SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 510
- 1,402
Hili bunge la awamu hii ni la kipekee, kwamba walikuwa na kazi pevu sana pale Dodoma hadi wafanye sherehe ya kuhitimisha vikao vya bajeti? Kwamba wamepigania sana Wamach pale Dodoma? Kwamna wamewatetea sana wananchi pale Dodoma?
Hawa hawajajua kuwepo na kutokuwepo havina impact kwa raia wa kawaida, hajajua hilo.
Wamepitisha Bajeti kaasilimia zote, hakukutokea hata chembe ya mvutano kama enzo za zamani, Bunge limekuwa ni yes kila sehemu, than eti wanapiga sherehe ya kuhitimisha Bunge.
Nchi nyingi huwa Mapinduzi ni ya kuondoa viongozi madarakani ila Tanzania tunahitaji mapindizi ya kuling'oa Bunge pekee, Hawa ndo huenda wanachangia sana matatizo ya nchi hii make kwanza ni full kujipendekeza, full kusifia, full kujikomba komba kwa Serikali hasa Rais. Bunge limegeuka kuwa Holday Camp ya watu kwenda kuuzia sura.
Ila alaumiwe sana Mwendazake, hili ndo aina ya Bunge alilolitaka, Mama kalikuta tu.
View attachment 2277177