Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site. CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya wanamtandao. Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa...
12 Reactions
122 Replies
8K Views
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni. Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea...
9 Reactions
55 Replies
4K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Freeman Mbowe , ambaye pia anafahamika kama Mtemi Isike , Laingwanaan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe, Leo amekutana na Kamati ya...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa mtazamo wangu, naona kabisa Mama Samia hakupaswa kuwa kiongozi mkubwa wa kitaifa. Kauli zake, mwenendo na maono yake vinadhihirisha wazi. Ni kiongozi ambaye kwa kauli zake na maamuzi yake...
53 Reactions
130 Replies
10K Views
HAI YA SAASHISHA MAFUWE NI HAI YA KIDEMOKRASIA, ARUHUSU CHADEMA WAFANYE SIASA ZAO BILA KIZUIZI Kihistoria Leo ukomavu mkubwa wa kisiasa ulionyeshwa na Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe ni wakuigwa...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Imagine ishu ya ngorongoro; halafu ndani ya Bunge yupo: 1. Tundu Lissu 2. John Mnyika 3. Godbless Lema 4. Peter Msigwa 5. John Heche 6. Sugu 7. Freeman Mbowe 8. Ezekiel Wenje 9. Halima Mdee (enzi...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Tangu Awamu wa 1 Kenya alijitanabaisha kama Silent enemy wa Tanzania na hii lilisababishwa na tofauti za kiitikadi/kiuchumi baina ya Mataifa haya mawili Ugomvi wa Kenya na Tanzania ulianza mara...
14 Reactions
88 Replies
6K Views
Baada ya Ole Sendeka kumtaka Lissu kurudi darasani eti shule yake bado sana. Katika pitapita zangu sehemu fulan nikaona mdau mmoja akisema kua mbona yeye alipata div 0 pale Old Moshi Sec...
9 Reactions
743 Replies
182K Views
Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana. Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa. Sasa hivi kuna harufu...
1 Reactions
8 Replies
931 Views
Mkuu wa mkoa wa Mara Ally Hapi amesema Ubinafsi na Uroho wa Madaraka wa Watu wa Mara ndio sababu mkoa huo kukosa maendeleo na kuzidi kuwa maskini RC Bali amewataka wakazi wa mkoa huo kubadilika...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Tarehe 1 January 2022 dola moja ya Marikani (USD) ilikuwa sawa na Rubles 77 za Russia. Baada ya vita kati ya Russia na Ukraine mwezi Februari 2022, Russia iliwekewa vikwazo (sanctions) lukuki za...
15 Reactions
69 Replies
5K Views
Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili leo Juni 22, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi nyingine ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa hakika sie CCM, hasa tuliokuwa wanachama waasisi, tumefurahi sana kurudi kwa Kinana uongozini CCM. CCM ya hoja, CCM ya mshikamano CCM ya umoja CCM ya kutetea haki na misingi ya ubinadamu...
7 Reactions
74 Replies
4K Views
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu...
7 Reactions
43 Replies
4K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa...
8 Reactions
42 Replies
9K Views
Nimeona hiki kichwa cha habari kidogo kikanistua, yaani Nchi ya China ijenge Chuo kwa vyama tawala kufundisha siasa ya uongozi wa kikommunist? Sasa hapa upinzani upo wapi? Democracy si ndiyo...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
KAMATI KUU YA H/KUU YA CCM TAIFA KUKETI JUMANNE TAREHE 21 JUNI JIJINI DODOMA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Rais Samia anatarajiwa kuongoza...
0 Reactions
9 Replies
932 Views
Kuna kundi la watumishi waliotumikia nchi katika nyanja mbalimbali na Serikalini na kustaafu siku nyingi kabla hata sheria za mifuko ya jamii haijaanzishwa. Kundi hili la wazee ambao wamebaki...
1 Reactions
10 Replies
935 Views
Nimeona Spika Tulia akizinyanyasa hoja za wananchi zilizoletwa na Waitara kuhusu mauaji ya watu Tarime na ya Ole Sendeka kuhusu Loliondo. Kwa kutumia ujuzi wake wa sheria ameamua kutumia kiti...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…