Tanzania ina Rais wa ajabu sana, Tume ya Madini ni Taasisi muhimu sana nchini , cha ajabu
Eng. Yahya I. Samamba
Acting Executive Secretary amekaimu nafasi hiyo kwa miaka 3 sasa.
Ina maana...
Hapo utaambiwa bajeti iliyotengwa kwa hafla hii ilikuwa milioni 900 [emoji1]
Mbona hatusikii hafla za kumkosoa au kuikosoa serikali? Au Tanzania sasa imeshaingia G8 shida zimekwisha [emoji3]...
Ningependa tu kufahamu kama kuna mwenye kuelewa, ni Rais yupi alianzisha huu mtindo wa kumlipa Mbunge kwa kuja kwenye kikao cha Bunge laki 3/siku sijui wanapata.
Je, ni tangia Nyerere, Mwinyi...
Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika, amewaeleza wanachama wa Chadema huko Geita, Kwamba iwapo itafika 2024 na 2025 bila Kuwepo Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, SI TU KWAMBA CHADEMA...
Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu.
Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi?
Kisa tu...
Kimsingi vyama vya siasa vilishatengeneza Katiba Pendekezwa ambayo inasubiri kupigwa kura
Sisi Wananchi Katiba yetu ni ile ya Warioba kwa maana ile Rasimu tuipigie kura biashara iishe hatuhitaji...
Baada ya wabunge wa viti maalum wa Chadema kuangushwa mahakamani siku ya leo na kujipanga kukata rufaa kupinga hukumu hiyo, je Spika Tulia ataendelea kuwatambua kama wabunge kwa kigezo kuwa...
Ndege ndogo ya kutumika kunyunyizia pesticides kwenye taasisi ya serikali ya kilimo anga imeuzwa kwa tshs laki tano kwa madai kuwa hakukuwa na vipuri.
Wafanyakazi wasio na mkataba wa kudumu nao...
Hope mko poa
Ni ukweli husiopingika serikali ya SSH Ina hali mbaya Sana kifedha.
Ntatoa mifano miwili, toka JPM afariki dunia, ujenzi wa barabara nyingi umesimama, hakuna hekaheka za ujenzi wa...
Yafuatayo ni mabaya yenu ambayo mmeitumbukiza NCHI kwenye Giza Nene
1. Mikataba mibovu kuanzia Mali asili mfano madini na vitalu vya uwindaji bila kusahau gesi ya mtwara
2. Wizi wa Mali za umma...
Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ameshauri Serikali kupunguza kodi katika ndege zinazotumika kwa utalii Nchini akisema inatakiwa kushuka na ikiwezekena ifike hatua kumiliki ndege binafsi liwe...
Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi...
Heshima sana wanajamvi,
Ikiwa Mdee na genge lake waligushi nyaraka na hatimaye wakafanikiwa kuwa wabunge !.
Ni kwanini mpaka leo chadema hawajawafunguliwa Mdee na wenzake kesi ya kugushi ...
Kama katiba ingelikuwa nzuri. Wa-Loliondo wasingeondoka kwenye ardhi ya mababu zao. Zuio la kimahakama lingewekwa na rais angeburuzwa mahakamani.
Lakn katiba yetu inamlinda rais kuhojiwa na...
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa...
RC MAKALLA: BANK YA AFRICA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUJENGA MASOKO YA KISASA YA MACHINGA.
- Ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rais Samia kuboresha mazingira ya Machinga.
- Awaelekeza Wakuu wa...
Hapo vip!!
Mimi huwa siasa na wanasiasa naona ndio chanzo cha umaskini katika jamii na sio suluhiyo la matatizo katika jamiii..hususana siasa za Afrika na wanasiasa wa Afrika.
Kwa utafiti wangu...
Mifisadi ya ndani ya nchi na nje ya nchi walikuwa wakipeleka mifugo yao ngorongoro halafu wanatumia wenyeji maskini kuwa wafanye kazi ya kuwachungia na kutunza ng'ombe zao kwa mishahara kiduchu...
Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo?
Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?