Prof. Shivji: Wamasai wasiondolewe Ngorongoro

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.

1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.

2. Tujadili nao mustakabali wao.

Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
 
Profesa Shivji ni nani hapa nchini? Hatumjui; ni mmasai wa pale musikiti wa Nanja? Au ni uko wa Laizer wa mawe?
 
Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.

1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.

2. Tujadili nao mustakabali wao.

Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Yupo sahihi kabisa
 
Kwani wanatolewa wamasai au watu wote wanaoishi kwenye hifadhi?

Mambo ya mwaka 1958 ndo yatuzuie kufanya kitu positive leo. Hata huko Handeni wanapopelekwa mwaka 2070 pakaonekana pana madini watatolewa tu.
 
Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.

1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.

2. Tujadili nao mustakabali wao.

Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Naunga mkono hoja
P
 
Kutokuwa na mpango wa matumizi sahihi ya ardhi kutaendelea kuligharimu taifa hili.

Matumizi ya ardhi yanavyofanyika utafikiri ardhi hii tuliyonayo inazaliana.

Baada ya wamasai kuwekwa ngorongoro serikali ilitakiwa kuwa na namna ya kucontrol population hiyo hata kuwa wanahamishwa baadhi ili kuhakikisha population haiathiri uhifadhi. Wamasai hata kama hawatahamishwa Leo lazima Kuna siku watahamishwa au ngorongoro itabadilika kuwa makazi ya kawaida ya watu na si wanyama.

Hata huku nje tulipo ardhi inazidi kuadimika lakini hakuna maono ya matumizi ya ardhi, Serikali yenyewe wanafurahi kujenga majengo mengi ya chini badala ya gorofa, hatujui ardhi ya matumizi ya msingi na muhimu tunazidi kuimaliza. Mashamba yanapungua na makazi yanaongezeka Kuna siku tutakula tofali.
 
Namsikiliza Prof. Shivji kupitia ITV. Shortly anasema Wamasai walihamishiwa Ngorongoro kutokea Serengeti Mwaka 1958 na kuahidiwa kutohamishwa. Anasema tusiwe na haraka ya kuwatoa Wamasai. Muhimu kuangalia haya.

1. Je Kuna wasio Wamasai wangapi waliojaa ndani ya Ngorongoro.

2. Tujadili nao mustakabali wao.

Kwa ufupi amepinga jambo hili la kuwahamisha wamasai
Mpaka sasa sijaona MAPENDEKEZO ( Alternative).

Wengi wanabweka tu, Masai wasiondolewe, wasiondolewe.

Halafu ikitokea Masai wakazidi mpaka Ngorongoro IKAFA Hawa wazee wa WAMASAI WASIONDOLEWE hutawasikia wakitetea.
 
Kwani hili suala bado ni mjadala au lipo kwenye utekelezaji?
Mwambieni huyo Prof wenu kinachoendelea huko Handeni ni kitu gani? Muulizeni tena kuwa mamlaka ya Mh Waziri Mkuu anayaona mepesi?
Na atuambie tena ni lini Prof anapata nguvu na uhalali wa kuongea bila kufanya utafiti?
 
Prof. Anauliza haraka ya Nini ?
 
Back
Top Bottom