Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,702
45,044
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo leo amefika Ikulu ya Zanzibar kwaajili ya kumuaga Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi ikiwa ni maandalizi ya kustaafu mwishoni mwa mwezi huu.

Jenerali Mabeyo 65, amelitumikia jeshi kwa miaka 42 sasa na muda wake wa utumishi unaenda ukingoni mwezi huu.

Jenerali Mabeyo amehudumu nafasi ya Mkuu wa Majeshi kwa miaka 6 sasa baada ya kuteuliwa mwaka 2016 na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli.

Katika uongozi wake kama CDF, alishuhudia kukabidhiwa kwa madaraka kwa Rais wa kwanza mwanamke, Samia Suluhu Hassan baada ya kifo cha mtangulizi wake.

Daima utumishi wake uliotukuka utaendelea kukumbukwa ndani ya JWTZ na Nchi kwa ujumla. Nikutakie maandalizi mema ya kustaafu Jenerali Mabeyo

C167C086-4D95-40A3-AFCA-E6EE1772808B.jpeg

---
Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa Februari 6, 2017 na aliyekuwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Alizaliwa Julai 1, 1956 wilayani Magu mkoani Mwanza na kupata elimu ya msingi katika shule ya Namibu mkoani Mara kuanzia 1965 hadi 1971.

Alianza elimu ya Sekondari katika Seminari ya Nyegezi kuanzia 1972 hadi 1975, kisha akaendelea na kidato cha tano na sita Mzumbe Sekondari kuanzia 1976 hadi 1977.

Jenerali Venance Mabeyo alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Januari 1, 1979 na kuhudhuria kozi ya afisa mwanafunzi na kupata kamisheni mwaka 1980 kuwa Luteni Usu.

Safari ya Jenerali Venance Mabeyo JWTZ
Julai 1980: Luteni Usu
Agosti 1981: Luteni
Januari 1987: Kapteni
Oktoba 1991: Meja
Juni 1998: Luteni Kanali
Mei 2006: Kanali
Septemba 2010: Brigedia Jenerali
Septemba 2014: Meja Jenerali
Juni 2016: Luteni Jenerali
Februari 2017: Jenerali

Jenerali Venance Mabeyo alihudhuria kozi mbalimbali ndani na nje ya nchi, baadhi ya nchi hizo ni Kenya, India, Canada na Marekani

Jenerali Venance Mabeyo katika kulitumikia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania alishika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwambata Jeshi nchini Rwanda, Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi , Mkuu wa Tawi la Usalama na Utambuzi na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ.

Jenerali Venance Mabeyo ametunukiwa medali mbalimbali;
Miaka 20 ya JWTZ
Medali ya utumishi mrefu.
Medali ya miaka 40 ya JWTZ.
Medali ya utumishi uliotukuka.
Medali ya Comoro na Anjouan.
Medali ya miaka 50 ya uhuru
Medali ya miaka 50 ya Muungano
Miaka 50 ya JWTZ
Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo baada ya kulitumia Jeshi kwa nafasi mbalimbali kuanzia 1 Januari 1979, mwishoni mwa mwezi huu atastaafu utumishi ndani ya jeshi hilo. Nafasi ya CDF alianza kuitumikia 6 Februari 2017.

====

MABEYO (2).jpg
MABEYO (3).jpg

Akiongezewa mkataba na Mhe.Rais bado yupo vizuri na makini sana!!
 
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Mabeyo baada ya kulitumia Jeshi kwa nafasi mbalimbali kuanzia 1 Januari 1979, mwishoni mwa mwezi huu atastaafu utumishi ndani ya jeshi hilo. Nafasi ya CDF alianza kuitumikia 6 Februari 2017.
Mteuwaji asisahau kuwa Wakristo ( tena wa Katoliki ) ndiyo huwa CDF ( japo katika Madhehebu mengine ) anaweza Kuokoteza okoteza lakini asiwekwe hapo wa Dini yake Mteuwaji.

Najua kuna mtakaonishangaa na Kunishambulia ila GENTAMYCINE nasisitiza ni lazima CDF aje ( kwa sababu ambazo ni za Ndani kabisa ) awe ni Mkristo kutoka Dhehebu lenye Nguvu na Ushawishi Tanzania na Duniani la Katoliki.

Ukikereka na nilichokiandika Koroga Sumu ya Panya unywe na Ukishainywa jipige Kofi la Kutukuka na jiite Popoma.
 
Haina mjadala hiyo .. imepita
 
Chawa wa Mabeyo huwezi kukosekana Ktk uzi kama huu ,ikiwezekana mwambie Mama asikubali huyu mwamba astaafu
 
Back
Top Bottom