Ninakusudia kuishitaki CHADEMA kwa udhalilishaji wa kijinsia

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia.

Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid-19.

Nimetafuta pia wachunguzi huru kutoka nje na ndani ya nchi nimewaagiza wawaahoji kama hawa wabunge hawajapata tishio lolote la rushwa ya ngono.

Maana habari zinaonesha kuwa wanafanyiwa hujuma kwa sababu ya kuwakatalia vigogo kwenye suala la Rushwa ya ngono.

Kila kitu kitakuwa wazi
 
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi chadema ya udhalilishaji wa kijinsia...
Kawafungulie Chadema kesi yako ili Nipàte sababu ya kumfungulia kesi mumeo ya kuoa taaihira.
 
Wamewadhalilisha kivipi? Chadema wao walishamaliza kazi yao kwa kufuata sheria na kanuni za chama.

Ingekuwa chama ndiyo kimewateua na kuwatuma bungeni mngesema chama kinawadhalilisha na kuwanyanyasa.

Lakini walijiteua wenyewe. Maneno ya mtandaoni huwezi kushtaki chama.

Mbona Msiba alidhalilisha watu wengi lakini hakuna alie hangaika nae. Ila alikutana na kigingi njia ikabidi aingie porini.

Halima nampenda Sana lakini yeye mwenyewe atafute muafaka nadhani uongozi wa chama hauna tatizo nao.

Wajitafakari wamalize hili zengwe waache kukimbilia mahakamani wataendelea kujidhalilisha na kujinyanyasa wenyewe zaidi.
 
kingine nimewaagiza wwaangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid 19
Covid 19 ni jina walilopewa na jamii, ili watambue dhambi ya usaliti ilivyo mbaya !!

Dunia ya leo ina regard wanawake kama viumbe wagumu mno kurubuniwa hasa kwa kikundi unaweza kufanya hivyo kwa mmoja lakini si zaidi ya watatu na kuendelea, sasa walichofanya hawa Covid 19 ni kufifisha jitihada za wanawake wenzao ambao wanataka kuiaminisha jamii ya ulimwengu mzima kwamba wao ni ngangali na hawarubuniwi kwa pipi na ujira wa muda mfupi.
 
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi chadema ya udhalilishaji wa kijinsia...
Mwenzetu leo umelivuta lile la kutoka Uganda, si uliambiwa kabla ya kulivuta uhakikishe umekula makongolo ya kitimoto, ona sasa unaharibikiwa.
 
Pia na wewe unaweza kuwa na kesi ya kujibu Kwa kuwa dhalilisha kuwa wamepewa na wametoa rushwa Tena ya ngono,hapa nani kawa dhalilisha wengine🏃
 
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia.

Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid-19.

Nimetafuta pia wachunguzi huru kutoka nje na ndani ya nchi nimewaagiza wawaahoji kama hawa wabunge hawajapata tishio lolote la rushwa ya ngono.

Maana habari zinaonesha kuwa wanafanyiwa hujuma kwa sababu ya kuwakatalia vigogo kwenye suala la Rushwa ya ngono.

Kila kitu kitakuwa wazi

Mbona hujamshitaki mumeo Kwa jinsi anavyokudhalilisha, unaishia kalalamika tu kwenye vijiwe vya umbea kuwa akilewa anakugeuza?
 
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia.

Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid-19.

Nimetafuta pia wachunguzi huru kutoka nje na ndani ya nchi nimewaagiza wawaahoji kama hawa wabunge hawajapata tishio lolote la rushwa ya ngono.

Maana habari zinaonesha kuwa wanafanyiwa hujuma kwa sababu ya kuwakatalia vigogo kwenye suala la Rushwa ya ngono.

Kila kitu kitakuwa wazi
Ningekuwa na uwezo wa kukutana na hao akina mama ningewashauri waachane na mambo ya kuviziana Kama paka na panya, watafute muafaka Kama bado wanakipenda chadema.

Nasema hivyo kwa sababu Kama maridhiano yatafanyika lazima wasimamishwe
 
Hao ni wajinga sana, walipewa muda wakapuuzia, wakashauriwa hawataki kusikia wala hawataki kujitetea.
Rushwa hupofusha macho. Mwisho wao uko ukingoni hawawezi kushindana na chama wajashinda
 
Ni muda si mrefu nimeongea na ofisi yangu kitengo cha sheria kuwauliza ni kwa namna gani wanaweza kuwafungulia kesi CHADEMA ya udhalilishaji wa kijinsia.

Kingine nimewaagiza waangalie ni kosa gani kisheria wanalotenda kwa kuwaita Hawa wanawake Covid-19.

Nimetafuta pia wachunguzi huru kutoka nje na ndani ya nchi nimewaagiza wawaahoji kama hawa wabunge hawajapata tishio lolote la rushwa ya ngono.

Maana habari zinaonesha kuwa wanafanyiwa hujuma kwa sababu ya kuwakatalia vigogo kwenye suala la Rushwa ya ngono.

Kila kitu kitakuwa wazi
Vipi kuhusu Sofia Simba?
Au enzi hizo ulikuwa hujazaliwa?
 
Back
Top Bottom