia kupendwa sana na watanzania kama...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
15 Jun 2022 Helsinki, Finland Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika...
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…